Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kuna mtu anajifariji kwa kusema Simba ni kubwa kuliko Chama, ni sawa lakini Chama ni Bora kuliko Wachezaji wote wa Simba, Tanzania na Afrika. Chama alishaondoka Simba kwenda Uarabuni Simba ikakosa...
15 Reactions
30 Replies
2K Views
Hatimae kile kitendawili cha umiliki wa Man Utd kimeteguliwa leo kwa ambapo klabu hiyo imefikia makubaliano na Sir Jim Ratcliffe ambaye ni Mwenyekiti wa Kampuni ya INEOS kumiliki asilimia 25 Klabu...
5 Reactions
7 Replies
687 Views
Habari wanajukwaa Nimeangalia michezo ijayo ya Simba katika michezo 4 jayo kwenye ligi. Aiseeee 😁😁 Niseme tu kwa hii Fixture Simba itapata ushindi mmoja na itasare michezo 2 na itapoteza mchezo...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari za jioni wakereketwa wa kabumbu. Ebwana kutoka kwenye chanzo cha ndani kabisa na kwa mtu Makini na kiongozi wa Simba ambaye ni miaka 4 sasa anafanya kazi Simba amenipa dondoo nne za...
31 Reactions
147 Replies
9K Views
Ni nyota njema kwa kocha Benchikha kwa kuanza vizuri katika ligi ya Nbcpl maana Simba sc toka walipochezea kichapo Cha goli tano dhidi ya mtaani haijawahi kushinda Tena Ila ushindi mkubwa ni droo...
1 Reactions
17 Replies
916 Views
πŸ”° πŒπ€π“π‚π‡ DAYπŸ”° πŸ† #NBCPremierLeague ⚽️ Tabora United Vs Young Africans SC πŸ“† 23.12.2023 🏟 Jamhuri, Dodoma πŸ•– 1:00 Usiku Game yakufunga Mwaka hii. All the Best Young African SC...
7 Reactions
215 Replies
15K Views
Wakuu habari Katika miaka kadhaa na michache ya kuishi kwangu hapa duniani nmekuwa msomaji wa majarida na maandiko mbalimbali yanayohusu maendeleo ya miji, taasisi na nchi tofauti tofauti. Moja...
2 Reactions
27 Replies
923 Views
"Benchikha mchezaji yoyote atakae mtaka tutampa" Hayo ni maneno ya Try again akizungumza na waandishi Habari lakini katika jicho la tatu ni maneno ya kufikiria sana na yanayoleta maswali mengi...
10 Reactions
29 Replies
2K Views
Watu wa Soka, Leo nimewakumbuka humu. Bila shaka mko poa! Dirisha Dogo limeshafunguliwa na timu zote ziko mbio mbio kufanya maboresho kwenye vikosi vyao. Sio jambo baya lakini sio shurti. Kwa...
1 Reactions
8 Replies
842 Views
Nilipata wasi wasi niliposikia kuwa wafanyabiashara wa mji wa Kumasi wameungana ili kuakikisha yanga atoki salama pale babayara stadium, na ilikuwa ni lazima yanga afie pale! Wasi wasi Wangu...
20 Reactions
99 Replies
8K Views
Kwa wale wenye macho ya kuona mbali kama sisi ( great thinkers) wa hapa jf nadhani atakubali Kuna kitu hakipo sawa pale mjini Simba Kwa fact zifuatazo: 1. Kila Simba ikianza kushine na kuanza...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Yanga atakuwa bingwa kwa mara tatu mfululizo na Azam atashika nafasi ya 2, hii ina maanisha kuwa Simba atashika nafasi ya 3 na atashiriki kombe la Loser mwakani, Mark my words. Wanaochezesha...
7 Reactions
3 Replies
716 Views
Wazee wa ten percent waliomleta kipa Ayub wamefanikiwa kwa asilimia 70 na wameziteka hisia za mashabiki na kufanya wamsahau bwana mdogo Ally Salim. Kwani anachokifanya Sasa Ayub Lagreb kilifanywa...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Kinachoonekana sasa,mchezaji huyu yuko tayari kucheza yanga hata bure.Simba msijaribu kwa namna yoyote kumshawishi abaki Simba. Kuna machawa kama mwijaku wameanza ujinga eti chama arudi ama kocha...
3 Reactions
4 Replies
852 Views
Anaesema Simba ilicheza vizuri dhidi ya Wydad ninamshangaa sana tena sana. Wydad kufungwa na kila timu kwenye mechi mbili za kundi lake kuliwapa matumaini wachezaji wa Simba kuwa hata wao...
2 Reactions
48 Replies
3K Views
SIMBA TRIP moja gereji Trip moja SHAMBA. FT: KMC FC 2-2 SIMBA SC 31’—[emoji460]️ Wazir Junior 88’—[emoji460]️ Wazir Junior 57’—[emoji460]️ Saido Ntibanzokiza 58’—[emoji460]️ Jean Baleke...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Hii ni dhahiri Sasa kwamba baleke ametumwa kuihujumu Simba, hivi inakuwaje unalipwa mshahara halafu unatenda kinyume na maadili ya timu Kama mtumishi. Hi haikubaliki Bora waondoke tu. Aidha...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Mashabiki wa mbumbumbu wanaupiga sana vita uwanja wa CHAMAZI kwamba auwapi matokeo wanayotaka kisa tu yanga anapata matokeo Kila akicheza pale, Sasa nawauliza uwanja wa uhuru umefungiwa...
0 Reactions
7 Replies
768 Views
Niliwahi kuwashauri siku ile mnacheza na Powe Dynamo kuwa ule uwanja sio mkaniona chizi, sina maana, mropokaji, siasa za mitandaoni na kila kashfa mkatoa, niliwaambia uwanja wa chamazi ni wa Azam...
7 Reactions
23 Replies
1K Views
Simba bila chama matokeo yake ndio haya, Tunaomba watuambie Chama kafanya Makosa Gani ya Kinidhamu..?? Mnatukosea sana mashabiki Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…