Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kuna video zinatrend Morocco baada ya mechi za Simba na Wydad kumbe Azam TV hawakuonyesha upande wa mashabiki wa Wydad baada ya mechi kuisha kuna vitu vingi Azam media huwa wanaficha sijui ni...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Salaam Wana jf Kama mchambuzi mahiri hapa mjini JF Kila nikijaribu kuitazama kiundani hii mechi ya Simba vs Wydad....naona ngoma ngumu Nmejaribu hata kubashiri Kwa kutumia science ya asili bado...
1 Reactions
23 Replies
1K Views
Binafsi naamini Mnyama hatari wa mwituni Simba atapata ushindi mnono wa goli 2-1. Baleke na Kibu watatupia siku hiyo. Karibuni wadau kwa utabiri wenu.
12 Reactions
124 Replies
6K Views
Naomba nisiwachoshe. 1. Djugui Diarra 2. Kwasi Jeshi 3. Joyce Lomalisa/Farid Mussa Malick 4. Dickson Job 5. Bakary Mwamnyeto 6. Ibrahim Bacca 7. Khalid Aucho 8. Max Nzengeli 9. Stephen Aziz Kii...
11 Reactions
40 Replies
2K Views
Match Day. Simba Vs Kagera Sugar Time 1600. 15.12.2023. Uhuru Stadium. All The Best Mnyama. #nguvumoja#
8 Reactions
420 Replies
26K Views
Leo ndio nimeamini kuwa benchi la Simba linafuatilia maoni yetu hapa jf ...Kwa Hilo nawapa hongera Juzi nilitoa ushauri wa jinsi wydad Casablanca watakavyo shinda kirahisi Kwa makosa madogo...
2 Reactions
17 Replies
836 Views
Habari wakuu Wengi wenu mtakumbuka msimu uliopita nilifanya utabiri wa namna kundi la simba litakavyoisha baada ya kupoteza michezo miwili mfululizo na ndivyo ilivyokuwa mwishoni, utabiri ulienda...
6 Reactions
80 Replies
4K Views
SSC inahitaji point nne kusonga mbele. Je game yake ya home wydad atapoteza ? Simba atamla Galaxy ? Simba atamla Asec kwao au ku draw . Maswali yote hayana majibu SSC amejisogeza but bado...
0 Reactions
15 Replies
807 Views
Simba ni TOP CLASS! ni bahati mbaya tu TEMPORARILY wapo kwenye LOW FORM! Wanaoujua mpira wanafahamu kuwa class is permanent but form is temporary. Ni suala la muda mfupi tu uto watakimbiana!
3 Reactions
42 Replies
2K Views
Kama uliangalia ile game Vs Asec save aliyofanya aisee Ni bonge la kipaa, binafsi sielewagi kwanini huyu mwamba anapondwa, makosa yapogo tuu kwenye mpira Ni kipa gani duniani mzuri hajawahi...
24 Reactions
102 Replies
11K Views
Kuna Wenzetu wengine kwa Roho zao Mbaya leo walijipendekeza kuomba Uraia wa Taifa la Morocco ila baadae kwa Kuumbuka na Kuonana Onana wakaamua tu kurejea kuwa Wananchi wa Tanzania. Mume kamaliza...
5 Reactions
9 Replies
642 Views
Ni takriban miezi miwili tangu kuzinduliwa wa michuano ya African Football League (AFL) ambapo mabango ya matangazo ya umeme yalianza kufanya kazi kwa mara ya kwanza Lakini katika hali ya...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Timu ya Madeama haina chochote kiufundi, lakini hamasa yao ni kujaribu kuzidindia timu kubwa!! Nawalinganisha na Mashujaa wa Kigoma!! Yanga kesho washindwe wenyewe tu!! Kiufundi hamna timu pale...
7 Reactions
19 Replies
960 Views
Mzee Dalali ameomba wazee waruhusiwe kwenda pale kambini kuondoa upumbavu wote uliowekwa ambao unasababisha wachezaji waonekane hawana uwezo, wazito na hawajui mpira, wachezaji kama Chama, Bocco...
0 Reactions
8 Replies
534 Views
Sidhani kama Kuna kazi rahisi na nyepesi kufanya kama hii kua mchambuzi WA michezo hapa Tanzania, Yani unapata hela kwenye maredio kiurahisi sana! Ishu kubwa uweze kua mnafiki tu, unaenda na...
8 Reactions
13 Replies
1K Views
Said Mwamba Kizota ni nani? Said Mwamba Kizota ni mchezaji bora kabisa wa wakati wote, wa mpira wa miguu kutoka Tanzania. Nikiambiwa nimtaje mchezaji mmoja alie wapi kucheza mpira wa Tanzania...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Habari Watani (Simba Sc). Nawatakia Kila Jema Juu Ya Mchezo Wenu Wa Leg 2 Dhidi Ya Wydad Casablanca Utakaochezwa Siku Ya Leo Jumanne Uwanjani Wa Benjamin Mkapa. Mkipoteza Mchezo Huu Ni Sawa Na...
3 Reactions
16 Replies
945 Views
Tukielekea uwanjan kesho naomba tm wydad tujuane. Mapema jamani Ntakuwa.kwenye kontena letuu pendwaa nyumaa ya.jezi ya wydad nimeandika pdidy Cya on time saa saba ntakuwa taifa napasha safari...
0 Reactions
10 Replies
457 Views
Game inachezwa mda huu wana Simba ombeni Mungu galaxy afungwe vyenginvyo bado itakua mupo ktk nafas mbaya.
2 Reactions
62 Replies
6K Views
Huyu kocha leo nimemvulia kofia, kumchezesha Duchu ambaye tangu asajiliwe hakucheza mchezo wowote halafu leo unamuingiza akashikilie bomba ilikuwa jambo la hatari sana. Kumuingiza kiungo Abdallah...
17 Reactions
46 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…