Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Natabiri kuanzia saa 3 usiku wa leo, wale nzi na vyura wa kijani popote pale hapa nchini, watakuwa kimya huku wale ngedere na simba wekundu wakipiga kelele za hapa na pale. Wakishangilia wenzao...
5 Reactions
17 Replies
951 Views
Sio kwa niambaya nimeonyeshwa watu wasiumie sana na yanayoenda kutokea Mechi ya SIMBA vs Al AHLY SIMBA ATAFUNGWA hii mechi GOLI CHINI ya tatu. Pona ya SIMBA kudrw ni Red card.... Yanga vs...
18 Reactions
109 Replies
6K Views
Ninaongea nikiwa na uhakika, michezo hii naifahamu vizuri, Simba anaua kesho vizuri tu. Na kama mwarabu atachomoka kesho, mimi 1979magufuli natangaza rasmi kuagana na jamiiforums. Iwe jua iwe...
5 Reactions
45 Replies
2K Views
Hope mko poa wadau wamichezo. Muda mfupi ujao moto unaenda kuwaka kwa mwananchi kumnyofoa mamelodi kucha. MUNGU ibariki Yanga tupate matokeo mema [emoji120][emoji120]. Ikifuatiwa na mtani...
1 Reactions
14 Replies
465 Views
Gamondi ameliambia Mwanaspoti kuwa Yanga iko tayari kwa mchezo dhidi ya Mamelodi na watawapa sapraizi nyingine baada ya baadhi ya mastaa wake afya zao kutengamaa haswa Aucho na Pacome. Gamondi...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Mtaniii, Leo usiku zinatarajiwa kucheza mechi mbili za kihistoria ambapo Simba na Yanga zitakuwa ugenini kwenye ng'we ya pili ya robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa. Simba wapo Misri kumenyana na...
2 Reactions
3 Replies
612 Views
Mimi nitakuwa busy na kazi kwa siku zote mbili. So sitaweza Hata kufatilia. Na shauri : Wazee wa pressure hizi match wasiangalie. Kama una mzee shabiki wa hizi team akae mbali na TV Unaweza...
2 Reactions
16 Replies
745 Views
PICHA KUONESHA ALIYEKUWA BEKI WA KAIZER CHIEF Beki wa Kaizer Chiefs Luke Fleurs amefariki dunia kwa kusikitisha baada ya kupigwa risasi wakati wa utekaji nyara. Siwezi kuamini hili baada ya...
13 Reactions
86 Replies
6K Views
Habari wakulungwa Japo mechi ya kesho tunajua kuwa Simba itakandwa heavyweight na Al ahly lakini hapa ni mahususi Kwa ajili ya kuishauri technical bench Nini kifanyike Ili kupunguza idadi ya...
6 Reactions
52 Replies
1K Views
Imetokea leo katika uapisho wa viongozi ikulu ya Dar. Kundi la wafanyabiashara kutoka Zanzibar wamemuunga mkono Rais Samia katika juhudi za kukuza michezo. Huu ni upendo mkubwa na kudumisha...
0 Reactions
9 Replies
600 Views
#MICHEZO: Mashabiki wa Yanga, wanaosafiri kuelekea mji wa Pretoria, Afrika Kusini kwaajili ya mechi ya marudiano ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns, tayari walipowasili katika...
7 Reactions
37 Replies
2K Views
Aliyekuwa mchezaji wa Yanga SC, Fiston Mayele ambaye kwa sasa anakipiga na Klabu ya Pyramid ya Misri, leo Aprili 4, 2024 ametembelea kambi ya Klabu ya Simba ambayo kesho inapambana na Al-Ahly ya...
3 Reactions
96 Replies
6K Views
Habari Ya Futari Wana JF AZAM HAWAJAPENDA CRDB KUDHAMINI FA. Wanashindwa kutoka hadharani na kuliongelea hili lakini Moyoni wanaumia sana. -Jana shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) na...
8 Reactions
34 Replies
3K Views
Leo kutakiwa kuna kivumbi cha caf quarter final baini ya simba vs all ahly huku kule kuna mamelody sundown vs yanga Mijadala yote ya game hizi ijadiliwe hapa but poleni kwa atayepoteza na...
1 Reactions
6 Replies
527 Views
Young Africans kesho watakuwa nchini Afrika kusini kurudiana na timu inayoogopewa kwa Afrika kwa ubora walionao sio wengine ni Mamelodi Sundowns. Kuelekea mechi ya kesho kocha wa Yanga amestua...
1 Reactions
11 Replies
812 Views
"Tumetolewa kwa Kuonewa kwakuwa Mmiliki wa Timu ndiyo Boss Mkuu wa Kafu Afrika hivyo Waamuzi walimuogopa ili kulinda Vibarua vyao" amesema Boss Klabuni Mrembuaji Makengeza. Na muda si mrefu...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
REKODI ZAIBEBA AL AHLY NYUMBANI, ZAIBANA SIMBA SC VIWANJA VYA UGENINI. Rekodi ya Al Ahly ikiwa nyumbani ni nzuri kwani haijapoteza mchezo wowote tangu Mei mwaka jana katika michuano yote...
10 Reactions
150 Replies
4K Views
1.Hawa Simba wamoto sana.This time kombe wapewe mapema. 2.Nilijua tu Mamelod hawezi kutolewa na UTO. 3.Huyu Kibu karogwa siyo bure. 4.Viongozi hawajali hisia za mashabiki. Tutachekwa mpaka...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Tanzanian side Yanga SC faced a frustrating start to their stay in South Africa after the team’s designated transport, provided by hosts Mamelodi Sundowns, broke down just 5 kilometres from OR...
6 Reactions
38 Replies
2K Views
Habari Jr, Hoja ni fupi mno Simba sc wanasafiri kesho alfajiri na inaondoka na mashabiki 17, hawa mashabiki wanaenda kujilipia wenyewe kila kitu. Serikali muwe seriously na hii kitu mnaingiza...
6 Reactions
52 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…