Straika wa zamani wa Brazil, Ronaldo Nazario De Lima ambaye pia amewahi kuchezea Klabu za Barcelona, Real Madrid, InterMilan, AC Milan ametaja kikosi chake bora cha muda wote wakiwemo Lionel...
Kwa mpira huu ambao Yanga inacheza, mpira wa kufunguka na wa kujiachia. Nawatamani sana Mamelodi waje kufunguka pale kwa Mkapa katika Humidity ya 90 Degrees.
Binafsi nadhani Mamelodi ni wepesi...
“Kwa kifupi sina cha kusema kuhusu Yanga wamenizidi karibia kila eneo kwenye michezo yote miwili hilo napaswa kulikubali, lakini pia siwezi kuzungumzia kuhusu goli lao kama ni halali au sio halali...
Aliyewahi kuwa Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika (PAP) na Mbunge wa Shinyanga Mjini, Stephen Masele amesema Yanga inaweza kukata rufaa CAF kupitia kifungu cha sheria za mpira za CAF namba XVI...
THE IMPOSSIBLE CAN BE POSSIBLE
yes is possible for Yanga.
Yes hii inawezekana kabisa msishangae kumuona Yanga akitinga katika hatua ya Nusu fainal Caf Champion League, Record zinambeba Yanga...
Poleni sana Wana Yanga, natumai mmejifunza kitu kuhusu michuano hii ya @cafafrica. Bila kupepesa macho, mechi ya round ya pili ilipangwa iwe na matokeo ya upande mmoja. Utaona kwa namna ambavyo...
Ni jambo lililowazi kabisa TFF na bodi ya ligi wanataka kuhakikisha Simba inabeba ubingwa msimu huu. Upangaji wao wa ratiba unatia mashaka sana kwanini nimesema haya?
1) Raundi ya kwanza...
Usitukane Mamba wakati bado hujavuka mto.
Yanga na kuibeza simba kwa kuiita Mwakarobo, sasa wao nao waianza safari ya Mwakarobo baada ya kuishia Robo Fainali.
Jana mechi ya Morocco na RSA nimeshuhudia benchi la ufundi la timu ya taifa ya Morocco likiwa na mtu wa IT/TEHAMA/Video Analyst akiwa na laptop yake, kazi ya keni kufuatilia matukio yote na uhuni...
Hizi zinaweza kua si habari njema kwa wananchi, na ukizingatia mwishoni mwa msimu mwamba anamaliza mkataba wake.
Huko bondeni kwa MADIBA mashabiki wa timu zote kubwa wameoneshwa kukoshwa na uwezo...
Kwanza kabisa nichukue nafasi hii kuwapongeza viongozi, wachezaji, wanachama na mashabiki wa yanga popote pale walipo kwa kuiunga mkono timu yao ndani na nje ya nchi.
Kusema na ukweli yanga...
Ninaona yanga na watu wengine wajinga waliotamani kumsuta Mo, wanashadadia eti yanga kaonewa na mwamuzi.
Huu ni ushamba mkubwa na inaonesha sio wafuatiliaji wa mechi za kimataifa.
Ukihesabu...
Jana Yanga haikustahili kuishia hatua ya robo, ile goli ni halali kabisa na ushahidi wa video ni huu hapa. Mpira ulivuka mstari wa goal line kwa zaidi ya asilimia 100 kisha uka rebound tena.
Kumekuwa na lawama na Malalamiko toka kila sehemu Afrika kupinga na kuonesha kukerwa kwa kuonewa kwa Yanga kwa kukataliwa kwa Goli lao.
Ukienda kwenye page ya CAF ndio utaona namna wadau toka...
Kama umetazama Mpira utagundua Lile lilikuwa ni Goli safi walilofunga yanga lakini Refa Na VAR ya kizushi imekataa.
Naibu waziri wa michezo kasema Mhe Hamisi Mwinjuma au Mwanafalsafa kasema kuwa...
Timu nyingi hata Simba sidhani kama wamesafari na wachezaji majeruhi kama kipa wao Manula. Ila jiulize Yanga, mtu kama Yaoyao wanasafiri naye ili iweje? Kufanya nini?
Kuna shida pale Yanga, mtu...