Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ni wazi kabisa hizi figisu ila cha kushangaa ni kuona timu kubwa kama Mamelodi kufanya hivi vitu wakati wao walipokelewa vizuri hapa Tanzania, tushazoea kwa waarabu ila sasa imeanza kuwa hadi kwa...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Moja kati ya best commentators creative sana kwenye mpira ni huyu mwamba Ayubu hinjo! Moja kati ya goli ambalo huwa ninaenjoy sana kutazama 👇👇👇
5 Reactions
9 Replies
698 Views
Tangu huyu ndugu anayeitwa Hamis Mwinjuma ,maarufu Mwana FA ateuliwe na Rais kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Michezo ameonesha kuwa hatoshi kuwa kwenye nafasi hiyo. Ni mtu hatari kwa usalama na...
11 Reactions
93 Replies
4K Views
Singida Fountaine Gate FC na Singida Black Stars. Habari nataka kujua nyuma ya hizo timu kuna nani? Je, mkoa wa Singida unashindwa kuazisha timu kuazia chini hadi kuja ligi kuu? Naomba kujua...
2 Reactions
10 Replies
903 Views
Katikati ya jiji la Madrid, kuna hekalu la soka linalo vutia na kuakisi historia tajiri isiyolinganishwa popote kwenye mchezo huu mzuri wa soka. Estadio Santiago de Bernabéu, ni maskani ya klabu...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Bank ya CRDB na TFF imeingia mkataba wa udhamini wa miaka mitatu na nusu na CRDB itatoa shilingi Bilioni 3.76 kwa kipindi chote cha miaka mitatu na nusu, ila msimu huu watatoa dollars laki moja...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari Wana JF najua mpo poa samahani kama nitakuwa nimewakwanza Kwa fikra hizi mnisamehe ila Wengi Wanaumia sana Serikali hii inapesa za kulipia mashabiki pamoja na kuwapa pesa ya kujikimu huko...
6 Reactions
24 Replies
1K Views
Wadau nawasabahi, Mada hapo juu inahusu Fedha anazotoa Rais kwa kila goli litakalofungwa na Vilabu vya Simba na Yanga kwenye Mashindano ya Kimataifa yanayoendelea. Ni jambo zuri Mh. Rais...
0 Reactions
4 Replies
365 Views
Yanga SC left stranded after bus breaks down near airport Tokelo Mokhesi13 hours agoLast Updated: 2 April 2024 https://youtu.be/CLAdkEw-G2k?feature=shared Tanzanian side Yanga SC faced a...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Kuna watu wanamsema Inonga kuwa anafanya makosa mengi uwanjani siku hizi kuliko zamani bila kuangalia mambo muhimu. Ukweli ni kwamba Inonga hana raha kucheza Simba. Inonga ni mchezaji mkubwa...
0 Reactions
2 Replies
608 Views
Jina kamili: Newcastle united Jina la utani: The Magpies Kuanzishwa: 1892 Uwanja wa nyumbani: St. James Park (uwezo mashabiki 52,000) Wamiliki: Public investment fund 80% , RB Sports & Media 10%...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Taarifa kamili kutoka club ya APR imeeleza kwamba aliyekuwa kocha wao wa viungo Adel Zrane amefariki dunia,taarifa halisi haijaeleza nini chanzo cha kifo hicho
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Wakati league zingine zikipamba moto duniani kule Ujerumani wakijiandaa kuandika historia baada ya kijana aliyeishi viunga vya bayern Munich na kuiba mbinu zao akiwapa Bayer Leverkusen kombe gumu...
7 Reactions
31 Replies
1K Views
RASMI Ihefu SC imehamia mkoani Singida baada ya kuuchagua uwanja wa CCM Liti kama uwanja wao wa nyumbani kwa msimu mzima. Leo watendaji wote wa timu za ligi kuu wametumiwa taarifa rasmi ya kuwa...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Nyuma ya mafanikio ya Yanga pia kuna mkono wa serikali, hii timu inapendelewa na serikaki. Mashabiki 40 wa Yanga wamepewa tickets za kwenda South Africa, ila kwa Simba ni tofauti as if haishiriki...
8 Reactions
200 Replies
8K Views
Tayari tunaye Mwakarobo senior mzoefu nguli wa kutinga robo fainali kwa miaka mitano kisha anapaki bus. 🐸🐸 kaibuka kutoka huko matopeni jangwani na kuanza kukimbizana na wakali wa CAFCL na...
6 Reactions
36 Replies
1K Views
Nilikuwa naangalia hapa idadi ya walioenda s.africa pamoja na tkt 48 Bure najiuliza hii NDEGE mbona ilihitaji watu wengi tu Nikikumbuka vibe la Rwanda coaster 7 najiuliza nn kimewasibu Hawa...
0 Reactions
21 Replies
1K Views
Mchezaji yoyote wa Simba popote ulipo, natuma ujumbe kwenu kwa njia zote zinazowezekana. "NENDENI KAPAMBANENI KUFA" Kocha ameshaamini mnaweza, mbinu amewapa na sasa mnazifanyia mazoezi. Mwisho wa...
10 Reactions
20 Replies
1K Views
Nimeshuhudia dereva wa lori akichomolewa na kupigwa na dereva wa bodaboda baada ya dereva wa lori kumsukumia mtaroni dereva wa bodaboda. Sio kwamba timu ikiwekeza sana lazima mara zote iifunge...
10 Reactions
45 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…