Klabu ya soka ya Yanga hii leo imetangaza rasmi kuwa siku ya mchezo wa Yanga dhidi ya Medeama itakua siku maalum kwa tajiri wa klabu hiyo GSM.
Kwakua ni siku ya GSM hivyo basi tiketi zote za...
ABUBAKAR Salum ‘Sure Boy’. Fundi mmoja wa mpira kuwahi kutokea nchini. Sio huyu wa sasa anayecheza pale Yanga, hapana, huyu ni baba yake mzazi. Ndiye mwenye jina halisi la Sure Boy.
Alipewa jina...
Said Mwamba Kizota ni nani? Said Mwamba Kizota ni mchezaji bora kabisa wa wakati wote, wa mpira wa miguu kutoka Tanzania.
Nikiambiwa nimtaje mchezaji mmoja alie wapi kucheza mpira wa Tanzania...
Maisha yanakwenda Kasi sana Kuna kipindi waandishi wa habari na wachambuzi wa Mchongo, walitumika vibaya sana kuwatoa kwenye mchezo wachezaji wa Yanga Sc akiwemo Aziz K.
Nakumbuka msimu uliopita...
Said Mwamba Kizota ni nani? Said Mwamba Kizota ni mchezaji bora kabisa wa wakati wote, wa mpira wa miguu kutoka Tanzania.
Nikiambiwa nimtaje mchezaji mmoja alie wapi kucheza mpira wa Tanzania...
Said Mwamba Kizota ni nani? Said Mwamba Kizota ni mchezaji bora kabisa wa wakati wote, wa mpira wa miguu kutoka Tanzania.
Nikiambiwa nimtaje mchezaji mmoja alie wapi kucheza mpira wa Tanzania...
Nimemfuatilia kwa umakini mkubwa winga huyu wa kikongo kwa msimu huu mpaka sasa, na baada ya kumtazama katika mechi ya Leo dhidi ya mtibwa ni wazi jesus moloko hana kitu kingine anachoweza kutoa...
Club zetu unaziona zinvyotamba kwenye ligi ya ndani, ukiwaona wachezaji wao wanavyoumiliki na kuuchezea mpira watakavyo utasema hii ni bonge la timu
, hata wasemaji na mashabiki wao utawasikia...
Ndugu zangu ni macho yangu au vijana tunazeeka sura lakini ingali tuna umri mdogo?
Klabu ya yanga leo imemtambulisha mchezaji wao kinda wa miaka 18 kutoka JKU ya Zanzibar kwa mkataba wa miaka 3.
Miguel Gamondi ni kocha mzuri sana Ana falsafa zake na mbinu zake, Majuzi mashabiki sisi na wadau hata wachambuzi wakalilia sana rotation, kwamba kwanini kila mechi acheze pacome? Aziz ki? Why...
Kama ilivyokawaida mwishoni mwa mwaka Huwa tunaleta appreciations Kwa members waliofanya vizuri ndani ya mwaka.
So hii ni list ya wachambuzi Bora hapa JF mwaka 2023 based on maoni ya wadau
1...
Bbaada ya game ya Simba na yanga kuisha na yanga kuibuka na ushindi mnono wa goli tano kwa moja
Nilikwenda kutazama marudio wa mchezo ule ndipo nikabaini kuwa yanga alipazwa kushinda Zaid ya goli...
Sisi tunaojua tamaduni za mchezo wa soka hasa soka la bongo kama huuchezi mpira nje na ukajifanya wewe ni mzungu unaendesha mambo kizungu basi huwezi kutoboa.
Madhara ya kutofanya utamaduni...
Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ chini ya uongozi wa Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) wanaunga mkono Kampeni ya PIGA MPIRA SIO MWANAMKE.
Taasisi isiyokuwa ya Kiserikali THAMANI WOMEN...
Nimesikitika sana kuona kijana msomi (Ahmedy Ally) Msemaji wa Simba sc katika mkutano na waandishi wa habari akizungumza maneno ya hovyo Tena yasiyo kuwa na mashiko katika ukuaji wa uchumi...
Ni HV Niko naangalia marudio ya mechi ya Simba na yanga sc ambapo Simba walikandamizwa 5 kwa 1 ndipo nikabaini kuwa Simba walipazwa wafe takribani magoli siyo chini ya Saba
Mudathiri yahya...