Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kelele zilikuwa nyingi Baada ya legend mwenye mpira wake kuondoka hapa bongo kwenda Egypt Wapo waliosema mayele kamkimbia baleke ..... wengine walisema baleke atampita mayele [emoji23] Hizi ni...
1 Reactions
4 Replies
569 Views
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Hivi Utopolo mnawachukuliaje mashabiki wenu?
5 Reactions
8 Replies
753 Views
Habari wana Jukwaa. Weekend inaanza. Ila hapa nataka niwakumbushe kitu kimoja kua msijisahau kua Team ambayo hua inabeba Kombe La Mapinduzi Mara Nyingi hua haibebi Kombe La Ligi Kuu Tanzania...
3 Reactions
6 Replies
621 Views
LAZIMA TUWAKUMBUSHE Kuwa wakati mnatamba Rais wa Yanga Just kupiga picha tu , Mkumbuke Simba iliwahi kuombwa elewa neno Kuombwa wacheze mchezo wa Kirafiki dhidi ya Sevilla na mchezo ulichezwa...
6 Reactions
26 Replies
1K Views
Unapofanya kazi ya kuwa mlinzi wa mmoja wa wanasoka mashuhuri duniani, basi tambua ni kazi ngumu sana, tena yenye kuhitaji umakini mkubwa. Hii inakwenda mbali mpaka kusema kwamba lazima uwe na...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Hawa vijana wanahitaji UONGOZI bora na SUPPORT ikiwemo financial . Kama kuna TAJIRI anahitaji kuwekeza kwenye mpira , KVZ ni sehemu sahihi. Laiti SSC ikingekuwa inacheza kwa spirit ya hawa...
12 Reactions
35 Replies
2K Views
Huu ni ushauri wa bure...
2 Reactions
13 Replies
710 Views
Sikumbuki ni lini nimeliona jina la Maya Mia kwenye Instagram na kuamua kumfollow ila ninachokumbuka ni kuona picha za msichana wa kizungu mwenye makeup zinazovutia sana na kuamua kumfollow bila...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Nyota wa Simba, Clatous Chota Chama na mwenzake, Nassor Kapama wamesimamishwa kuitumikia Klabu hiyo kwa kile kilichoelezwa ni vitendo vya utovu wa nidhamu. Taarifa ya Simba imeeleza Wachezaji hao...
4 Reactions
38 Replies
8K Views
Jana kwenye mechi kati ya Simba na Singida tulishuhudia malumbano kati ya mlinda mlango wa Simba Ali Salimu na beki wa simba Che Malone baada ya kutokea kosa la kimawasiliano kati yao ambalo...
29 Reactions
85 Replies
8K Views
πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡πƒπ€π˜πŸ”° πŸ† #mapinduzicup ⚽️ Young Africans SC Vs KVZ FC πŸ“† 04.01.2024 🏟 Amaan, Zanzibar πŸ•– 2:15 Usiku Ni Match ya Round ya Tatu. Yanga Tayari ameshaingia Robo fainali, Mechi inachezwa...
9 Reactions
282 Replies
18K Views
Kutoka @yangasc Rais wa Klabu ya Yanga na Mwenyekiti wa Vilabu Barani Afrika, Eng Hersi Said amekutana na Rais wa Klabu ya Paris Saint-Germain (PSG) ya Ufaransa na Mwenyekiti wa Vilabu Barani...
10 Reactions
92 Replies
8K Views
BONDIA kutoka Tanga Hassan Mwakinyo ametoa maneno β€˜mbofumbofu’ ( katupa jiwe gizani ) kwa kueleza kwamba haogopi mabondia wenye miili mikubwa na pia huwa anafurahia kuona β€˜piko’ anazojichora...
5 Reactions
29 Replies
1K Views
Hii nchi ukiwa mwepesi wa Kucheka unaweza kupasuka Mbavu , Yaani Wahuni ndio wanaoteuliwa eti kwenye kuhamasisha timu ya Taifa . Kwenye kikosi hicho yumo Mwijaku aliyeshindwa kutimiza ahadi yake...
10 Reactions
84 Replies
9K Views
Kwa zaidi ya mwezi sasa nafanya utafiti kuona kama kuna timu nyingine duniani zaidi ya Yanga, iliwahi kubandika bango barabarani kuonesha kwamba wameifunga timu nyingine, mpaka sasa bado...
5 Reactions
27 Replies
3K Views
Club ya Ihefu imemfuta kazi CEO wa team hiyo kutokana na kutokidhi mategemeo ya wamiliki wa team hiyo Kijana hiyo alijizolea umaarafu wake wa FOOTBALL ECONOMY Alikuwa akiandika mada ndefu huko...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Tupo tayari kwa mchezo wetu wa pili wa kombe la Mapinduzi hapo baadae ni saa 2:15 usiku Mungu ibariki Yanga SC Kila la kheri Yanga SC
13 Reactions
297 Replies
21K Views
Simba SC wamefanikiwa kuvuna alama 3 muhimu baada ya kuifunga timu ya Singida FG kwa mabao 2-0 na kukwea kileleni mwa msimamo wa Kundi B. Kasi ya Simba aliyoanza nayo ilisababisha kona ya mapema...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Mchezaji LuΓ­s Miquissone hakuwa mchezaji mbaya, ila ugomvi ndani ya uongozi ulisababisha afungwe miguu ili aonekane mzito, halafu kumbukeni Micquisone amesajiliwa kwa nguvu ya Mo Dewji na Try...
8 Reactions
20 Replies
2K Views
Sielewi chanzo chake lakini kwenye kila mechi wanayocheza Simba hapa Tanzania wachezaji wa Simba huchezewa Rafu sana wakati mwingine unaweza kuhisi kwamba labda kuna mkakati maalum wa kuhakikisha...
8 Reactions
12 Replies
669 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…