Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Huko Simba mambo bado, juu ya ile ishu ya mabadiliko ya klabu hiyo ili iendeshwe kwa mfumo wa hisa ambao mchakato wake ulianza tangu mwaka 2017 umekwama ikielezwa tatizo likiwa ni katiba ya klabu...
6 Reactions
29 Replies
3K Views
1.Nurdin Bakari 2.Abdi Kassim Babi 3.Joseph Kaniki 4. Niko Nyagawa 5. Fredrick Mbuna 6. Juma Jabu JJ 7. Meshack Abel 8.Shamte Ali 9. Said Bahanuzi 10.Emmanuel Gabriel Mwakyusa 11.Mrisho Khalfani...
11 Reactions
200 Replies
7K Views
[emoji830]︎[emoji830]︎[emoji830]︎[emoji981]|𝗦𝗛𝗘𝗥𝗜𝗔 𝗡𝗚𝗢𝗪𝗜 [emoji860]“Sifikirii Kufanya Kazi na Klabu Nyengine, Nimeamua Hilo Kwasababu Naheshimu Rizki Yangu Ndani ya Yanga.” [emoji860]“Tayari...
12 Reactions
27 Replies
3K Views
Simba wamefanya jaribio zito la kutaka kumng’oa juu kwa juu kiungo wa Yanga Mkongomani, Maxi Nzengeli ambaye alipiga mabao mawili dhidi ya Simba kwenye ushindi wa mabao 5-1 katika mechi ya Ligi...
5 Reactions
34 Replies
4K Views
Kuelekea Simba day tiketi za Platinum ziliisha ndani ya siku moja, wiki moja kabla ya tukio. Simba SC ilitangaza tiketi zote zimeisha siku (2) kabla ya Mchezo. Kuelekea African Football League...
5 Reactions
29 Replies
3K Views
Huwa naona wachezaji mpira wakisali kabla ya kuanza kucheza, pia katika nchi kama yetu huwa nasikia wadau, viongozi wa serikali, timu na mpira kwa ujumla wakihamasisha raia waiombee timu ya taifa...
3 Reactions
16 Replies
860 Views
Suala la kufungiwa na Fifa kufanya usajili kwa kukiuka mkataba wa kuuza aliyekuwa mchezaji wa Simba ni tatizo la CEO kutojua majukumu yake kwani alipaswa kutekeleza hilo ambapo ndo mojawapo ya...
1 Reactions
2 Replies
551 Views
Wakuu Kufuatia mwenendo mbovu wa timu ya Simba, ni wazi sasa mashabiki wamechoka kwenda taifa na kurudi na maumivu Mashabiki wameonekana kuchoka na kugomea kutokea uwanjani,, huku mtaani...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Raja imepigwa ban kusajili hadi itakapowalipa ile timu ya Pape Sakho iliyoshinda kesi dhidi ya timu moja ambayo imeshusha kiingilio hadi 3000 baada ya kuona washabiki hawanunui tiketi na uwanja...
3 Reactions
2 Replies
514 Views
Viongozi wa klabu ya Simba mbona mnajidhalilisha kwa kusema uongo mkiongozwa na mtendaji mkuu (CEO), Pamoja na meneja wa habari na mawasiliano Ahmed Ally. Mliutangazia umma na mashabiki wa Simba...
4 Reactions
16 Replies
664 Views
Dakika chache zilizopita Yanga wamezindua jezi zake kwa ajili ya klabu bingwa africa. Ni jezi nzuri mwananchi usipange kuzikosa. Nashindwa kupandisha picha hapa ila jezi ni kali, Sheria Ngowi...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wana jamvi wenzangu. Bila kupoteza muda, lengo kuu la kuandika uzi huu ni kutaka kujua ni vyuo gani mashuhuri kwa kutoa kozi za ukocha hapa Tanzania. Wajuzi mpo, naomba kujua. Nawasilisha.
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Klabu ya Simba leo Jumapili March 20, 2022 inashuka kwenye Dimba la Stade de L'amitie General Nchini Benin kukiwasha na ASEC Mimosas kutoka Ivory Coast kwenye mchezo wa marudiano hatua ya makundi...
14 Reactions
808 Replies
37K Views
FARHAN: SIMBA WAMETUPIGA. Labda CEO atusaidie kidogo majibu ni kwamba hakuna Mdhamini mwingine wa kuweka hela ama? MO XTRA zipo mara mbili, juu kulia na moja kubwa mbele kifuani, kabisa hakuna...
12 Reactions
101 Replies
6K Views
Kuelekea mechi ya kesho ya Caf CL kati ya CR Belouizdad na Yanga, kimya kingi kimetanda. Tunaomba mseme mapema kama Belouizdad ni wabovu au wazuri. Hiki kimya cha Mashabiki wa 5G FC na wachambuzi...
11 Reactions
43 Replies
2K Views
Bado tuna maumivu makubwa ya kufungwa 5-1 hivyo hamu ya kwenda uwanjani kiuhalisia haipo hata Kama mtazunguka dar nzima. Wachezaji hawatupi matumaini ya kushinda kwani hawajitumi utadhani...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
ukweli ni kwamba huko katika magrupu ya WhatsApp ndiko kulikoanzia mkakati na mpaka mnaona leo hii kuna kusuasua kwa ununuaji wa tiketi meseji nyingi tu zinatumwa huko kuhimiza mashabiki wasusie...
6 Reactions
23 Replies
1K Views
"sisi wana yanga sc lengo letu ni alama ( points ) tisa ( 9 ) kwa mkapa na huko ugenini hata tukifungwa au kutoka sare au suluhu sisi wala hatujali na hatutoumia kivile" wamesema viongozi...
3 Reactions
4 Replies
462 Views
Ama kweli Yanga Sc imewafunga midomo wachambuzi wa michongo waliokuwa wanatumika vibaya kuiponda Yanga Sc kila kunapokucha. Nakumbuka msimu uliopita Yanga Sc ilipotupwa kwenye michuano ya kombe...
11 Reactions
18 Replies
939 Views
Klabu ya ligi Kuu ya NBC YA Simba imefungiwa kusajili mpaka itakapolipa madai ya Klabu ya Teungueth ya Senegal kuhusu mchezaji Pape Ousmane Sakho. Uamuzi huo umefanywa na Shirikisho la Kimataifa...
11 Reactions
96 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…