Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Official and confirmed: Babacar Sarr is a new midfielder for Simba SC. [emoji599] #Transfers #AfricanFootball #NguvuMoja [emoji881] Source:Mickyjnr
6 Reactions
93 Replies
28K Views
Kitu pekeee nina chojua ni kuwa huu mpira wa mchaka mchaka uliopigwa leo SSC hawezi kukimbizana hivi. Hawana pumzi na ndjo maana tuliwalala tano. Tumepambana sana lakini vimo vyetu pia vilikuwa...
10 Reactions
103 Replies
7K Views
Afrika bara langu,Nakupenda sana
1 Reactions
1 Replies
403 Views
Tuachane na hoja za hao wengine wanaodai michuano haikuwa na faida kwao baada ya kutolewa. Hii michuano imekua muhimu sana Kwa Simba SC Kwa sababu imempa kocha Benchika. Nafasi ya kuwajua vyema...
6 Reactions
3 Replies
593 Views
Badala ya kuanza kuchangisha tunaweza kuamua kutumia mapato yapatikanayo katika tasnia ya michezo ya bahati nasibu ambayo ni mengi kuboresha na kuinua timu za Taifa kuliko kutembeza bakuli. Mfano...
0 Reactions
6 Replies
616 Views
Je ni mshahara au per diem. Na je malipo ni flat rate au? Ama ndio mambo ya uzalendo kujitolea?
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Japo sijui kama hii ndio ilikuwa dhamira ya viongozi wa Yanga na kocha wa timu hiyo, ila ukweli ni kuwa kwa kocha makini na viongozi makini wa timu za ligu kuu, mashindano haya ni fursa ya kuona...
7 Reactions
30 Replies
1K Views
Karibuni tupeane updates ya mchezo huuu na kupeana updates kuanzia mwanzo wa mchezo mpaka tamati ya mchezo. Sent using Jamii Forums mobile app
3 Reactions
131 Replies
12K Views
Kutokana na klabu ya YANGA kutokukubali kuwa ni Timu ya Kawaida na inafungika Matokeo ya leo ya kufungwa na Klabu ya APR Magoli 3-1 katika Uwanja wa Amaani kwenye NUSU FAINAL ya kwanza na Kutolewa...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
"Suala la mpira wapewe watu wa mpira na suala la uchawa wapewe watu wa uchawa." Wizara ya Sanaa na michezo ijitafakari sana katika hili. Hili Taifa Lina watu (Legends) waliofanya makubwa katika...
3 Reactions
13 Replies
645 Views
Kwetu sisi jeneza, machela Na kubebwa mzegamzega kama alivyotambulishwa Okrah yanga in mkosi, uchuro, Na ishara mbaya kwa mbebwaji. Mechi ya kwanza tu dk ya 15 tayari Okrah anataka kuuawa...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Kwanzia mashindano ya Mapinduzi yaanze, Gamondi wala haumizi kichwa juu ya mashindano hayo, squad yake imesheeni watoto wa Yanga B na wachezaji wasiopata namba kwenye kikosi cha Yanga. Mapinduzi...
16 Reactions
64 Replies
24K Views
Kama mchambuzi wiki hii nimewaza sana kuhusu suala hili bila Yanga Tanzania ingekuwaje?... Yanga wanaiweka busy nchi Kwa matukio yao ambayo wanayafanya mfano ...vile vichapo vya 5G...
14 Reactions
59 Replies
2K Views
Niko Zanzibar kwa ajili ya robo fainali. Niliikuwa na baadhi ya viongozi wa Yanga asubuhi moja ya mambo yanawaumiza kichwa ni hawa APR tuwape kikosi B ama C? Nkasema si mbaya kupata ushauri wenu...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Wazanzibar wana akili nyingi sana kuliko wale wenzao wa kuleee. Baada ya kuua ligi ya muungano baadae wakagundua kuwa walikosea. Ligi ya muungano ilikuwa sehemu ya wazi ya kuviona vipaji kutoka...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Mpira wa Tanzania umejaa siasa hakuna uwekezaji kwenye football, viongozi wamekalia kununua magori tu. Wameshaona ndiyo uwekazaji wa footbal kupitia njia hiyo. Nawapongeza misri kwa kazi nzuri...
7 Reactions
19 Replies
1K Views
Endapo Yanga na Simba zitakutana Final ya mapinduzi hiyo trh 13 basi itakuwa ni derby ya 3 ndani ya mda mfupi na wachunguzi wa masuala ya mpira wakiongozwa na Eddo Kumwembe wanasema huenda team...
4 Reactions
13 Replies
829 Views
Simba oyee!!! Oyeeeeeee!!! Kutokana na mfululizo wa matokeo mabaya ya Simba ,benchi la ufundi na wachezaji wote kwa ujumla wametamba kuonyesha ukubwa wao katika mashindano ya kombe la mapinduzi...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Hawa ndio watakaokwenda kupambania taifa letu. Kila la heri kwao.
4 Reactions
29 Replies
4K Views
Hapo vipi? Naomba nichukue fursa hii kuishauri Simba SC iazishe vyombo vyake vya habari kama television na redio... Sababu 1. Kwanza Simba SC ni timu kubwa namba 1 na bora Tanzania, Afrika...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…