Rais wa Yanga leo tarehe 11/11/2023 ameonana na mmiliki wa kaiza Chief bwana kaizer Motaung na kufanya majadiliano kwa kina
Eng Hersi pia amehudhuria dabi ya Soweto ya Afrika kusini kati ya...
Hizi sherehe za yanga zimenifanya nifikiri upya jinsi mpinzani anavyomuwazia mnyama.
Kitendo cha kumfunga goli 5 na furaha waliyonayo ni kama wamemfunga Man city au Real Madrid.
Ninajiuliza...
Hizi ni habari za uhakika kabisa kutoka chanzo kinachoaminika kwamba SUPU DAY ya leo ni ukamilishaji wa maelekezo ya mganga wa yanga ambapo baada ya ushindi wanatekeleza maagizo hayo kwa jina la...
Klabu ya Soka ya Yanga Sc, imeandaa sherehe fupi ya kuburudika na mashabiki wa Klabu hiyo kwa kunywa supu makao makuu ya Klabu hiyo yalioko Kariakoo mtaa wa Jangwani
Akizungumza na waandishi wa...
Naandika kabla ya mechi ya fainali,
Wana kocha bora kabisa ADIL RAMZ ambaye amewahi kuwa kocha msaidizi AJAX ya amsterdam,
Wana mawinga viberenge wanakimbia kwa kukata upepo, mabeki hatari...
" Mashabiki Simba walinipenda na nawapenda sana lakini lazima waambiwe ukweli kwamba Simba ina safari ndefu kwa sasa kwa aina ya usajili uliofanyika. Waliosajiliwa msimu huu ni Che Malone na...
MPIRA WA TANZANIA UMEJAA WATU WAJINGA - JEMEDARI
Hivi yupo mtu anafikiri kwamba Mangungu akiondoka ndio timu itacheza vizuri?. Sifikiri hivyo, ni kauli aliyoanza nayo mchambuzi na mdau wa soka...
Ukiangalia hii Simba iliyocheza leo, hii mechi kwa kamanda Mgunda ilikuwa ni big (W).
Unajua yule Mo amefanya lobbying kubwa sana kumuondoa Mgunda na kumleta hiyo mzee Brazil.
Mwaka jana mwezi...
Kama kuna Kitu ambacho GENTAMYCINE ninawapongeza Yanga SC kwani Wamekiweza na Kinawasaidia mno ni Kupenyeza Watu wao HATARI ndani ya Simba SC (tena Jikoni kabisa) halafu Waliopenyezwa nao kuwa...
Inafahamika kwa Sasa namna ambavyo team nyingi kubwa afrika kwa Sasa zinavyohangaika kutafuta makocha na wachezaji wazuri watakaoleta sio TU ushindi Bali pia mpira wenye furaha na burudani kwa...
Wakuu habari za mchana?
Nikiwa nime tune tv kufuatilia kipindi changu pendwa cha sports cha kipenga extra ni shtushwa na neno Kimoja cha nguruwe likitamkwa na mgeni Mjata Mjata shabiki kindaki...
Habari za weekend wakuu!
Nimekuwa mfatiliaji Sana wa kipindi cha Azam sport 3 cha rally kwa takribani miaka 3,
Pamoja na yote mimi kuna madereva nao wakubali Sana kwa Tanzania Mimi ni shabiki wa...
Eng Hersi ndio kwanza yupo zake South Afrika na leo ameshuhudia Soweto Derby Kaizer Chiefs Vs Orlando Pirates na Orlando Pirates wakiibuka na ushindi wa goli 1.
Hakika Eng Angefahamu msala...
Ameandika Katibu Mkuu Wizara ya Michezo, Gerson Msigwa
"Rais Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan atoa ndege kwa ajili ya kuisafirisha Timu ya Taifa ya Soka kwenda Marrakesh Morocco ambako...
Straika wa Bayern Munich, Harry Kane ameendelea kuwa na mwanzo mzuri katika klabu yake mpya baada ya kufikisha magoli 17 katika Ligi Kuu ya Ujerumani (Bundeslia) ndani ya michezo 11 Msimu wa...
Kama aya ndio yanayoendelea uko Kigoma kwenye uwanja wa mashujaa niseme tu Azam FC leo kazi wanayo siyo kwa ushirikina huu[emoji15][emoji15].. SLOGAN YAO MPIRA KIDOGO UCHAWIMWINGI.
Aliyekuwa kocha wa Simba SC, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amekosoa usajili uliofanywa na klabu hiyo katika dirisha lililopita akidai haukuwa na tija kutokana na idadi kubwa ya wachezaji kutokuwa...
Mashabiki wa hizi timu kubwa mbili hapa Tanzania wanatofautiana katika maeneo haya;
1.Timu inapofanya vibaya iwe wachezaji hawajitumi au kocha anazingua, Mashabiki wa Simba huwa wakali hata...