Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Habari wadau, nawatazamaga hawa jamaa wawili strikers wa simba sc, hata siwaelewi, kipindi hiki tunakuwaje na viongozi wa kubahatisha kwa upande wa uteuzi wa wachezaji!!! Unawezaje kutuaminisha...
3 Reactions
7 Replies
548 Views
Siku ya jana Jumatatu April01, 2024, baadhi ya vyombo vya habari nchini Tanzania vimeripoti vikiwakariri baadhi ya viongozi wa serikali wakitoa taarifa ya kugharamia safari ya mashabiki wa club ya...
5 Reactions
31 Replies
1K Views
..[emoji266]..π–π€ππ€ππ‚π‡πˆ π–π€πŒπ„ππ„π–π€ π‡π„π’π‡πˆπŒπ€. Mchezo wa Mamelodi Sundowns Dhidi ya Yanga Umepewa heshima ya SADC Derby na Wadhamini wa Michuano hiyo (Total Energies) Pamoja na shirikisho la Soka...
7 Reactions
31 Replies
2K Views
Hii Picha kwanini wasingemweka na nyerere? Najua kuna watu mtaniona kama nimewehuka ila mjue hizi issue ndio hua zinafanya wamchukulie poa Nyerere kabisa. Nyerere kafanya makubwa Mengi kwa...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Baada ya mechi ya jana kati ya Simba(makolo) na Al Ahly kuisha kwa kolo kuchomekwa kimoja na kushindwa kukichomoa wameibuka washabiki maandazi wa Simba wasiojua mpira na kuanza kusema jana simba...
9 Reactions
21 Replies
2K Views
Nimeona mashabiki wa simba wanalalamika sana kwamba Yanga inapendelewa kitu ambacho mashabiki wengi wa simba hawakitambui fursa inatafutwa haikufuati Yanga kabla ya mechi ya mzunguko wa kwanza vs...
10 Reactions
23 Replies
2K Views
NAOMBA NIKUKUMBUSHE KITU MY BROTHER HAJI MANARA KUHUSU SIMBA 1993. Jana nilipata wasaa wa kuitazama clip yako kuhusu fainali ya Simba 1993 dhidi ya Stellah Abdijan. Umesema nchi za Kiarabu...
10 Reactions
133 Replies
11K Views
There is no way SSC atamtoa Ahly, na there is no way Yanga atamtoa Mamelody… however, kimpira, it can be done lakini chance of occurrence ni less than 5%{0.05}. Significance level of 95% ipo kwa...
18 Reactions
76 Replies
3K Views
Zamani kabla mikeka haijaingia hapa nchini mashabiki wa mpira walikuwa na ushabiki halisi kwa timu zao pendwa. Nakumbuka mechi kati ya Man United na Arsenal iliyochezwa mwaka 2003. Van Van...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Binafsi sare ya 0-0 dhidi ya timu ya wachambuzi (Ubuntu botho) sio matokeo niliyokuwa nikiyataka sababu niliamini Yanga sc, tulikuwa na nafasi ya kushinda huu mchezo kibabe, tena katika style ya...
22 Reactions
18 Replies
1K Views
Game imeanza kuchezwaa mda huu.
1 Reactions
110 Replies
10K Views
Match Day 1st Leg. Robo fainali Yanga vs Mamelodi Muda ni Saa 3 Usiku. Kuwa hapa nami kwa update za kabla na wakati wa mchezo Kikosi cha Yanga Kikosi cha Mamelodi Sundowns Mchezo umeanza...
31 Reactions
2K Replies
66K Views
Makolo wameinvest mpira wa mdomoni ( wakizamani) huku wakimtegemea Ahmed ally Kwa propaganda ili kushinda.... mfano...kawajaza mashabiki kuwa waanze kuhesabu magoli ....Baada ya kufika 3...
10 Reactions
60 Replies
2K Views
Leo nimeshuhudia vitu vya ajabu sana pale Lupaso! Siyo kwamba nilienda kucheki mechi hapana, nina mishe zangu nafanyia maeneo yale, hivyo matukio mengi ya mechi hasa wikiendi nayashuhudia...
7 Reactions
61 Replies
3K Views
Bondia mtanzania abdalah Pazi maarufu kama dulla mbabe, amekumbana na kadhia baada ya kushushiwa kichapo cha kwenda na bondia toka United kingdom , dulla mbabe amepigwa ngumi mfululizo za mdomo na...
6 Reactions
34 Replies
2K Views
Niliona jamaa alilambishwa chenga ya kufa mtu akateguka sijui.rusha picha tu
0 Reactions
10 Replies
932 Views
Baada ya Yanga kufanikiwa kudhibiti mbinu ya Mamelodi ya defenders wao muda mwingi kucheza na kipa wao ili kuwavuta Yanga, Mamelo wataendelea na mbinu hii katika mechi ya marudiano huko Pretoria...
12 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari Wanajamvi wakati watu tukiendelea kutafuta ela watu wanadhurumiwa haki zao JamΓ a alibeti timu 13 kampuni ya 1xbet na kuweka dau la $350, na ikaleta kiasi cha $22m Sawa na bilioni 50TSH...
10 Reactions
43 Replies
7K Views
Nimetafakari sana kuhusu matokeo ya mechi zote za ligi ya mabingwa Afrika, na kile kinachoendelea kuhusu Simba kulingana na matokeo ya mechi yao! Kwa dhati kabisa ukiangalia chati ya mechi hizo...
1 Reactions
5 Replies
512 Views
VAR ililetwa kwa ajili ya kuzionea timu zetu tu. sababu hazina majina makubwa. Caf wanapenda sana kumbeba mamelodi. sababu bosi wao rais wa caf ndie mmiliki wa mamelodi Sheria za mpira zinasema...
2 Reactions
4 Replies
698 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…