Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kuchezesha Mzize aliyevimba macho kwa ugonjwa wa Red Eyes ni ushahidi wa wazi kwamba timu hii haina Daktari na ni aibu sana. Uchunguzi unaonyesha kwamba Mzize amefunga mabao mawili baada ya...
20 Reactions
63 Replies
3K Views
[emoji599]HAPO KWANZA NCHEKE[emoji23] Inawezekana simba ndio waliomuomba msamaha Chama (hii ni sawa una manzi mkali sana anakutawala, hata akifanya kosa wewe ndiye uta apologize [emoji22])...
9 Reactions
56 Replies
3K Views
Klabu ya mpira ya Chelsea (Chelsea FC) kutoka England itafanya ziara nchini Tanzania siku chache zijazo. Lengo la ziara hiyo ni kukuza utalii pamoja na michezo ikiwemo kujenga akademi ya mpira wa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wachezaji wa timu ya Taifa ya Angola wamepewa simu [ Iphone 15 ] na kampuni ya UNITEL hii ni baada ya kufanikiwa kuingia Robo Fainali. Aidha Angolan Bank pia imetoa dola 6,000 kwa kila mchezaji...
2 Reactions
5 Replies
731 Views
Nilishatabiri mwamba wa hii Afcon ni Cape Verde. Sasa mtaniamini mtapoona South Africa yule kenge msupport magaidi wakipalestina anakalishwa mpaka anaomba poo pale mtondogoo... Mimi ni Octopus...
2 Reactions
7 Replies
417 Views
Taarifa ya Al Nassr imethibitisha kuwa nahodha wa klabu hiyo Cristiano Ronaldo hatokuwa sehemu ya Mchezo siku ya kesho dhidi ya Inter Miami CF. Sababu iliyowekwa wazi ni kuwa, Staa huyo wa Ureno...
0 Reactions
2 Replies
401 Views
Nasema hivi Weusi sisi ni Njaaa sana, Tumempata Kocha atakae tuponya atakae tuambia ukweli tuendeleee katika soka ila kwa kua tuna watu wasiojua Mpira saiv wanapanga kumfukuza kocha. Mnamfuta...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Yani karbia asilmia 90% ya washabiki wa Simba wanasupport suala la timu Yao kwenda kuchezea amani Zanzibar kwa kigezo Cha wanapata shida ya kupata matokeo Azam complex. Swali ninalo jiuliza...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Ni wiki 3 zimepita tangu shehena ya jezi zinazo semekana kuwa ni fake kukamatwa, baada ya sinto fahamu hatimaye Waziri Ashatu Kijaji akajitokeza na kusema kuwa serikali inalifanyia kazi na taarifa...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Japo kolo management walimdharau mgunda kumpeleka kolo queens ila kocha mgunda ni bonge la kocha Kwa sababu zifuatazo 1. Boli litembee philosophy, hii slogan ya mgunda inaifanya timu ijiamini Kwa...
10 Reactions
90 Replies
3K Views
Bondia Hassan Mwakinyo wa Tanzania athibitisha ubora wake baada ya kumchapa Mjeda wa Ghana raundi ya saba katika pambano la ubingwa wa WBO. --- Bondia Hassan Mwakinyo ameshinda pambano usiku huu...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Toka najitambua kweny soccer bara la ulaya timu za taifa ninazo zisikia ni France, Spain, Italy, Belgium, Portugal, england, Wales, Czech republic, German, Croatia uholanzi , na zingne ila mara...
10 Reactions
24 Replies
1K Views
Bingwa Mtata Mtatuzi Hassan Mwakinyo amefanikiwa kunyakua Mkanda wa WBO baada ya kumtwanga Bondia kutoka nchini Ghana Elvis Ahorgah kwa KO raundi ya 7 katika pambano lililofanyika visiwani...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
"Hatutambulishi tena Wachezaji wetu wa Kigeni wakitua tu Uwanjani kama zamani kwani kuna Timu moja ina Jicho la Husuda huwa inawamaliza Kimpira" msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe. Chanzo: Sports...
1 Reactions
4 Replies
855 Views
Sadio Mane only received a Yellow card for this tackle on Ivory Coast and Nottingham forest midfielder Ibrahim Sangare.
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Kombe linaenda wapi? Mbona meza imepinduka snaa kwa timu kubwa Ila Moroccco ni kama imeonewa sana na refa. Nilitaka Morocco ipite Morocco out Algeria out Senegal Out Tunisia Out Egypt Out...
0 Reactions
28 Replies
1K Views
Kabla ya mwaka 2004 FIFA ilitaka mchezaji achezee timu ambayo yeye ni raia tu wa nchi hiyo. Mwaka 2004 walibadili sheria. Mchezaji aliweza kuamua kuchezea timu ya taifa lolote alilotaka...
8 Reactions
27 Replies
2K Views
Leo tarehe 24.01.2024 hatua ya makundi ya michuano mikubwa barani Afrika ya AFCON inatamatika. Mwenyeji Ivory Coast bado ana nafasi finyu ya kutinga hatua inayofuata ya mtoano. Hivyo anaombea...
7 Reactions
35 Replies
3K Views
Katibu mkuu wa wizara ya Utamaduni, sanaa na Michezo Gerson Msigwa, amesema timu ya taifa "Taifa Stars" itarudi nchini kwa makundi na sio kwa pamoja "Kuna changamoto kidogo ya usafiri...
0 Reactions
16 Replies
994 Views
Wanamichezo nawasabahi.Kwa wale wapenda Michezo hasa Mpira wa Miguu wa miaka ile SIO hawa wa 2000 naomba kujua Walipo wachezaji hawa na Wanajishughulisha na Shughuli/biashara gani baada ya...
1 Reactions
2 Replies
538 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…