Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Huyu mheshimiwa alianza kujulikana kwenye soka pale Singida United ilipopanda daraja, wote na Mo Dewji walikuwa Singida United, Mo akiwa sponser huku Mwigulu akiwa mwenyekiti, wakashindwana...
7 Reactions
36 Replies
2K Views
Nimekumbuka hapo katikati hasa kipindi "African Football League" inakaribia kuzinduliwa, Serikali ilikuwa inaongelea umuhimu wa kuwekeza kwenye "Sports Tourism" au "Utalii wa Michezo". Tafsiri ya...
2 Reactions
14 Replies
789 Views
Kwemaaaa? Hawa watu sijui wapoje, wao muda wote wanajadili yanga utadhani wao hawana mechi,. Mbumbumbu tumieni huo muda kujadili namna ya kumtoa mwarabu, ohoooooooo msije mkasema hamkuambiwa
10 Reactions
68 Replies
2K Views
Hope mko poa wakuu na weekend hii. Moja kati ya tatizo la kudumu sana kwenye league yetu NBC premier league ni pamoja na ratiba ya kumaliza msimbmapema. Ukiuliza ni kwanini wanasema makombe ni...
0 Reactions
2 Replies
280 Views
π—©π—œπ—£π—œπ—šπ—’ π—©π—œπ—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—­π—”π—œπ——π—œ Matukio na vipigo vikubwa zaidi kuanzia (5+) kwenye derby ya Kariakoo: FT: Yanga SC 9-0 Simba SC (1938) FT : Yanga SC 5-0 Simba SC (1968) ⚽⚽ Maulid Dilunga 18' Pen, 43'...
15 Reactions
68 Replies
32K Views
Hii sio haki, hata kama ni droo prediction Baada ya kutoa kitufe kuona ni hivyo wangefanya hata manuva kama yale yaliyofanyika juzi huku dunia ya tatu... Side A una Atletico Dortumund PSG...
2 Reactions
5 Replies
381 Views
Kuelekea siku ya mchezo wetu hapa Dar, tunaomba mwenye jezi za timu yetu atupe location tuje kuzinunua. Tunaenda kuujaza uwanja wa Mkapa.
8 Reactions
24 Replies
1K Views
SIKUTAZAMA moja kwa moja mechi ya Tanga ya fainali ya Ngao ya Jamii, mechi ya Simba na Yanga. Nilichoamini tangu siku hiyo kilikuwa tofauti mno na nilichokiona nilipoyatazama marudio ya maonesho...
9 Reactions
55 Replies
4K Views
Wachezaji wa klabu ya Simba, Kibu Denis na Mzamiru Yassin wametozwa faini ya Sh. 1,000,000 kila mmoja kwa kosa la kuondoa taulo la mlinda mlango wa Coastal Union litilokuwa limewekwa pembeni ya...
10 Reactions
37 Replies
2K Views
Mtujuze sasa mna followers wangapi kwenye channel yenu ya whatsapp. Kama ni likes tu hata Haji Manara anazo mamilioni huko tik tok, Ila hana hata followers 10 kwa channel yake ya whatsapp
6 Reactions
3 Replies
483 Views
Huyu mwamba ni nomaa. Aishi Manula pole sana huwezi kushindana na huyu mwamba katika nyanja zote zilizowazi uwanjani labda umroge. Jamaa ni bonge la sweeper na bonge la nyanda. Ni kipa bora...
8 Reactions
66 Replies
5K Views
ndugu zangu wapenda mchezo wa draft kuna sheria inachanganya watu wengi sana katika mchezo huu. swali liko hivi. je itakuaje endapo utafika king halafu mpinzani wako hana/hajala kete hata...
4 Reactions
160 Replies
36K Views
πŸ”°ππ„π—π“ π”ππŸ”° πŸ† #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans SC πŸ†š Geita Gold FC πŸ“† 14.03.2024 🏟 Azam Complex πŸ•– 02:15 Usiku Kikosi kinachoanza dhidi ya Geita Gold FC #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko...
13 Reactions
199 Replies
14K Views
Katika Biblia takatifu yapo majina mengi ya watu wa Mungu waliotenda Makubwa. Jina la ENOCK, wengine huliandika HENOCK, Kwa Kiswahili cha Mvita ENOKO au HENOKO ni jina lililobeka sifa ya kipekee...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nyie utopolo kucheza na Mamelodi ni kuyatimba, wameahidi kuwapiga bao 6 pale afrika kusini. Kazi mnayo, msiba mkubwa kwa Taifa
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Aziz Ki sio striker ni kiungo ana goli kumi na tatu hadi muda huu na ligi ndo kwanza bado ina mechi za kutosha. Kama ataendelea na consistency hii ( of which I blv he will) anaweza kumaliza na...
9 Reactions
15 Replies
1K Views
YANGA NDIO TIMU PEKEE YA TANZANIA AMBAYO INAWEZA KUCHEZA NA MAMELOD SUNDOWNS "Daraja la ubora wa Mamelodi liko juu zaidi kuliko Yanga, lakini ukitazama mara ya Mwisho Mamelod kubwa bingwa ni 2016...
6 Reactions
65 Replies
4K Views
THIS MAN KAHALID AUCHO!! Today, I choose to remember and celebrate Khalid Aucho. There have been midfielders in the KPL and then there was one Khalid Aucho alias "Anti Da Lost One" He was more...
3 Reactions
2 Replies
652 Views
Mchezaji mfupi kuliko wote nchini akiwqzidi madifenda wa zamani akina George Magere Masatu au Paulo John Masanja Dickson, Dickson Job ameachwa katika kikosi cha stars kwa madai ya kugomea...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Kocha mkuu wa simba hayupo nchini toka jana baada ya game ya prison inasemekana kaenda kwao Inasemekana kashindwa kuingia kwenye mfumo wa chama.
13 Reactions
39 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…