Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

π—žπ—œπ—žπ—’π—¦π—œ 𝗕𝗒π—₯𝗔 (𝗖𝗔𝗙) Kikosi bora cha wiki cha ligi ya mabingwa Africa na performance yao (Ratings). β—Ž 8.2 - Memmich (GK) β€Ίβ€Ί Petro Atl [emoji1029] β—Ž 8.2 - Yao Kouassi β€Ίβ€Ί Yanga [emoji1241] β—Ž 7.9 -...
7 Reactions
33 Replies
2K Views
Habari ndio kama mlivyosikia .
3 Reactions
54 Replies
3K Views
Wakuu hii ni document kwenye website ya CAF imefafanua, hebu tuijadili hii sheria. Wydad amebakiza mechi 2 akishinda zote anakuwa na points 9 Simba amebakiza mechi mbili, akishinda 1 na draw moja...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Sisi ni people.....tutaonana huu ni msemo anaoutafakari mwamba wa Lusaka [emoji23][emoji23] Anajiuliza hii jeuri ya kunizingua kolos wameipata wapi....au wamena onana kabahatisha mechi na wydad...
7 Reactions
22 Replies
1K Views
Kuna vimaneno vimeanza kusambazwa na mbumbumbu kuanza kumfananisha Diarra na kipa wao Ayoubu Lakred! Anayeweza kuwalinganisha wawili hao kwa sasa kwa maana ni Kama unalinganisha kichuguu na...
8 Reactions
43 Replies
2K Views
Wydad’s boss Said Naciri is reportedly involved in international drug trade and money laundering. [emoji102] He’s currently picked up by the police being questioned. More updates to come...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
... [emoji599] | π—žπ—œπ—žπ—’π—¦π—œ 𝗕𝗒π—₯𝗔 (𝗖𝗔𝗙) Kikosi bora cha wiki cha ligi ya mabingwa Africa na performance yao (Ratings). β—Ž 8.2 - Memmich (GK) β€Ίβ€Ί Petro Atl [emoji1029] β—Ž 8.2 - Yao Kouassi β€Ίβ€Ί Yanga...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Mozambique just named their final 23-man squad for the 2023 AFCON tournament. [emoji599][emoji1174] #TotalEnergiesAFCON2023 #Mozambique
1 Reactions
6 Replies
714 Views
Haya serikali imetangaza kufunga viwanja vya Benjamin Mkapa na Uhuru mpaka Oktoba 2024 ili kuvikarabati Simba na Yanga wanatamba kila upande kuwa ni timu kubwa Afrika mpaka Duniani lakini cha...
1 Reactions
10 Replies
684 Views
Kwa kiwango alichonacho kwasasa sio rahisi aanze kwenye 1st eleven ya Gamondi. Na siku zote Chama hajawahi kuwa mzuri akitokea Benchi. Atapata nafasi Azam FC. Kuliko Yanga! Yanga wakimsajili ni...
3 Reactions
9 Replies
677 Views
Serikali imefungia uwanja wa Mkapa hadi Oktoba 24, ule wa Uhuru nao hivyo hivyo, sasa kws vile uwanja wa amani unazinduliwa trh 27 Disemba nawaomba pelekeni mechi zetu kule Zanzibar ili tumalize...
0 Reactions
8 Replies
580 Views
Walai naapa baada ya chama anaenda kumwagwa Phiri kwa karanga za kuonjeshwa za Onana. Naaapa mkimaliza kuwafukuza timu inaenda kufikinika. Fitna hazijengi na Uongozi unaenda kufikinika...
0 Reactions
1 Replies
403 Views
Ligi imekuwa ngumu,kwa timu 3 za kwenye msimamo mpaka sasa ukidraw au kupoteza mechi kazi unayo. Tusishangae Azam kufunga vigogo wawili au draw na kuchukua NBC Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
17 Replies
831 Views
Ligi ya Tanzania imekua wachezaji 5 sio haba .
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Huyu dogo ni hatari! https://m.youtube.com/watch?v=g60FXyTJGWI
1 Reactions
8 Replies
958 Views
Ndiyoo! Kocha Gamondi kaja na Falsafa yake lakini Falsafa yake ni sumu iliyokuja kubomoa/ kuharibu kikosi kipana kilichotengenezwa na Fundi wa mpira Prof Nabi. Nabi alitengeneza kitu kinachoitwa...
23 Reactions
141 Replies
8K Views
Baada ya TFF kukifugia Kiwanja cha Uhuru Wizara pia imekifungia Kiwanja cha Mkapa Kwa maoni yangu kinachotafutwa hapa ni kuhamishia Mechi katika dimba Amani Zanzibar ili kumfurahisha Rais Samia...
4 Reactions
33 Replies
3K Views
Za ndani huyu jamaa alidekezwa, kama kawaida yake akaendelea kuchelewa kwenye mazoezi, sasa juzi kayatatiba alidhani atanyenyekewa , kaenda mazoezini kachelewa halafu akamfokea kocha msaidizi...
9 Reactions
49 Replies
4K Views
Nachojua ni msimamo wa chama kuhusu posho na ahadi ambazo wachezaji waliahidiwa kabla ya mechi na wydad! Wachezaji hawajapewa posho yoyote ,chama aliamua kuufuata uongozi ili kudai haki ya posho...
7 Reactions
15 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…