GENTAMYCINE nawaambieni hili mapema na Asubuhi hii kwakuwa tayari nimearifiwa na Chanzo Muhimu kuwa Ombi lenu la kwenda Zanzibar kuutumia Uwanja wa New Amani Complex kwa Mechi zenu za Ligi Kuu...
Nashukuru kuwa leo tena kipigo. Watu waelewe mpira si uhamasishaji. Ni uwekezaji serious. Team ilipaswa ikae kambini ijiandae. Ilipaswa iendeshwa na wataalamu siyo wanasiasa.
Sasa na michezaji...
"Kwa sasa Simba SC tutautumia Uwanja wa Azam Complex kwa Mchezo wetu dhidi ya Tembo katika Mechi ya ASFC Keshokutwa na Taarifa ya Simba SC itatumia Uwanja upi kwa Mechi zake za Ligi Kuu ya NBC na...
Habari jf ,mfano hii ni Ratiba ya viporo ya Simba Sc ,Yanga nao ratiba tight .Kuna haja TFF ratiba zao kuzi review vizuri .
Na hii hapa ni fixture ya Yanga.
Tarehe 2/2
Kagera vs Yanga
Tarehe...
Mchezo wa mpira wa miguu ni jambo kubwa sana na wenye kujua limewapandisha kiuchumi, kiwatambulisha duniani na hata kuleta amani kwenye vita.
Tumeona wote jinsi taifa la Ivory Coast lilivyoandaa...
Inaelezwa kuwa klabu kadhaa kutokea Barani ulaya ikiwemo bayern leverkusen zimevutiwa na uwezo wa mlinzi wa Taifa Stars, Ibrahim Bacca anaechezea Yanga SC.
Klabu zinazotajwa zaidi ni kutokea...
KWAKO CEO WA SIMBA IMAN KAJULA, Serikali kupitia Wizara ilitangaza kuvifungia viwanja vyake viwili kupisha matengenezo mnamo DESEMBA 22, 2023 na mpaka sasa yapata mwezi na siku kadhaa, ila hadi...
"Hongera Taifa Stars, mmeonyesha ukuaji na uvumilivu. Ghana katoka, Algeria katoka. Sisi ni nani?" - Zitto Kabwe
#PlusXtraUpdates
Je sisi ni nani tupinge??
Sent from my TECNO KG5j using...
Kwenye AFCON ni mchezaji gani aliyetoka kwenye ligi ya Tanzania aliyeonesha uchezaji wa kupigiwa mfano hata kukumbukwa na mataifa mengine?
Au baada ya mashindano haya ni mchezaji gani unadhani...
Itakumbukwa kuwa Mwaka 2023 Mwezi wa 9, Mshambuliaji wa The Al-Hilal ya Saudi Arabia, Neymar JR alipata majeraha kwenye Goti ambayo yanamfanya kukaa nje ya Uwanja kwa Muda wa Miezi 6-12
Majeraha...
Hello heshima kwenu ndugu zangu!
Mimi ni kijana Mtanzania mpenda michezo, na katika kujihusisha sana na michezo, Mungu amenijalia kujipata kwa kuja na aina mbili za michezo.
Mchezo wa kwanza...
SIMBA WASIKUBALIWE KUTUMIA UWANJA WA AMAAN
Bodi ya Ligi isiruhusu hili Zanzibar Wana ligi yao na wanautumia huo uwanja kwenye michezo ya ligi kuu ya Zanzibar
Bado hakuna muungano kwenye michezo...
Wenyewe mnajifanya Wasiri halafu GENTAMYCINE nikiwa nawaumbua hapa kwa kilichoendelea mnaninunia.
Hivi kweli inaingia Akilini Fedha za Wanakamati na Watu wa Hamasa wa Taifa Stars mlikuwa nazo ila...
Kwenye maisha ya soka ukiachilia mbali mabao na vyengaa ila burudani nyingne ni kushudia utukutu na ubabe wa wachezaji
Sergio Ramos master Red card, kati ya tukio ambalo nalikumbuka kutoka kwake...
Ni ajabu sana na inasikitisha sana kwa timu inayojiita inao viongozi na viongozi hao hao wanashindwa kujua kanuni walizoshirikishwa kuzitengeneza juu ya viwanja vya kuchezea ligi kuu na FA...
Hivi wadau, mnajua Tanzania ilikwenda AFCON kwa mara ya kwanza mwaka 1980 wakati huo timu zinazofuzu huko ni 8 tu?
Yaani kwa lugha nyingine, tungekaza sasa hivi tungekuwa moja ya magwiji wa...
Simon Patrick (Mwanasheria wa klabu ya Yanga SC)
Hongereni sana @taifastars_ , binafsi siwadai, matokeo haya ndio kipimo chetu cha uwekezaji wetu kwenye soka.
Kwa maslahi mapana ya Taifa...