Nafuatilia marejeo ya mpira Kati ya Simba na Alahal kupitia Azam sport, naagalia nikiwa sina presha kwa utulivu mkubwa, hakika Simba walionyesha kiwango cha juuu sana tena sana. Hii ilikuwa mechi...
Hapo vip!!
Mpira ni mchezo wa wawazi na data hazidanganyi.
Kwa tathmini inavyoonyesha yanga ndio timu dhaifu na mbovu kwa sasa katika hatua hii ya robo final club bingwa kwasababu zifuatazo:
1...
Mapacha wana hali ngumu japo mashabiki wana imani watafuzu. Tusahau kuhusu kufuzu, hakuna timu yoyote ya kariakoo iyakayopata goli huko Cairo au Pretoria! Uzuri Ijumaa sio mbali…
Lakini tunaweka akiba ya maneno. Walishakuja kina Okrah ikabidi kula matapishi yetu. Wapiga misumari tuoneeni huruma mashabiki na wadhamini. Zile hela za kumsajili ni nyingi
Wengi wanahisi Pacome kaumia kutokana na game ya leo lakini ukweli ni kwamba Zizu ameumia kabla ya mechi ya pili na CRB.
Nachoshangaa kwa nini Gamondi anaendelea kumtumia na anajua alitonesha...
Tatizo la yanga wachezaji na kipa wako vizuri uwanjani ila Yanga haina wapiga penalti wazuri ni wabovu sana
Kocha yuko vizuri kanoa timu vizuri ila ana kazi ya ziada kufunza wapiga penalti.
Leo mnamo majira ya saa 3 usiku Klabu ya Tanzania Simba Sports Club itakuwa nyumbani kumenyana na klabu ya Al Ahly ya Misri katika mechi ya mkondo wa kwanza (First Leg) wa robo fainali wa Ligi ya...
Huu ni utapeli wa wazi,wachezaji wa aina ile hata wa ndani wapo na hawezi kusajiliwa na timu zingine ndogo.
Wanaosajili Simba wanafaa wawe nyuma ya nondo sahizi kwa utapeli wa wazi.
Hivi hizi timu zenu za kisiasa Zina matatizo gani hasa? Yaani vyombo vya habari vimejaa stori za Yanga na Simba Kuzodoana na kuleteana fitina nk kana kwamba ndio Zinaenda kukutana mwisho wa wiki...
Ukiacha Usimba na Uyanga pembeni kuna faida kubwa ya timu zetu kuingia nusu fainali kuliko unazi wetu
a) Kwanza Simba atapanda kiwango na rank toka point 39 mpka 54
Hiyo ni regardless kama Es...
Rais wa Yanga Sc Eng Hersi Said amesema kuwa serikali imekubali kugharamia mashabiki watakao safiri na Timu kwa njia ya basi kutoka Dar es Salaam Hadi Afrika Kusini kwenda kushangilia Timu ya...
Kocha wa Mamelodi Sundowns ametoa la moyoni kwenye media za South Africa akielezea kusikitishwa kwake Kwa timu Yao kukosa support ya mashabiki mpaka kufikia wanachukua ubingwa wa PSL last season...
Mwanzoni Mamelody waliweka kiingilio Rands 20 .
Then Injinia wa mpira, Hersi Said akatangaza kiingilio bure kwa kila shabiki wa Yanga atakae ingia uwanjani loftus kuwaspoti Yanga ( umewekwa...