๐ฅ๐ฒฬ๐๐ถ๐น๐ถ๐ฎ๐๐ถ๐ผ๐ป
JSK inatangaza kusitisha mkataba wa wachezaji wake wa zamani Hichem Mokhtar na Saimon Msuva. Tunawatakia mafanikio mema katika maisha yao yote.
#๐ฉ๐ถ๐๐ฒ๐๐ฆ๐ #๐ฉ๐ถ๐๐ฒ๐๐ฆ๐
#mobilis...
Hii mipira inatupeleka kusiko kabisa . Diara kupangua Penati jana eti kuna wabongo wameumia kuzidi hata Medeama. Inaelezwa chuki hii ni kwasababu AMEHARIBU VIBE LILILOKUWA LINA TREND LA AYOUB
Habari za uhakika kutoka TPLB naambiwa mechi ya Tabora United na Yanga inachezwa Dodoma na ile ya Tabora United na Simba ndiyo itachezwa Tabora.
Hii dhana ya upendeleo kwa Yanga itaendelea...
Azam! Azam FC Hawa jamaa baada ya muda mrefu kujitafuta hatimaye naona wamejipata. Wanatembeza vipigo vikali bila kujali ni uwanja upi. Leo baada ya kumkanda Kagera Sugar goli 4 Kwa yai, nawastua...
Habari za muda za Huu na pole na mihangaiko ya kutafuta maokoto
Baada na uchovu iliyotokana na mihangaiko Nimeona nishushe game la Pes 2016 nimeinstall kwenye PC yangu Ya Dell limekubali hata...
Hivi hii Yanga ina mashabiki kweli au tumekuwa tunadanganyana tu muda mrefu.
Inakuwaje Simba iliyotoka katika kipindi kigumu iingize mashabiki wengi jana kuliko nyie mlioambiwa mtaingia bure leo...
Nimesikitika kusikia Simba watautumia uwanja wa uhuru kama uwanja wa nyumbani. Simba mnatakiwa kujiongeza uwanja ule una pitch ndogo sana haufai na utasababisha mpoteze baadhi ya mechi.
Tafuteni...
Team ya taifa ya Dar Young Africans leo inaenda kushusha kipigo cha mbwa mwizi kwa hawa Medeama hapa Uwanja wa Mkapa.
Tayari kisu kimepata makali ya kutosha na ustaadhi anasema bao ni 3. Haina...
Leo nmepata urahisi wa kuweza kujua matokeo ya baadaye kati ya wananchi dhidi ya medeana fc tofauti na mechi ya Jana ya kolos
Mitambo yanagu inaniambia mwanchi anaenda kushinda 3......0 +...
SSC mnatakiwa kuona namna ambavyo Dar Young Africans wanavyocheza, ni kazi nzuri ya Hersi Said, Injinia.
Kaeni nae chini awape mbinu.
Hata yeye alijifunza kutokana na mafanikio SSC ya kipindi...
Yule mwamba anaupiga mwingi mpaka unamwagika, ni mchezaji wa viwango vya juu, anajua na anajua Tena na Tena
Kuna kopi za wakina Pacome wameamua kumuiga na wao wakaweka bleach๐คฃ๐คฃ lakini uchezaji...
Wakati Clubs ndogo ndogo zikiwa zimefikia deadline ya kufanya usajili CAF, Club namba 1 nchini Simba Sc bado inaendelea kusajili.
Dakika chache zijazo Simba inatarajiwa kushusha nyanda la boli la...
Yanga wana timu mzuri saana
Sio tu Timu Nzuri pia yanga wanacheza vizuri
Wanatakiwa kurekebisha makosa madogo tu
Ili wawe bora zaidi na makosa hayo ni kujifunza jinsi ya kutumia nafasi ambazo...
BREAKING NEWS Mahakama ya Ulaya imeamua kuwa UEFA na FIFA zilichukua hatua kinyume na sheria ya mashindano kwa kuzuia kuanzishwa kwa Super League mwaka 2021 na sasa ni Halali kuanzishwa...
Jana nilisikia kuwa Yanga baada ya mechi yao na Medeama, walizungumza na mshambuliaji wao hatari aliyewasumbua sana Jonathan Sowah kwa nia ya kumsajili.
Nakumbuka msimu uliopita katika mashindano...
๐๐๐๐๐๐๐๐: Man United, Atlรฉtico, PSG, Bayern plus La Liga clubs including Sevilla, Valencia, Villarreal announce they are ๐๐๐๐๐๐๐ Super League.
La Liga and Ligue1 both released statements against...
Kuna wadau wanaotaka Yanga kuongeza washambuliaji dirisha dogo. Siungi mkono kwakuwa walioko wanatosha na kupitiliza. Timu ya Yanga Ina magoli mengi ya kufunga kuliko timu nyingine ya ligi hivi...
Kama Kichwa cha Uzi kinavyojieleza hapo, kiukweli huyo Jamaa ni hakuna mchezaji hapo Ball control 2%, Passing accuracy 0.5%, Shooting accuracy 1%,
Kiufupi Huyo Hafiz hakuna mchezaji hapo leo hii...
Mashabiki oya oya acheni umbumbumbu, Kama unamtupia mawe Max Nzengeli anza kumrushia mawe kwanza mfungaji wenu (Jean Baleke) maana nae anagoli sawa na Max Nzengeli.
Eti "kashuka kiwango" Eti...