Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nakumbuka baada ya game yao pale kwa Mkapa walipokuwa wanaongea, body language ilikuwa inaonyesha Kacha wa Mamelod kama anamsihi na kumsisitizia jambo fulani halafu Aziz Kii akaonesha kukubali kwa...
9 Reactions
41 Replies
3K Views
Akiwa na uhakika wa Yanga kukunja 2.3b kwa kuingia robo fainali tu,tajiri asiye na choyo wala kashfa amemwaga noti zaidi Ametoa ahadi hiyo kwa kikosi kikali cha wananchi Mwenye nacho ataongezewa...
27 Reactions
179 Replies
6K Views
Huu si utabiri wala nasibu. Kwa Sasa Simba ashapoteza "defence merchanisms" zote alizokuwa anajikingia dhidi ya mashambulizi ya Yanga Kichaka cha "sisi wa kimataifa"....fyekelewa mbali Kichaka...
12 Reactions
37 Replies
2K Views
Unaambiwa hakuna Mchezaji wa Kikosi cha Kwanza na hata wale wa Akiba ( Subs ) waliocheza hapa Dar es Salaam na Fungulia Mbwa FC jana walicheza katika Mechi yao ya Ligi Kuu ya Afrika Kusini ambayo...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Marehemu wa Kwanza atazikiwa Pretoria Afrika Kusini Saa 5 Kamili za Usiku na Marehemu mwingine atazikwa Cairo Misri Saa 7 Kamili za Usiku. Poleni sana Wafiwa wote kwa hii Misiba Miwili ya...
5 Reactions
36 Replies
2K Views
Habari wakuu Rais wa heshima na Mwekezaji wa klabu ya Simba SC Mohammed Dewji Maarufu ‘MO’ ameweka ahadi nono kwa wachezaji na benchi la ufundi endapo wataweza kufuzu kwenda hatua ya nusu...
11 Reactions
101 Replies
3K Views
Kwanza kabisa niwapongeze wachezaji kwa kazi kubwa waliyoifanya ya kupark shabiby mpaka mwisho,, ila mchezo haukua wa kufurahisha hata kidogo. Kuna chances ambazo zimepotezwa bila sababu, watu...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Hili halina ubishi,jinsi walivyofungua tawi sauz,tena kwa ubunifu wa kwenda na crdb,na toka wamefika huko,wana shughuli za kila aina,rais wetu,hersi said kaongea na vyombo kadhaa vya habari.safi sana
7 Reactions
17 Replies
964 Views
Sijui ni nini hiki ila kila mda thoughts zinakuja eti simba ameshinda kuingia nusu. Wametoka 1-0 then matuta akashinda ayoub katoa mikwaju miwili..... Huu mpira addictive sana! #nguvu_moja
6 Reactions
53 Replies
1K Views
Club ya Young Africa inaongoza kwa takwimu za kufatiliwa JamiiForums dhidi ya mshindani wake Simba. Upendo, uchangiaji pamoja na jicho yanga inaonesha kuwa mbele sana dhidi ya Simba. Ingawa hadi...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
LIGI YA MABINGWA HII kolo IMEFUATA NINI HUKU?? [emoji23][emoji23][emoji23] Kwa utafiti wangu nimegundua kuwa ndio maana Simba ni underdog kwenye hii michuano kwasababu alipita Kwa kamseleleko...
24 Reactions
90 Replies
3K Views
Sitaki kuwa Mnafiki katika hili na niseme tu wazi ( japo najua kuwa Mpira wa Miguu sometimes una Maajabu yake ) kuwa Safari ya Simba na Yanga Kimataifa Kesho ndiyo zinahitimishwa rasmi kwa Vipigo...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
direct to the point, simba na yanga are very small teams in Africa to qualify for the semi - finals. you need 1: experience 2. quality players 3. luck 4. money 5. leadership 6. fans 7.great...
8 Reactions
87 Replies
3K Views
Tokea mwaka jana GENTAMYCINE nimewaasa sana hapa JamiiForums kwa kuwataka ikataeni Serikali na Misaada yake ya Kinafiki Kwenu kwani wala haiwapendi mmekataa Kunisikia na Kunielewa. Wana Simba SC...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Michezo ni Siasa Msemaji wa Simba SC mh Ahmed amesema si haki Serikali kuwasafirisha mashabiki wa Yanga kwenda kuishangilia Timu binafsi huko Africa kusini kwa kutumia fedha za walipakodi. Ahmed...
3 Reactions
5 Replies
609 Views
"Huku akisema CCM haikubaki nyuma kwenye michezo na ndio maana inamiliki timu kwenye ligi kuu, ambayo ni KMC ya Kinondoni, kiukweli sikuwahi kudhani timu ile ni mali ya CCM". Haya yalisemwa na...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Baada ya Club ya Simba kukasirishwa na kitendo Cha Serikali kuridhia Ombi la club ya Yanga la Kusafirisha Mashabiki wake 48 kwenda Pretoria Africa ya Kusini Kwa ajili ya mechi ya pili ya...
0 Reactions
10 Replies
789 Views
Baadhi ya Mashabiki wa Simba waliojilipia nauli zao kusafiri kwenda kuipa support timu yao Nchini Misri Kila shabiki amejilipia Dola 1200 sawa na Milioni 3,126,000. Hili swala la Serikali...
18 Reactions
111 Replies
5K Views
Mtabili maarufu wa nchini Libya Aboubakar El Han ametabili mechi za Caf champions league Huku akiwashtua watu wengi baada ya kusema Al Ahly ya Misri itatolewa na Simba kwenye mashindano hayo...
17 Reactions
65 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…