Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mpira umepigwa Chelsea anapelekeshwa Mwanzo mwisho .hiyo ndio spirit ya ushindi .mpelempele hakuna kusimama Naamini watashinda
2 Reactions
3 Replies
503 Views
Huu ni ukweli Mchungu! Simba wiki 2 zijazo ina kibarua kigumu!itakutana na Wydad mara mbili wiki ijayo! Mechi hizi zitakuwa ni ngumu mno Kwa Simba! Hii inatokana na ukweli kuwa ndio mechi...
6 Reactions
46 Replies
5K Views
Wydad anacheza na Simba jmoc saa 4 usiku lakn leo jumatano ana kibarua cha ligi kuu, nimejiuliza sana kwann haya mambo hayafanyiki hapa bongo, wiki nzima Simba na Yanga zimekaa bila kucheza, Shall...
10 Reactions
51 Replies
4K Views
Timu ya Taifa ya Soka ya Tanzania ’Taifa Stars’ imefuzu kwa AFCON 2023 ambayo itachezwa 2024 kule Ivory Coast, hii ni mara ya 3 Tanzania kufuzu baada ya 1980 na 2019. Kuelekea fainali hizo za...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Nafasi ya Simba kwenda Robo Fainali imeanza kuwa ngumu “Nafasi ya Simba kwenda robo fainali imeanza kuwa ngumu zaidi. Simba wameambulia pointi mbili katika mechi zao mbili za mwanzo. Na sasa...
9 Reactions
48 Replies
3K Views
Kwa mechi niliyoiona jana ya Simba dhidi ya Galaxy, na Galaxy ndio anaongoza kundi Nikacheki tena ile ya Simba dhidi ya Asec, na Asec na Galaxy ndio "wababe" wa kundi Hakika Yanga angepangwa...
17 Reactions
203 Replies
10K Views
Shirikisho la Soka Barani Afrika limelichagua goli alilofunga Mchezaji wa Yangasc, Pacome Zouzoua dhidi ya Al Ahly kuwa ndilo Goli Bora la Wiki kwenye mechi za pili hatua ya Makundi Ligi ya...
11 Reactions
45 Replies
4K Views
Tarehe 7 Oktoba anacheza na Geita Mwanza. Tarehe 25 Oktoba anacheza na Azam Dar es Salaam. Tarehe 28 Oktoba anacheza na Singida Fountain Gate FC Dar es Salaam. Tarehe 5 Novemba anacheza na...
19 Reactions
74 Replies
8K Views
Kwenye ile gem ya Yanga vs al ahly, naona mwandishi anaandika eti Yanga amembana Al Ahly! Aisee like seriously? Hivi nani alipaswa kubanwa kati ya mwenyeji na mgeni? kiutaratibu wa kisoka..
3 Reactions
20 Replies
1K Views
'Microchip' ilitumika katika mfumo wa 'semi-automated offside decision-making' katika Kombe la Dunia la FIFA la mwaka jana nchini Qatar. 'Microchip' ndani ya mpira wa Adidas wa Euro 2024...
2 Reactions
7 Replies
877 Views
Kituo cha redio cha EFM na watangazaji wake wameacha taaluma yao na kuleta ushabiki wao na fitina binafsi juu ya clab yetu ya yanga na viongozi wetu Yanga tunapenda kukosolewa lakini Media ya EFM...
19 Reactions
76 Replies
3K Views
Hii timu ipo vizuri sana kwa ligi ya NBC, wana makelele na tambo nyingi sana kitaifa, ila wakiingia kimataifa wanakuwa mdebwedo.
7 Reactions
70 Replies
3K Views
Nimetafakari Sana na kuikumbuka Lipuli FC ya Iringa ambayo ilishuka daraja baada ya kuonekana inaikomalia club ya Yanga. Mashabiki na wanachama wa Yanga walisema tutahakikisha Lipuli inapotea...
12 Reactions
66 Replies
3K Views
Mwamuzi Kennedy Padi kutoka Ghana ambaye ndiye alichezesha mchezo wa Ligi Kuu baina ya Hearts Of OAK dhidi ya Asante Kotoko amelalamika kwamba tangu amalize kuchezesha mchezo huo amekuwa...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Natoa kongolee kwa wachezaji wa Simba sc kwa uwezo mdogo waliouonesha. Lakini nitakua mtu wa mwisho kuamini kuamini kuwa Simba sc itafika robo kwenye michuano ya CAF CHAMPIONS LEAGUE. japo ni...
8 Reactions
60 Replies
3K Views
Ukiangalia jinsi mashabiki wa yanga wanavyofurahia Ihefu kutoa sare na Prison leo,utakubaliana nami kuwa yanga wanajua kwa uhakika hizi ndizo level zao. Namna wanavyosherehekea zile goli 5,ni...
2 Reactions
14 Replies
588 Views
Shabiki wa timu ni mhimili laini wa timu ambao kazi Yake kwenye timu ni kusimamia furaha yao isipotezwe na wachezaji, viongozi, wafadhili na wadhamini wa timu yao. Yaani malipo ya shabiki wa timu...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Newcastle United inaweza kumsajili kipa wa zamani wa Manchester United, David de Gea ili kuchukua nafasi ya Nick Pope ambaye amepata majeraha ya bega na anaweza kuwa nje ya uwanja kwa muda wa...
1 Reactions
2 Replies
730 Views
Game ya mwisho mnamaliza cairo, hakika uto mnataabika sana na yule mido kisheti wetu tabu lelee ameupiga mwingi mno mpaka ukamwigika, muda wote namwona yeye tu uwanjani. Hakika tutatinga final za...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…