Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Terrible news coming from Algeria! [emoji599][emoji1026] There’s an accident involving Mouloudia El Bayadh on their way to play against JS Kabylie on Friday. Three people confirmed dead: •...
0 Reactions
4 Replies
337 Views
Moto aliouwasha TP Mazembe msimu huu, waliouota ndio wanaweza kuusimulia!! Wamethibitisha kuwa weao ni top class, no matter what!!
3 Reactions
16 Replies
2K Views
leo tarehe 19.12.2023 Mnyama anashuka Dimbani kuzisaka alama tatu za kwanza za hatua ya makundi ya Wydada Casablanca. Mechi hizi zitachezwa saa 10:00 jioni. Nini maoni yako kuhusu mchezo huu...
18 Reactions
802 Replies
54K Views
Nimeona bandiko kuwa mchezo huo umeahirishwa, sijajua ni kwa muda gani na ni kwanini. Isije kuwa ni fitina za waarabu wanataka kusubiria mchozo wa Yanga na Medeama ili wajipange naona ya...
6 Reactions
41 Replies
5K Views
Mko nyumbani,hatutaki kusikia kisingizio au malalamiko yoyote sijui refa kawaonea , mna uwezo wote wa kumaliza game mapema. Nye ndo mtakuwa na uwezo wa kutuliza game kama presha ipo juu,hatutaki...
0 Reactions
9 Replies
634 Views
Ndugu zangu vifijo na nderemu vimetawala mitaa ya jangwani baada ya klabu ya yanga kujipatia ushindi kwa mara ya kwanza katika historia ya klabu hiyo. Ikumbukwe mapema leo klabu hiyo ilikuwa...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Mechi ya Yanga vs Al Ahly kocha msaidizi wa Yanga alipata red card, alipunzika mechi na Medeama ,mechi ya pili leo alikwepo. Je kadi aliyopata ilikuwa akose mechi moja tu?
2 Reactions
2 Replies
561 Views
Mashabiki wa Yanga wanashangilia, wanaweza wasielewe hili kutokana na ndio hivyo tena mnajua, mambo ya uelewa tena Ila ni kuwa CRB akicheza na Ahly watarudi kwenye nafasi yao halali
9 Reactions
61 Replies
4K Views
Ukicheki club nyingine kama Simba, Wydad, Mamelodi, Mazembe, Al Ahlyna nyinginez majina yao yameandikwa huku pembeni yake kuna logo isipokuwa Yanga na vitimu vingine vidogo Najiuliza ni kuwa...
2 Reactions
47 Replies
3K Views
Kila nikilitizima hili striker la boli HAFIZI Konkoni kutoka nchini Ghana linalokipiga ndani ya Yanga napata wasiwasi juu ya uwezo wake wa kutuvusha Yanga sc kutoka hapa tulipo kutupeleka hatua...
6 Reactions
24 Replies
1K Views
Waamuzi hawapendi sana kukosolewa na kushitakiwa. Alifanya hivyo sana Mourinho Chelsea sema alikuwa na kikosi bora sana na alizikabili hujuma. Ila Yanga leo watajua hawajui
2 Reactions
13 Replies
865 Views
Leo tumemaliza kuangalia pira la pipa na mfuniko pale kwa mkapa Sasa tunawakaribisha kesho kwa mkapa kuangalia pira burudani, pira lenye Kasi, mipango, na kiufundi! Bila kusahau ni mechi...
9 Reactions
46 Replies
3K Views
Yaani mpaka sasa ubao unasoma Wydad 2 SImba 0..... na SImba wanajitahidi kupambana sana ili wapate hata Draw. Maalimu anasema hali ni Mbaya kwa Simba sababu majini yote kwa siku ya leo yanaonekana...
8 Reactions
110 Replies
7K Views
Bila blah blah nadhani wote tulishuhudia kilichotokea mexhi ya Yanga dhidi ya Al Ahly hasa baada ya mgeni(Ahly) kutangulia kupata goli la uongozi baadhi ya mashabiki wakiwa na jezi nyekundu...
5 Reactions
8 Replies
545 Views
Adui mwombee njaa. Yanga wakifungwa ni heshima hata malaika mbinguni huwa wanashangilia hilo anguko. Simba ikishinda ni shangwe mbinguni na duniani. Ni shangwe Africa Mashariki yote. Hapa hakuna...
0 Reactions
5 Replies
276 Views
Cadena alipoachiwa timu nikajua madhaifu yake makubwa. Mechi ya kwanza timu ilicheza na asec. Wachezaji walikuwa wamejeruhiwa misuli na mazoezi ya ovyo na magumu. Walicheza dk 40 tu wakachoka...
0 Reactions
2 Replies
507 Views
Moja ya mambo yanayokwamisha sana mpira wetu ni ushindani na uhasama wa Simba na Yanga unaopelekea vilabu hivi siyo tu kushindwa kushirikiana katika mashindano ya kimataifa bali wakati mwingine...
2 Reactions
18 Replies
979 Views
Habari wadau. Yanga tupo vizuri sana kwenye mechi zenye mazingira mazuri ya hali ya hewa ya kutochoka.. maana mpira wetu ni pasi za kutosha.. Kucheza juani naona kabisa kutoboa ngumu leo...
1 Reactions
14 Replies
687 Views
Kuweka kiingilio bure mechi ya Yanga kunaongeza sana watazamaji watakaoenda kwenye mechi ya Simba. Tena kipindi hiki ambacho mashabiki wa Simba walirudi nyuma kidogo, hii ni boost kubwa sana...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Kwa Simba hii ya ilivyocheza leo naiona robo fainali kwa point 11 mbele ya asec ambayo itakuwa na point 10 Mark my words
5 Reactions
51 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…