Shirikisho la Riadha Tz (RT) tunapenda kuwajulisha wanachama, waalimu, na wadau mbalimbali kuwa wanariadha wetu wawakilishi wa mashindano ya Dunia ya Mbio za nyika wameshindwa kusafiri kutokana na...
Salaam team. Maswali wanayouliza waandishi wa habari baada ya mechi kwa makocha wa kigeni hiyo ndiyo taswira halisi ya Elimu yetu hapa Tanzania. Kwanza utakuta mwandishi wa habari anauliza swali...
"Bahati haiwezi kuwa kwao kila siku, leo imekuwa bahati kwao, kesho inaweza kuwa kwetu, cha msingi kuwa na morali, umoja, upendo na kujiandaa, hatuwezi kwenda kushinda ugenini kama tutakata tamaa...
Kutokana na kila dalili na mwenendo wa timu yetu hatuoni kabisa nafasi ya kupindua meza labda tupinduliwe sisi kwa mara nyingine tena.
Mpinzani wetu y uko vizuri Klkila idara na ndiyo maana...
Mashabiki wa yanga pigeni kelele na vigeregere
Kombe la msimu huu ni lenu
Msimu huu kuna maajabu ambayo Mashabiki wa mpira barani africa watashangaa
Kifupi tu timu ambazo wengi walizoea kuona...
Mamelod 69% YANGA 31%..... Je umewahi kujiuliza hizi possesion hupatikanaje? Ipo hivi kinacho angaliwa ni muda wa kumiliki mpira kwa timu husika ndani ya dakika flani mfano dakika 30, 45 au 90...
Miezi miwili iliyopita zilisikika sauti za kusema "hatumtaki Chama na Bora aende maana yeye siyo mkubwa kuliko timu".
Baada ya game ya Simba sc na Jwaneng galaxy Fc Chama kuonesha kiwango chake...
Tuliambiwa kuna maboresho makubwa ya uwanja wa Benjamin William Mkapa (BWM) Stadium, lakini kiuhalisia sijaona jipya lolote mpaka jana nilipoenda kuangalia mechi ya wananchi (timu bora Afrika...
Wakati wa uchambuzi wa mechi ya Yanga vs Mamelod, mchambuzi Ramadhani Mbwaduke wa Azam tv alitaja bei ya mchezaji Junior Mendieta kuwa ni $4M. Kwamba hiyo pesa ndiyo iliyotolewa na Mamelod...
Kucheza na big club Africa tena giant,iliyosheheni full mkoko wameshindwa kuwafunga yanga ambayo haina wachezaji wake muhimu.
Pacome
Aucho
Yao yap
Ebu jamani ingekuwa simba unacheza na...
Haiwezekani historia ya kuingia nusu fainali kwa mara ya kwanza kwa timu kutoka taifa hili ipo mlangoni kwetu kabisa halafu wewe unapata nafasi ya wazi unataka kujing'arisha binafsi kwa kufunga...
Wahenga wanasema "ukimuona Kobe juu ya mti kawekwa" na ukimuona ngedere posta/ kariakoo basi ujue anafugwa.
Ipo hivi kutokana na kelele za upigaji pesa Kama Mo dewji alivyokuwa akiongea pale...
Simba sc imekua ikiruhusu magoli kirahisi sana (mepesi) Tena magoli mengine ni uzembe wa mabeki waliopewa jina kubwa kuliko uwezo wao (Ukuta wa Yericko).
Nimesikitishwa na mashabiki walioanza...
Kwanza nikukumbushe,nilishawahi kuandika,hakuna chuo wala darasa la kufundusha uchambuzi wa Soka.
Ukweli huu haimaanishi sasa kwamba kila mtu anaweza kuuzungumza Mpira na akaeleweka.
Na niweke...
Mshambuliaji timamu lazima pia uwe unabakiza pumzi ya akiba kwa ajili ya kufanya shambulizi la kushtukiza, tumeona Okrah na Mzize walipata nafasi ya counter attack wako wawili na beki mmoja wa...
Katuchambisha la Kwanza na ilikuwa kidogo tena atuchambishe na la Pili sema Babu nae alikuwa anajitahidi Kutuokoa.
Mwambieni Inonga kuwa nina Taarifa za ndani kuwa anataka kuondoka Simba SC kwa...
Mimi sidhani kama mamelodi itawatoa yanga ni suala la Muda tu
Shikeni maneno yangu haya mamelodi akiwatoa yanga mniite mbwa nimekaa hapa.
Na sio kwamba naongea kishabiki maana kuna wengine...
Kwa takribani miaka 5 ya ubora wa simba wamekuwa wakipambana kufika Nusu Fainali au Fainali ya Mashindano ya CAF (CAF Champions League and Caf Federetion) lakini maskini ya Mungu milango bado...
Mbio za ubingwa wa Ligi Kuu ya England ‘Premier League’ 2023/24 zinazidi kushika kasi, Manchester City itakipiga dhidi ya Arsenal kwenye Uwanja wa Etihad, leo Machi 31, 2024.
Msimamo wa Timu Tatu...
Kuwa Msemaji wa timu, tena kubwa kama Simba au Yanga, si lazima uwe unamwaga porojo na ndoto ambazo si rahisi kutimizika.
Kabla ya mechi ya Al Ahly Benjamin Mkapa, Ahmed Ally aliwaaminisha...