Imekuwa ni rahisi sana kwa mashabiki wa Timu za Kariakoo, kuamini au kuaminishwa timu yake imecheza vizuri kwa kigezo cha ball possession pekee, haijarishi imepata matokeo gani.
Naomba...
Hakuna kununua Tiketi wala kwenda Uwanjani kesho na huko kwa Mkapa watajaza Familia za akina Try Again, Mangungu, Mo Dewji na Wachezaji Wanafiki Watatu wanaoneza migomo ya kichinichini na Timu...
Huo ndio utabiri wangu.
Yanga watashinda kwa magoli mawili kwa sifuri.
Magoli yote mawili yatafungwa na Walid Mzize na yatafungwa kipindi cha kwanza.
Watu mlio karibu na benchi la ufundi la...
Nakumbuka kwenye kufuzu AFCON, mechi ya Madagascar vs Tanzania, mechi ambayo ilikua kukamilisha ratiba lakini namna wamadagascar walivyoishangilia timu yao ilihali hata ingeshinda isingefuzu...
Tumezoea awa mabwana kupost mauzo ya ticket yalipofikia kwenye page zao na mitandao ya kijamii uku wakionyesha sold out za kutosha Kila jukwaa, Sasa nashanga safari hii wamekuwa Kama wamepigwa na...
HATUWEZI KUWAAHIDI CHOCHOTE MASHABIKI ILA TUNAWAITAJI KESHO
Beki wa kati wa wekundu wa msimbazi Simba Che Malone Fondoh amefunguka juu ya maandalizi waliyofanya kuelekea mchezo wao wa kesho wa...
Kama makolo mmefanikiwa kumsajili kocha huyo hapo juu basi mtakuwa mmetisha, ngoja tusubiri hiyo saa moja tusikie hiyo habali kuu. Pitso Masomane ni kocha wa hadhi ya juu kabisa hapa Africa na...
Kuelekea Simba day tiketi za Platinum ziliisha ndani ya siku moja, wiki moja kabla ya tukio. Simba SC ilitangaza tiketi zote zimeisha siku (2) kabla ya Mchezo.
Kuelekea African Football League...
Rais wa Heshima wa klabu ya Simba Mohamed Dewij ameshusha viingilio vya mzunguko toka sh.5000 Hadi 3000 Kwa tiketi. Mheshimiwa Mo amesema amelazimika kufanya hivyo Kwa kuheshimu nafasi ya...
Fundi wa mpira na Mbabe wa soka aliyenoa vilabu vingi nchini kutoka Ihefu fc,Zuberi Katwila anatazamiwa kutangazwa kuwa kocha mkuu wa club ya Simba yenye makazi yake Msimbazi, Kariakoo...
" hii nayo Simba kachukua 5...1 nyingine.... ndugu wa Mnyama Kuna shule huku"
Jemedari said.... mchambuzi EFM
Nakala waione
Kalpana
Mshana Jr
FaizaFoxy
Mshana Jr
SAGAI GALGANO
Mnakubaliana na...
Huyu si mwingine ni mchawi mweusi Bakari shime ambaye anafundisha timu za mpira za
Timu ya wanawake Tanzania
Timu ya Under 21 wanawake Tazania
Timu ya under 17 wanawake Tanzania
Timu ya wanawake...
Mabingwa wa Kihistoria Nchi Vijana wa Africa,Ama Young Africans kwa Lugha ya King Charles wametangaza viingilio vya Match yake dhidi ya Vijana kutoka kwa Farao..Al Ahly Sc.
Hapa walio na kadi ya...
Uvaaji wa maVazi ni ishara ya jambo fulani kwa mvaaji kama vile huzuni, furaha, umoja, aina ya kazi ufanyayo na ujumbe unaotaka kuwasilisha kwa jamii.
Jezi mpya ya Simba Ina mabango 2 kifuani...
Unajua moja ya shida ya nchi hii ni serikali na wanasiasa kuwaonea donge watu na taasisi binafsi pale zinapoonekana kupata ushawishi, umaarufu na nguvu kuwazidi wao. Hili limekuwa ni tatizo kubwa...
Nyota wa Ligi ya Kikapu ya NBA, LeBron James amefanikiwa kuwa mchezaji anayongoza kwa kufunga pointi nyingi katika ligi hiyo baada ya kufikisha zaidi ya pointi 39,000.
LeBron (38) anayeichezea...
Nimejikuta naanzisha huu Uzi maalumu baada ya kusikiliza kituo Fulani chenye wachambuzi wa mchongo wao ni kuponda timu hata ifanye mazuri gani.
Kiufupi hawajui chochote kuhusu mpira/football...
Na sio ndani ya nchi tu ni mpaka nje ya nchi, mfano kwa sasa timu ipo Algeria lakini ikiongozwa na Rais Hersi leo mchana walitembelea na kuwapatia mahitaji mbalimbali. kituo cha watoto wenye...
Mashabiki wa Simba walipoandamana ilikuwa ni haki yao ya msingi kusikilizwa wanapoona dosari na kutatua kwa demokrasia, mlileta polisi kuwatandika na kuwafukuza.
Tiketi zimegoma sokoni kuisha...