Kuna siku niliwahi kuwaita Simba SC club na mashabiki wake kwa pamoja na wachambuzi wao wa bahasha kama kituko cha taifa. Na hili limejidhihirisha jana, katika hali ya kushangaza baada ya...
Kumtwanga mpinzani goli 6 sifuri hatua ya kufuzu robo fainali sio kazi rahisi hata kidogo, sio madako kwamba kila mtu anayo. Jana nilisema simba linapokuja suala la kufuzu robo fainali klabu...
Kama sisi tuichilimbwa 5 na Yanga na sisi tukawafunga wafuga vitambi 6, je wafuga vitambi wangekutana na yanga wangechilimbwa ngapi?
Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
Kuna video clip nimeiona inateand huko FB.
Video hiyo inamuonyesha mtu mmoja alievaa joho jekundu, akichezea kichapo kutoka kwa watu wenye hasira kali tena ni ndani ya uwanja kabisa, alafu kuna...
Japo sisi wachambuzi hatuna timu ya kushabikia ...ila Kwa maslahi ya taifa nimefurahishwa na ushindi wa Simba ....( Wakimataifa )
Now Tanzania tumeleta heshima Kwa nchi za kusini mwa Sahara...
La Liga is investigating after vinicius junior was called a monkey by a child during Valencia - Real Madrid yesterday.
===
According to The Athletic, a video on social media, posted by ESPN...
Samahani,nilichelewa kuchukua hii video,
Lisaa limoja kabla mechi kuanza timu nzima ya JWANENG iliingii uwanjani ikiongozwa na kocha wao msechu,
Kocha akaenda katikati ya uwanja akamwaga vitu kama...
Jobe FC haina tofauti na kuku mgonjwa anayepakwa pilipili matakoni ili achangamke kisha apelekwe mnadani.
Kiukweli Jobe FC wanawashangaza mashabiki zao, kama wangecheza na Yanga SC, Azam na KMC...
Mpira siku zote ni mchezo wa wazi tulishasema toka siku nyingi kipindi simba iko kwenye peak ilijengwa kumzunguka chama chama ndo alikua anaamua Simba icheze vipi alipoondoka ndo anguko la simba...
Hakika Nchi nzima imefurahi, Imetulia, kila mwananchi ana furaha kutokana na Matokeo ya jana ya Ushindi wa Simba wa Goli 6-0.
Simba ndio mwenye Mpira wao,
wenye uzoefu nao hapa Tanzania, hao...
Bondia Hassan Mwakinyo ukipenda muite Colorado King A.K.A CHAMPEZ ONE TIME , Tornado amtaka Asemahle Wellem amuoneshe kazi baada ya kuona Watanzania wamenyoosha mikono kwamba hawamuwezi bwana...
Ndiyo! Waswahili Wanasema "mnyonge mnyongeni haki yake mpeni"
Nimetazama mechi mbili za Simba sc kwenye michuano ya CAF haswa mechi ya Jwaneng Galaxy na Wydad nimeona mabadiliko makubwa sana kwa...
Bila kupoteza muda, nazipongeza timu zetu Yanga na Simba kwa kuingia kwenye hatua muhimu ya robo fainali
Kimsingi, timu hizi zimeonesha uwezo mkubwa na hayo yote yanachangiwa na upinzani na utani...
Ama kwà hakika Mpirà ni mchezo wa wazi,hauna longolongo kwà watu wanaoamini Mpirà ni sayansi.
Ni wiki sasa tangu ule upande wa MAJINI FC ushinde goli zao nne na kupelekea benchi zima la ufundi...
Simba walimaliza juu ya Al Ahly tena kwa kishindo lakini sikusikia haya makelele kama niliyokuwa nayasikia kwa uto au ndio kipofu kaona mwezi?
Hawa jamaa baada ya kuwafunga CRB goli 4 walijitapa...
Wakuu,
Wakati taarifa zikieleza kuwa Mchezaji ‘KIRAKA’ wa Simba SC, Nassoro Kapama akiwa katika hatua za mwisho kutemwa na uongozi wa klabu hiyo, Leo Jumatano (Januari 03) kutafanyika kikao cha...
Hizi ndio rekodi za CAF msimu huu
Mamelodi ndio timu iliyofuzu kwa pointi nyingi zaidi, 13
Yanga ndio iliyofuzu kwa pointi kiduchu zaidi , 8
Simba ndio timu iliyoshinda kwa ushindi mnono zaidi...