Simaanishi timu iko vizuri sana au vibaya ila inamkosa kiungo mwenye aina ya uchezaji kama wa Rally Bwalya.
Nini kifanyike?
Viongozi wa Simba SC dirisha kubwa la usajiri likifunguliwa...
1. Kama sio Rais wa Yanga kwenda kuimarisha mahusiano na Al Ahly leo wangekula 10
2. Timu inategemea sana mganga kuliko uwezo wa kocha.
3. Kama sio kuongea na washika vibendera leo Taifa...
Kwenye ulimwengu wa roho tumepambana kumpa Simba ushindi ili afuzu lakini imeshindikana
Amefungwa goli dakika ya 73 kwa kichwa, huku Chama akikosa penalty dakika ya 89
Mpira umekwisha na Simba...
"Msimu ujao Simba italazimika kubadili nusu ya timu kwa sababu ya mambo mengi, umri ni moja wapo".
- Morena Ramoreboli, Kocha wa Jwaneng Galaxy
#FutbalPlanetUpdates
#CAFCL
[emoji2788]𝙆𝙊𝘾𝙃𝘼 𝙒𝘼...
Hello!
Mimi nachukia sana uchawi na ushirikina makazini, kwenye siasa, kwenye soka, vyuoni, na mahali popote pale.
Nimeona kakikundi cha watu leo asubuhi Dar es salaam wakifurahia wakisema mchezo...
Nasisitiza tena kuwa naomba leo Saa 3. Kamili Usiku tukimbiane hapa JamiiForums kwani najua kutawaka Moto mkubwa sana na Watu wartachekana na Kuumbuka mno.
Kombe la Shirikisho ambalo ni shindano pendwa la Yanga limefutwa?
Maana sisikii tena likizungumziwa hata wachambuzi wala mashabiki
Vip hili kombe limefutwa au ndio kuwa halina mvuto kabisa hadi...
Huu ndio ukweli kwani humu katika makundi na kufuzu kuingia hatua ya makundi, huwa kuna timu dhaifu sana kutegemea na ligi yao na pia kwa kanuni za siku hiz,i wanaoshiriki sio wote ni mabingwa...
Namshauri Kidunda aache ngumi , amekwisha , akiendelea atadhalilisha jeshi letu , na ikibidi astaafishwe kinguvu
Hatuwezi kuendelea kubebwa kibwege namna hii
Kingine ni hiki , wanajeshi kuja na...
Wakuu niwakumbushe wana 5imba ya kuwa washangilie ushindi ila wasisahau hii robo fainali waliyoingia leo ndio huwa hatua yao ya mwisho.
Yaani hata walipoanzia robo kwenye African Football League...
Alipotakiwa na Juve Mwaka 1994 Zinedine Yazid Zidane alifurahi saana. Kisa cha yeye kufurahi ni kwamba angekwenda kuungana na Mchezaji wake boora wa muda wote ambae yeye anakiri kuwa vitu vingi...
Katika uzi huu maridhawa najaribu ku prognosticate / bashiri kile kitakachotokea katika pambano la Jumamosi baina ya Kolozidad na Galaxy ya Botswana.
Mbumbumbu fc wataingia katika mchezo huu...
Japo ni Mimi ni mchambuzi mashuhuli hapa mjini JF.....lakini pia ni mtabiri maarufu wa mechi ...since sijawahi kosea
Utabiri wangu
Leo mchana nilikuwa nimejiegesha hapa kazini ghafla nimeota...
Naona mashabiki wa simba wengi wana matokeo mfukoni kwamba leo wanaenda mpiga jwaneng galaxy nyingi
nawaonya tu, mpira ni mchezo wenye matokeo ya kushangaza na ya kikatili mno
msije mkavunja...
Huyu jamaa,
Natamani aondoke Simba. Simpendi kwa kuwa ni mchezaji mzuri. Akiamua huwa anafanya mambo ambayo ni ngumu kuelezea.
Ninamwangalia hapa sijui tungempata Yanga huyu ingekuwa moto zaidi...
Salaam Ndugu zangu.
Naomba kutoa mapendekezo yangu kuhusu kikosi cha Ushindi cha Simba kama inahitaji kuwafunga Jwaneng Galaxy hapo Kesho.
1. Golikipa yeyote kati ya Aishi, Ally Salim au Ayoub...
Baada ya okrah Magic kuonesha kiwango Bora Katika mchezo wa Yanga vs Polisi kombe la shirikisho, Kuna wachambuzi wameibuka na kuanza kumuombea namba Okrah mbele ya Max Nzengeli.
Hizi ndiyo...