Wazee wa Yanga waibuka sakata la mechi ya Singida, wamshukia Jemedari Said pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali wanao sapoti Simba
"Kuna baadhi ya viongozi wa nchi wanasema Yanga ifungwe...
Kwa yanayoendelea kwa kaka yetu
Sitoshangaa kusikia yanga amemtoa aziziz ki kwa mkopo kengold
USHAURI tu kama vipi Baba engn huyuu muuzen mapema kabisa
Hikituu anachokifanya Leo mkiona HATA...
1..Simba haipangi matokeo kwa namna yoyote Ile, ASIPO CHUKUA UBINGWA NIULIZWE MIMI
2....Simba Haina reserved team kama upande ule, ASIPO CHUKUA UBINGWA NIULIZWE MIMI
3....Simba ndio timu pekee...
Tufikie hatua tuwe wakweli tu. Hii michezo tunayofanya haijengi team na wala hatujui ubora halisi wa kocha.
Tuambiane tu ukweli. Kwenda kucheza na teams ambazo tayari tumeshazinyong'onyesha...
Bila ya kupepesa macho suala lililifanywa hivi leo na Singida Black stars linaonesha viashiria vyote vya upangaji wa matokeo katika ligi kuu ya NBC nchini Tanzania.
Yaani Singida BS wameanza na...
Jana nilibet match moja tu ya Yanga na niliweka milioni nikijua Yanga atashinda, nikapiga hela yangu ya kunitosha kula wiki nzima.
Kuna mechi ambazo huwa nina uhakika Yanga anashinda, kwa msimu...
Jana Yanga ameshinda kelele zimekua nyingi sana kutoka kwa mashabiki wa simba malalamiko yao yameanza kuanzia kwenye kupanga kikosi cha singida black stars na yameenda mpaka kwenye mambo ya gsm...
Unaikumbuka Rossoneri hii iliyoiua Kibebe Kizee cha Turin, Juventus katika Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya mwaka 2003 katika dimba la Old Trafford. Hiki ni moja ya vikosi vilivyosumbua sana...
ACHANA na ufundi wake uwanjani. Hii ya sasa ni kali zaidi na nyota wa Yanga raia wa Ivory Coast kazua balaa jipya kwa wasanii wa kike wa Bongo Fleva na Bongo Movie ikiwa ni siku chache tu tangu...
Patrick Aussems na Denis Kitambi walifukuzwa baada ya kupanga kikosi kigumu dhidi ya Yanga kinyume na maelekezo ya viongozi wa timu.
Soka la Tanzania ni takataka kabisa. Kampuni za betting...
Mabingwa watetezi wa taji la ligi kuu ya NBC wanashuka dimbani kuwaalika Singida Black Stars.
Ni mchezo wa kukata na shoka, huku kuna Dube kule kuna Sowah. Huku kuna Keyekeh kule Aucho. Nani...
Sidhani kama kwa haya niliyoyaona Leo maana baada ya mpira kwisha stori zilikuwa nyingi sana baina ya Rais wao na wachezaji wa Black Stars, walikuwa wanafurahia vituko vya uswahilini.Mara Rais...
🚨 NEW WORLD RECORD!
In Barcelona, Jacob Kiplimo has shattered history, becoming the first human to break the 57-minute barrier in the half marathon!
He blazed through 21.1 km in an astonishing...
Hali inazidi kuwa mbaya kwa Man U Kila Leo. Hata mechi inayo fuata na Everton Man u wanaweza kufungwa pia.
Mpaka najiuliza hivi Ferguson alikuwaga anawapa nini marefa?
"Jemedari anachuki na Yanga binafsi sisi tunajua, kuna kitu alikitaka Yanga akanyimwa basi amejenga chuki ndani ya Yanga"
Mwinyi Mtaluke Mangala mjumbe wa baraza la wazee wa Yanga.
"Kuna mtu...
When Allyson Felix became pregnant, Nike was prepared to cut the terms of Felix''s endorsement by as much as 70% due to the pregnancy, and told her to “know your place and just run.”
Amid all of...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane
TAHADHARI
Kama unaelewa kabisa una presha,au unahanguka na kuzimia kama OKW BOBAN SUNZU ,Tafadhali sana nakusihi tarehe 8.3.2025 usiende uwanjani au...