Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

TFF na Shomari Kapombe Kuna mgogoro wa Muda mrefu sema kocha Ambrouch ni kama sababu na kisingizio tu na anatumika Kama fimbo kumchapa Shomari Kapombe. Kwa wachezaji Wazawa Tanzania mpaka Sasa...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
Huyu jamaa shughuli yoyote lazima ajitokeze hata bila mwaliko, Yanga wameponda weeee African football league hata sasa hivi ila siku ya ufunguzi Rais wa FIFA alipotoka jukwaani akiwa na wenyeji...
7 Reactions
40 Replies
4K Views
Kuna vitu vinafanya watu waone hayamambo kama comedy inaendelea mh katibu tunaomba huyu mwijaku achaneni nae kwenye timuyako ya hamasaaa yaani uwepo wakee wananchi wa.eapa hata 500 hatutoi kuna...
2 Reactions
6 Replies
778 Views
Hili ni swali kwa wadau wote wa soka na wanasheria Kwa mfano timu fulani endapo itamsajili mchezaji mwenye makosa ya jinai kama vile ubakaji au mauaji je kanuni zinasemaje? Vipi kama...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Hivi mtu kama Mwana FA ana ushawishi gani hata aifuate Timu ya Taifa kwa madai ya uongo ya kuongeza nguvu ? Hii nchi mbona kila mahali ni kutafuta fursa?
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Nassor Kapama to join Mtibwa Sugar on a two-year deal from Simba SC. [emoji352] Mickyjnr[emoji3578]
0 Reactions
2 Replies
320 Views
Kocha wa simba Zoran Maki alipotua kwenye timu hiyo akaanza kuongea kama vile ameletwa kuongoza timu ya Ulaya. Akaanza kukosoa viwango vya wachezaji wa timu ya Simba na mifumo ya uchezaji wao...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Kocha Mkuu wa Young Africans Sports Club , Miguel Gamondi ameamua kuwaita nyota wake wa kikosi cha kwanza aliokuwa amewapa mapumziko mafupi akiwamo Khalid Aucho, Pacome Zouzoua na Yao Kouassi ili...
7 Reactions
50 Replies
3K Views
Mpira wa utotoni miaka ya 80s na 90s na 2000s (2000-2005) mwanzoni mambo yalikuwa supa. Sijui nani alikuwa analeta mbinu(tactics) za kuujua na kuelewa vizuri mpira wa miguu ili mchezaji kuwa bora...
4 Reactions
85 Replies
2K Views
Match Day. Simba Vs APR Msimamo wa Kundi B Ulivyo. Hii nimetengeneza mwenyewe, hivyo kama kuna error tujuzane. Hapa Simba tunahitaji tu Draw yoyote ili tuweze kuingia robo fainali. APR...
10 Reactions
412 Replies
21K Views
Wanakuja wachezaji wengi wanaondoka ila Kennedy Juma anabakia tena hakuna shabiki ana dout kabisa na hata akipewa nafasi anakiwasha sana. Hata timu ya taifa anaitwa sana, shida iko wapi? Simba...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Naomba wataalam wahizi mambo wanisaidie kupanga apa
1 Reactions
2 Replies
366 Views
https://www.skysports.com/amp/football/news/11095/13028884/afcon-2023-non-league-duo-haji-mnoga-and-ben-starkie-hoping-to-make-history-with-tanzania
0 Reactions
2 Replies
624 Views
Can confirm: JS Kabylie have expressed strong interest in the signing of Willy Onana from Simba SC. First offer set to arrive next week. [emoji599] JSK want Onana as a replacement for Msuva who...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Habari wakuu, kama kichwa cha Habari kinavyojieleza ningeshauri kombe la Mapinduzi lijalo Club ya Belouizdad na Usm Alger zialikwe ili kuongeza ushindani na Chachu ya mshindano kwa Vilabu vyetu...
2 Reactions
14 Replies
808 Views
Mwanariadha wa zamani wa Olimpiki mwenye ulemavu wa miguu, Oscar Pistorius ameachiwa huru leo kwa msamaha nchini Afrika Kusini baada ya kukaa gerezani kwa takribani miaka 11 kwa kosa la kumuua...
0 Reactions
3 Replies
650 Views
Alisikia chizi mmoja wa mda mrefu pale new amani stadium ukitaka kichekesho kingjne kama hiki andika neno "baleke" kwenda no 15577
2 Reactions
4 Replies
852 Views
Jana tuliwaambia SSC mjifunze kwa KVZ, Yanga imechezesha kikosi cha tatu jana lakini leo SSC ni full mkebe but kinachotokea uwanjan ni majanga. Kwa mpira huu wa kukosa utulivu kwa striker wa SSC...
7 Reactions
15 Replies
1K Views
Mabingwa wa mapinduzi cup hapa east Africa (Simba) mwaka huu nimeona wanaingiza kikosi full mkoko (first eleven) tofauti na miaka iliyopita Hizi zaweza kuwa ni mojawapo ya sababu 1. Uoga, kocha...
7 Reactions
87 Replies
7K Views
Simba SC tunaomba robo final na Yanga Mapinduzi Cup. Tutawadhihirishia zile tano za Yanga sio za halali bali imetokana na mambo mawil. 1. Waliwaonga baadhi ya wachezaji wa Simba SC kwa pesa ndio...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…