Mfano kwa hapa kwetu Simba na Yanga ikitokea huko mbele moja aongoze kundi mwengine ashike nafasi ya pili, inawezekana?
Uwanja wa nyumbani na ugenini utakuwa upi?
Mwamwedi bhana anatabia za ajabu, SIMBA ikikaribia kupata zile Bilioni za CAF ndio anajitokeza kwenye media na kusema kapoteza hela nyingi ili kuwatoa wanachama kwenye FOCUS ya Mpunga wa CAF.
Ni...
00' Mwamuzi anapuliza kipenga kuashiria mwanzo wa mchezo
30' Luis Miquissone anapiga goli la kwanza kwa upande wa Simba
32' Goli la Simba halidumu baada ya Zemanja Soze wa AS Vita kusawazisha...
Kocha wa Jwaneng galaxy Fc amesema kuwa "Simba sc Kama wanataka kulipa kisasi basi wangelipa zile goli 5 walizofungwa na Yanga Sc"
Maoni Yangu: kwa muonekano huu inaonekana Jwaneng galaxy Fc...
Nasikia kuna Mtu hatoamini leo na huenda Hayati Rais Mstaafu Mzee Mwinyi akasindikizwa na Wengi ama kutoka nchini Botswana au Tanzania. Tafadhali lielewe vizuri neno kuna Mtu hatoamini leo sawa?
Kama umefuatilia mechi za simba karibuni utagundua timu imekuwa tia maji tia maji kama gari la mkaa siku moja barabarani wiki gereji
Timu haina kikosi aggressive chenye uchu wa mabao na...
Endapo simba atatinga robo fainali TANZANIA ndio itakua nchi pekee yenye timu mbili kwenye michuano ya CAFCL, Hii itatengeneza atention ktk michuano watataka kujua kunanini huko NBC PL? itatoa...
Waendesha Mashtaka wa Hispania waliosimamia kesi dhidi ya Beki wa zamani wa Barcelona, Dani Alves wamedai kifungo cha miaka Minne na Nusu jela alichohukumiwa Mwasoka huyo kwa tuhuma za unyanyasaji...
Jana nilikesha kumcheki Jini Makata akidhalilika kwa msouth, kiukweli wote tuliocheki ile gemu tunakubali kuwa Nusu Mtu Nusu jini alipigwa, kibaya zaidi ni pale Raundi ya mwisho ilipobakia sekunde...
Match Day
🏆CAF Champion League
⚽ Jwaneng Galaxy vs Simba
🏟️ Francistown Stadium
🗓️ 02.12.2023
⏰ 1600hours (EAT)
Kikosi cha Jwaneng' Galaxy kinachoanza.
Kikosi cha Simba Kinachoanza
All the...
Hili ninaloliongea nimelishuhudia mwenyewe,Wachezaji wa simba wakiandamana kwa mganga wa kienyeji ili kupata nafasi ya kucheza kwenye timu ,
Wachezaji wa Yanga pia wanapishana kwa mganga huyo...
1/ Mtendaji mkuu wa Jwaneng Galaxy (Senzo) Hii ni silaha kubwa sana (nyuklia) kwa maana Senzo anawajua Simba sc nje ndani Alishawahi kufanya kazi Simba na Yanga pia kwa hiyo anajua fitina /michezo...
Kwa msiojua keaho kutakuwa na pambano la ngumi Kati ya Seleman kidunda na Asemalle Wellem wa South Africa,Huyu Asemalle ndio alitoka kumchapa juzi hapo Twaha kiduku ni moja ya mabondia wazuri sana...
Huenda mashabiki wa timu ya Cr Belouzdad leo watakuwa wamelaani sana matokeo ya Yanga dhidi ya Al Ahly ila kibongo bongo hawa ndugu zetu sio wageni tunawajua, ndugu yangu mkulima wa bamia...