Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

MWAKIBETE CUP2023 HATUA YA NUSU FAINALI KATIKA JIMBO LA BUSOKELO Mashindano ya Kombe la Mwakibete CUP 2023 hatimaye yamefikia hatua ya Nusu Fainali ambapo yanayotarajiwa kuendelea kutimua vumbi...
2 Reactions
8 Replies
407 Views
Jambo hili lisiishe hivi hivi, ni lazima watalii wajue kilicho tokea. Bango la 5G lipelekwe kwenye kilele cha mlima mrefu kuliko yote Africa, pia bango liwekwe kwenye malango yote ya hifadhi za...
8 Reactions
20 Replies
763 Views
Kama mnavyojua timu za uswahilini haziishi heka heka.Ushindi iliopata yanga ni wa kihistoria.Hawakuwahi kuifunga Simba Sports club goli nyingi kama hivyo. Ushindi mkubwa waliishinda Sunderland...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
UCHAMBUZI WA KISHIRIKINA KUFUNGWA KWA SIMBA. Na Yericko Nyerere Hadi Siku 6 kabla mechi Simba ilikuwa imeushika mchezo vizuri nje ya Uwanja. Kuanzia Kaskazini, Kusini, Mashariki na Magharibi...
10 Reactions
48 Replies
3K Views
Wachezaji walioitwa kikosi cha Taifa U18 wapo 34, wachezaji wa Simba wapo wawili tu na Yanga hamna mchezaji hata mmoja. Azam ndo wapo wengi, wakuu hii mnaonaje hivi vilabu vyetu vikubwa...
3 Reactions
8 Replies
531 Views
Mdau wa michezo hasa soka, unadhani Mchezaji huyu aliyecheza katika klabu husika zilizotajwa kwa Mfumo wa Nembo anaitwa nani?
2 Reactions
14 Replies
2K Views
... ๐Ÿ™† | ๐—ฆ๐—œ๐— ๐—•๐—” ๐—ญ๐—”๐—œ๐——๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐— ๐—”๐— ๐—˜๐—Ÿ๐—ข๐——๐—œ "Nilipokuwa VIP kwenye fainali ya AFRICAN FOOTBALL LEAGUE, Raisi wa FIFA Gianni Infantino aliniambia timu yenu (Simba SC) inacheza mpira mzuri zaidi ya wanaocheza...
7 Reactions
46 Replies
3K Views
Wasalaamu Ndugu mods hii sio violence, kwakuwa haidhuru mtu. Nyie wanalunyasi wa Dar hivi ni kweli haya mabango ya Yanga wanayobandika mjini mnataka kuniambia mpka sasaivi bado yapo mitaani...
8 Reactions
52 Replies
2K Views
Jana kwenye michezo, M/kiti wa simba alieleza wazi kuwa anakusudia kuwa na kikao na kamati kuu kisha wanachama wa simba ili kuomba baraka ya kujitoa kwenye ligi kuu bara, naomba wana JF mliopo...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
"Mpira unauma, mpira unaumiza, mpira unaumizaa..." Kweli mpira wa miguu ni mchezo katili sana.
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Afisa Mtendaji Mkuu wa Manchester United, Richard Arnold amejiuzulu nafasi hiyo na kuhitimisha miaka 16 ya Utumishi wake klabuni hapo. Arnold alichukua nafasi hiyo kutoka Ed Woodward mnamo...
2 Reactions
4 Replies
880 Views
Ndugu zangu, hasa wale wanacheza michezo ya kubahatisha, kampuni hii ya Betika ni matapeli lakini Bodi ya Bahati Nasibu bado ina wacheki tu. 1. Kampuni inaruhusu kudeposit tu! Hata milioni we...
5 Reactions
47 Replies
6K Views
Mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu imeelekeza bondia maarufu nchini Hassan Mwakinyo kupelekewa wito wa kufika mahakamani kupitia gazeti la Mwananchi kufuatia kesi ya madai inayomkabili mahakamani...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi anaitakia Karume Boys kila la heri timu ya taifa ya kandanda ya Vijana ya Zanzibar chini ya Umri wa miaka 15...
1 Reactions
1 Replies
552 Views
GENTAMYCINE hebu jitokeze Huwezi jifungia ndani siku zote hizo na simu umezima. Toka nje ukafanye maisha, kuna maisha baada ya dakika 90.
6 Reactions
50 Replies
3K Views
GENTAMIYCINE nilidhani ukiwa Tajiri basi hata na Uwezo wako wa Kufikiri nao unakuwa ni wa Kitajiri ( nikimaanisha ni mkubwa ) kumbe hali ni tofauti kabisa. Matajiri Mohammed Ghullum Dewji wa...
7 Reactions
25 Replies
6K Views
Huu ndio uhalisia wa magoli ya jana. Goli la kwanza la Yanga na lile la Simba yalikuwa halali. Mengine unaweza kuangalia picha hapa chini. Goli la pili: Faulo ilifanyika na wachezaji wawili wa...
18 Reactions
84 Replies
8K Views
Habari wapenda "futiboli". Kabla ya kuajiriwa Robertinho alikuepo Zoran ambaye hakudumu na Simba kwa muda mrefu akatimka zake. Moja ya sababu kubwa zilizomuondoa Zoran pale unyamani ni kuwakataa...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
Klabu ya Burnley Football Club inayoshiriki Ligi Kuu ya England [emoji1022]๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ ,ikiwa chini ya Vincent Kompany imeonyesha nia ya kunasa saini ya Beki wa kulia wa Mamelodi Sundowns Khuliso...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ