Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kwenye tuzo za caf zinazo talajia kufanyika siku chache zijazo.Je naye Yanga atapeta mpaka tatu bora au ndo basi tena.
2 Reactions
8 Replies
783 Views
Ilikuwa tarehe 5/11/2023 siku ambayo mashabiki wa Simba waliamini Kwa kuwa kulikuwa na Mvua basi wangemfunga mpinzani wao mkubwa Yanga. Wanasimba walijiapiza kwamba lazima washinde Ile mechi na...
15 Reactions
24 Replies
2K Views
Mapokezi Makubwa ya Mwanariadha wa Kimataifa wa Tanzania, Magdalena Chrispin Shauri (alie vaa bendera ya 🇹🇿) Jijini Arusha, katika ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Arusha, na Kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa...
2 Reactions
10 Replies
867 Views
Messi kimemkuta Nini baaada ya kushinda Ballon D'or ya Wizi?
7 Reactions
38 Replies
2K Views
USHAURI TU Nimeeona leo vijana wa Karume Boys wa un 15 waliyotoboa uganda na kutwaa ubingwa Ukiacha kucheza kwa jihadi vijana walikuwa wakisikiaaa karumeee wengine wanaaita boys wakawa kama wehu...
4 Reactions
9 Replies
561 Views
Karibu mashabiki na wafatiliaji wa NBA, ligi kuu ya kikapu nchini Marekani. Kona hii tunatajulishana, discuss na kupata info mbali mbali zinazoendana na NBA.
7 Reactions
215 Replies
10K Views
Kutokana na kukamiwa kupita kiasi, ni dhahiri Yanga wanaenda kuangusha points mbele ya Ihefu. Aidha, kutokana na udhaifu wa Tanzania prisons, Simba wako likely kujikusanyia points zote tatu na...
35 Reactions
104 Replies
9K Views
Simba mnyama anaingia kambini kwa mechi ya kimataifa niseme tu kwa huzuni hii mechi simba atafungwa magoli mawili nk. Hakutakuwa na sare...Mpaka sasa naona penalty kwenye hii mechi sijui Upande...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Kubali kuwa wewe sio mtu wa mpira, wewe ni mwanasiasa, ulikuwa mbunge wa kilwa kaskazini ukashindwa na vedasto ngombale wa Cuf ukaenda kuwa msaidizi wa PM mambo ya siasa, ukaondolewa ukaingia...
11 Reactions
23 Replies
2K Views
Hawa watu naona MUNGU aliwanusuru na kichapo kikali sana, kikosi changu kilikua sawasawa haswa. Nakumbuka siku iyo nilishiba wali maharage, satisa nanusu alasiri nikawahi siti ya mbele kucheki...
1 Reactions
28 Replies
1K Views
Wachezaji Pacome, Yao Yao wametoka Asec, kwa vyoyyote vile Yanga mna ukaribu na Asec, jamaa wanakuja kucheza na timu mliyoipiga mabao 5 hadi imechanganyikiwa na haielewani tena. Nawaomba wapeni...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
“Hili suala la Yanga kuweka mabango hata mimi nimeliona, kisheria sioni madai yoyote ambayo Simba anaweza kuwa nayo dhidi ya Yanga, Yanga wamechukua video ambayo imetengenezwa na Azam TV“ “Mwenye...
5 Reactions
46 Replies
2K Views
Kwema? Hivi karibuni Kumekua na minong'ono ya hapa na pale, huku tena bila aibu kuna wazee ambao ni wakongwe wa hizi derby wanajitokeza wakidai club ya wanarunyasi walipwe fidia ya takribani mill...
13 Reactions
8 Replies
671 Views
Ukiwa na ratiba ya kufanya kazi za mikono/Physical activies kama vile kulima, yani unachukua jembe unalima unatoa jasho unakuwa umepata faida mbili kwanza unakuwa umelima bustani ya matunda au...
8 Reactions
28 Replies
2K Views
Wakuu mpo? Naamini wengi tunaangalia mechi inayoelekea mwishoni kati ya Chelsea na Man City ila pia huenda tunnangalia mechi inayoendelea kati ya Lazio na Roma ambayo huenda ikaisha kwa suluhu ya...
7 Reactions
27 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa mtandao wa IFFS Inayojihusisha na takwimu za vilabu vya soka ulimwenguni, imeonyasha Yanga kupanda kufikia nafasi ya 6 kwa ubora barani Afrika. Africa Club Ranking by IFFHS (Ist...
22 Reactions
47 Replies
10K Views
Mwenyekiti wa zamani wa Simba na FAT Adan Rage, amesema wataidai na kuipeleka mahakamani kampuni ya outdoor, Saifi store waliohusika na Kutundika bango lilitumia nembo ya Simba, kwani muendo huo...
9 Reactions
107 Replies
6K Views
Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS) limetoa takwimu ya viwango vya klabu kwa kipindi cha Novemba Mosi, 2022 hadi Oktoba 31, 2023 ambapo kwa Tanzania klabu ya...
8 Reactions
26 Replies
3K Views
Mechi ya finali ya African football league kati ya Mamelods na Wydad alifanyika baada ya Simba kucheza na Yanga na Namungo. Salimu Abdullah Try again alihudhuria mechi ya final kule South Africa...
5 Reactions
34 Replies
2K Views
Ni wiki nyingine kwa wapenzi wa soka Africa, kuendelea kushuhudia radha ya soka katika mashindano ya AFL baada ya kutamatika kwa mzunguko wa kwanza(The first leg round). Hakika mzunguko wa...
16 Reactions
38 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…