Mchezo kati ya Liverpool dhidi ya Manchester City umemalizika kwa sare ya 1-1 kwenye Uwanja wa Anfield, matokeo ambayo yanaipa faifa Arsenal kubaki kileleni katika Premier League kwa faida ya...
Kama umefuatilia mechi za Yanga karibuni utagundua wakicheza na timu dhaifu au vibonde wanakamia na kuzipopoa goli nyingi kwelikweli ila wakikutana na timu za super league wanaufyata
Hili tunaita...
Naona mashabiki hoyahoya wa Simba wanalalamika eti GSM anaharibu ligi yetu kwa kudhamini klabu nyingi.
Baada ya kushindwa uwanjani mabwana wale wamehamia kwa GSM kumlaumu anadhamini timu...
Meneja wa Aishi Manula, Jemedari Said awajia juu viongozi na mashabiki wanaomlaumu Aishi Manula kwa kufungwa nabangula.
"Kuna timu zinajimilikisha UHALALI WA KUSHINDA tu kwenye ligi yetu, zenyewe...
"Tuviheshimu sana vilabu vyenye viwanja vyao na tuwaunge mkono, Azam FC, Mtibwa Sugar, IHEFU kabla ya kuuzwa na kutelekeza uwanja na JKT Tanzania, angalia Simba SC wanavyodhalilika ma viwanja vya...
Huyu jamaa nimemsikia akisema hawezi kucheza timu yenye viongozi mashabiki wa yanga na Simba.
Hata hivyo ninamuona ni mchezaji mpumbavu sana kwani huenda aliishi kwa kula pesa ya yanga ili acheze...
Kama mliweza kuwafunga goli 5 nina uhakika mkikutana tena mnaweza kuwafunga goli 9 au 12.
Kwa ubora mlio nao kwa sasa na unyanya walionao Simba ya sasa nawashauri kaeni chini mkubaliane kuweka...
Mzuka wanajamvi!
Ni mechi inayosubiriwa kwa hamu sana na wapenzi wa mpira duniani. Ni kati ya mabingwa wa uingereza Fa premier league Manchester City dhidi ya Liverpool.
Ukizingatia msimamo wa...
Wadau kutokana na Mafanikio ya YANGA na SIMBA ktk Michezo ya Champion league nasikia tumeongezewa timu za kushiriki Champion League je ni kweli? Kama ndio tumepewa Timu zetu ngapi zitakazoshiriki?
Mkurugenzi mpya wa masoko, wanachama na mashabiki wa klabu ya Young Africans ndugu Ibrahimu Samweli anatoa wapi mamlaka na uhalali wa kuvunja uongozi wa kuratibu shughuli za matawi ya yanga...
Nimeiangalia arsenal ikiwa chini ya arteta kwa misimu kadhaa
Mpaka msimu wa mwaka jana alikuwa anacheza mpira wa kivulana sana/mpira usio na malengo
Ila msimu huu ameongoza kitu
Na amebadilika...
Wakuu.
Kumeibuka mjadala mkubwa juu ya uwezo wa golikipa Aishi salum manula kuwa wapo wanaodai kiwango kimeshuka sana lakini naona yule bado sana.
Ujue manula ni muhanga wa mazingira! Ndiyo ...
Tukubali tukatae yanga ya sasa siyo kinyonge aisee, kuna mashabiki wakati yanga inapoteza nyumbani kwa CR, watu wengi sana walisema yanga atamaliza kundi wamwisho na hatopata point(poor mindset)...
Tangu jana mwekezaji wa Simba alipopost kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii kuwa amesikia kilio cha mashabiki wa Simba cha kutaka klabu yao iwe na uwanja wake wa kuchezea mechi za nyumbani...
Kikosi Cha Simba Kinachoanza Leo.
Kikosi Cha Tanzania Prisons Kilichoanza leo.
Updates
Dakika ya 45+3
Tanzania Prisons wanapata Goli kipitia kwa Samson Mbangula.
HT
Simba 0-1 Tz Prisons...