Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Katika kikosi hiki aliyekosekana ni Mbwana Samatta, Mzamiru Yassin na Metacha Mnata ambao walikuwepo kwenye kikosi kilichocheza AFCON 2023 Ivory Coast, ongezeko ni Clement Mzize na Yahya Zaydi...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Jana kocha wa Taifa Stars, Adel Amrouche amemuacha tena kiungo wa Azam FC, Feisal Salum 'Feitoto' na Jonas Mkude kwenye kikosi kitakachocheza dhidi ya Sudan. Hii inakuwa mara ya pili mfululizo...
7 Reactions
53 Replies
3K Views
Droo imepangwa na ni dhahiri shahiri, Yanga imekutana na timu ambayo hakuna timu anayetamani akutane nae. Mamelod ndio timu inayoogopwa na kila mmoja ila Yanga ndio imepangwa nao. Ni vizuri...
5 Reactions
70 Replies
4K Views
To advance to the semifinal of the DFB Pokal, one of the best stories in European football this season. The magic of the cup ⭐ espnfc
2 Reactions
3 Replies
334 Views
Kuna wapenzi wa Simba wanaamini kwamba Yanga kupangwa na Mamelodi Sundowns hawatafika nusu Fainali. Kwangu mimi naona Mamelodi ni mwepesi kuliko Al Ahly. Kwenye hatua za mtoana Al Ahly anakuwaga...
6 Reactions
18 Replies
1K Views
Baada ya Mamelodi Sundowns kumtwanga Al Ahly na kuingia hatua ya fainali ya michuano ya African Football League hii inaweza ikawa ni darasa la bure ambalo Yanga SC wamelipata la namna ya kumfunga...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
MASHABIKI WA MAMELOD SUNDOWS TUJUANE MAPEMA Sisi kama mamelod Sundowns tunasema hivi timu tunayoiogopa afrika mashariki na Kati ni simba tu hao wengine hatuwajui Utopolo mkipata hata goli la...
14 Reactions
40 Replies
2K Views
Muda ni Saa 2:15 Usiku. Kikosi cha Simba Kinachoanza. Kikosi cha Singida FG Kinachoanza #nguvumoja#. Updates... Dakika ya 5' Goooooal kupitia kwa Saidoo baada ya kipa kuutema mpira wa Chama...
6 Reactions
274 Replies
14K Views
Baada ya Malalamiko mengi ya Wadau kuhusu GSM kuwa na Udhamini wa Timu zaidi ya Sita kwenye Ligi ya NBC, na kufanya Mpira wetu kuwa na sintofahamu kwa sababu GSM pia ndiyo mdhamini wa timu ya...
7 Reactions
95 Replies
4K Views
Karibuni sana muhawi na visababu vyenu mapema, msiwe mnasubiri mpaka mtu afungwe muanze maneno yenu ya kwamba sundowns ni mbovu, yanga wachawi mara hivi na vile kwamaoni yangu yanga anaenda...
5 Reactions
14 Replies
761 Views
Kwa jinsi hawa Belouzdad ninavyowajua , na kiwango walichokuwanacho sasa hivi, Yanga anakufa sio chini ya goli tatu. Tukutane baada ya mechi
14 Reactions
44 Replies
2K Views
Mimi ni shabiki wa Yanga na huu ndio utabiri wangu katika droo itayochezwa hivi karibuni katika kupanga mechi za Robo Fainali. Droo ikiwa hivi, basi si Simba wala Yanga ataefuzu. Hata hivyo...
32 Reactions
79 Replies
8K Views
Ushawahi kulifikiria hili pambano? Uenda ndio itakuwa mechi bora kuwahi kuchezwa kwa karne hii hapa Afrika. Nilitamani sana wakutane kwenye super cup ila waarabu walitibua msimu jana. Ndizo timu...
35 Reactions
83 Replies
5K Views
Kelele na malalamiko yamekuwa mengi kwenye klabu ya Simba. Kuanzia kwenye masuala ya usajili wa wachezaji, matokeo uwanjani, malalamiko ya kuonewa ndani na nje ya uwanja, hadi utendaji wa kila...
2 Reactions
17 Replies
958 Views
In 2011 David Beckham broke the internet after hitting three footballs into three different trash cans in a row on a beach. When he asked by reporter shortly after about whether or not it was...
3 Reactions
5 Replies
690 Views
Ni bonge la mechi pale London. Arsenal (tembo) atashuka dimbani katika mchezo wa pili wa raundi ya 16 bora akijaribu kusaka matokeo dhidi ya Porto. Mchezo wa kwanza Arsenal alipigwa 1-0 pale...
2 Reactions
10 Replies
648 Views
Hivi Yanga mmempa kazi ya kusajili wachezaji na makocha huyu Engineer Hersi kwa kigezo kipi? Kwa sababu ukiangalia hana uzoefu wa kutosha katika sekta hii. Huyu mtu anasajili wachezaji almost wote...
3 Reactions
48 Replies
5K Views
Kituo cha kulea vipaji cha Rungwe youth sports center kilichopo wilayani Rungwe mkoa wa Mbeya kimeingia mkataba na klabu ya @azamfcofficial kwaajili ya kulea Vijana wnye vipaji ambao baadae...
0 Reactions
1 Replies
466 Views
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), leo Jumapili Julai 21, 2019 limetoa ratiba ya awali ya michezo ya ligi ya mabingwa wa Afrika CAFCL msimu ujao 2019/2020 ambapo wawakilishi wa Tanzania...
9 Reactions
116 Replies
16K Views
Hongera Simba SC kwa kuchukua kombe la Ligi Kuu Tanzanian bara. Katika kumbukumbu Simba iliwai kupoteza mechi siku ya kukabidhiwa kombe la Ligi Kuu dhidi ya Kagera Sugar kama sikosei uwanja wa...
2 Reactions
18 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…