Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Benchika, nakusalimu na nakupongeza kwa kuibadilisha Simba, kesho ni final mzee wangu, iwe jua au mvua lazima tusimamishe nchi, najua Wydad nao wanachukulia hiyo ni final kwao, watavuruga sana...
4 Reactions
6 Replies
941 Views
Enzi za Manji walikuwa wanalipiwa wanaingia bure, msimu uliopita na huu Ahmed Ally wakati anapita mitaani na kispika wasemaji wao Yanga walisema kwa majira tofauti kwamba hawawezi kupita mtaani na...
1 Reactions
33 Replies
1K Views
OFFICIAL[emoji837]: Teams qualified for the 2025 Club World Cup so far: UEFA: [emoji1022]󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿Chelsea [emoji633]Real Madrid [emoji1022]󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿Man. City ASIAFC: [emoji1210]Al Hilal...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Embu tukumbuke sheria za mpira wa miguu zinasemaje kuhusu goli la kujifunga ili tujue kama mtu anayestahili kupewa credit ya goli la nne katika mechi ya jana ya Yanga vs Mtibwa ni Skudu au beki wa...
4 Reactions
43 Replies
3K Views
Kutoka Nyon, Uswizi kutakuwa na Droo ya 16 bora katika ligi ya mabingwa Ulaya. Droo hiyo itafanyika saa nane mchana kwa saa za Afrika ya Mashariki. Je nani atapangwa na nani
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Nianze kwa kuwatakia sikukuu njema ya Christmas's kabla sijasahau Naomba niwape siri kama kuna timu Medeama atajuta kukutana nayo nyumbani ni Yanga Nisiseme mengi kifupi Yanga itashinda FT na...
2 Reactions
13 Replies
585 Views
Jumapili ya Desemba 17, 2023, Saa 1:30 Usiku, Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag anatarajiwa kuwa na mtihani mgumu wa kuivaa Liverpool katika mchezo wa Premier League kwenye Uwanja wa...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Ukweli usemwe hakuna haja ya kuficha ficha, kwa Sasa viongozi wa Simba sc wanaumiza vichwa/kukuna vichwa ni jinsi gani Mashabiki watapatikana katika mchezo wao na Wydad Casablanca. Nikitazama...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Yaani nasikiliza. Tv moja ati tunaletewa VAR Hii VAR inaongozwa na wanadamu na hawa hawa ndio wengine marefa wanaofanya mambo machafu na ya kijinga Sasa shida sio var shidda inaanzia unazi wa...
2 Reactions
3 Replies
357 Views
Katika press ya kabla ya mechi ya Yanga vs Mtibwa, Kocha Gamondi alisema ukweli mchungu ambao inawezekana wanachama, mashabiki na wapenzi wa Yanga wangekuwa wanajua ngeli na ung'eng'e wakaweza...
9 Reactions
57 Replies
5K Views
Jezi moja inauzwa elfu 35, kiingilio mzunguko ni efu 5 tu, we unawaambia washabiki sharti la kuingia bure ni kwenda kununua jezi, wakati hiyo efu 35 unayomshawishi shabiki akanunue jezi anaweza...
6 Reactions
22 Replies
1K Views
Ihefu inatumia nguvu nyingi sana inayoweza kutumika kucheza mechi Saba na timu nyingine ndogo za ligi. Wanaingia uchovu wa kudumu baada ya kulazimisha kuifunga Yanga au Simba unasababisha kupoteza...
1 Reactions
13 Replies
891 Views
GSM imewalipia mashabiki wa Yanga viingilio kwenye mechi ijayo na Mediama lakini getini uwe umevaa jezi original. Huu ni ujuha na siyo msaada jezi kuwa ticket ya kuingia uwanjani,wote tunapenda...
10 Reactions
82 Replies
5K Views
Jana TFF wametangaza ujio wa video assistant referee ( VAR) hapa nchini Tanzania itakayotumika kwenye Ligue yetu ....... ni jambo zuri ila Baada ya kufikiria sana nmegundua mambo haya 1. Kuanza...
10 Reactions
48 Replies
2K Views
Liverpool ikiwa nyumbani kwenye Uwanja wa Anfield imelazimishwa matokeo ya 0-0 dhidi ya Manchester United katika mchezo wa Premier League ambapo Liverpool ilipewa nafasi kubwa ya kushinda kutokana...
2 Reactions
3 Replies
804 Views
Yanga sc kwa mtaji wamashabiki walionao kuweka kiingilio bure siyo kwa kupenda bali wanaogopa fedhea. Tatizo kubwa la yanga wanatamani kuwa kama simba hasa michuano ya kimataifa yaani caf...
2 Reactions
16 Replies
961 Views
eFootball ni mchezo wa simu unaohusisha mpira wa miguu, na hapa kuna habari muhimu kuhusu mchezo huo: 1-Jina na Kurekebishwa: Mchezo huu awali ulijulikana kama "Pro Evolution Soccer" (PES)...
3 Reactions
80 Replies
6K Views
Arsenal imefanikiwa kuwa namba moja katika Premier League baada ya ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Brighton huku Aston Villa ambayo nayo imekuwa na msimu mzuri ikishika nafasi ya pili kwa kuifunga...
1 Reactions
4 Replies
786 Views
Naam! NALIA NGWENA mpenda football Tena mpira mzuri uliojaa talanta ndani yake hakika nimejikuta nawaza na kuwazua kuhusu hizi talanta mbili ambazo umri umeenda lakini ukiwatazama kwenye Pitch...
3 Reactions
7 Replies
675 Views
Naam majira ya saa 12:30 jioni ya Leo wananchi tutakuwa na jambo letu Magoli mawili yaliyofungwa na Stephane Aziz Ki na mengine ya Kennedy Musonda na Mahlatse Makudubela ‘Skudu’ yameipa Yanga...
13 Reactions
425 Replies
27K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…