Live 8 November 2023
Atletico FC d'Abidjan 1 - 2 JKT Queens - CAF Women's CHAMPIONS LEAGUE 2023 - GROUP STAGE
https://m.youtube.com/watch?v=zAmSCWF8XKI
wenyeji wa michuano hii ya Champions...
Habari wanajukwaa!
Kuna Msemo Maarufu sana kwenye Lugha Yangu Adhimu ya KISUKUMA unasema "KASEKASEKA KA LILALILA" Ukiwa na Maana ya kwamba Utanitani Kama unachekacheka hivi Mwishoe utalia tu...
Bingwa wa ndondi Mkanda wa WBC Afrika, Fadhili Majiha na bondia namba moja Tanzania 'Kiepe Nyani' ameweka rekodi ya kuwa bondia wa kwanza kupata hadhi ya nyota nne na nusu tangu nchi ipate uhuru...
11 November 2023
LIVE Sporting Casablanca 4 - 1 JKT QUEENS - CAF Women's CHAMPIONS LEAGUE 2023
https://m.youtube.com/watch?v=drY_F-vulPI
Kutoka uwanja wa San Pédro, Ivory Coast mechi hii ya...
Nakumbuka kuangalia clip moja ya Mwalimu Nyerere akisema "kama ilivyo kwa UKRISTO, dunia haijawahi kuufuata UJAMAA kwa asilimia 100" kwa maana hiyo ni ngumu au siyo sahihi kuhukumu kama mitazamo...
Si kwa nia mbaya maana nilisema hivi huko nyuma wakati anaondoka madevu simba
na leo narudia tena kama matola bado yuko simba mtabadili kila aina ya kocha na hamtafanikiwa ...kama mlimpeleka...
Yes lazima jamaa apewe kongole zake baada ya makosa mawili matatu pale mwanzoni kwa kuwaleta kina Yikpe, Sarpong, Urikhob, Juma balinya na kushindwa kutoa matokeo chanya mwamba alijipanga na...
Mmesikia ya Okwa, vipi mpaka sasa wamesajili mchezaji gani zaidi ya tetesi, wamekuja na kitambulisho cha Gsm.
Hawa watu hawapo serious kabisa rahisi sana kuwaongoza kwenye magrupu yao zimejaa...
RAGE: SIMBA NENDENI KWA ENGINEER AWAFUNDISHE KUSAJILI.
“Usajili wa dirisha dogo unakuja, wakae watafakari waangalie wachezaji wa kusajili. Nawasisitiza viongozi, waangalie sana umri wa...
UONGOZI UNASEMAJE ??
Nilichoolezwa ni kuwa Uongozi wa mbugani unafanya mchakato wa kubadilisha utaratibu wa malipo ya posho (bonus) za wachezaji, Kutoka kwenye utaratibu wa malipo ya bonus kwa...
Orlando Pirates ndio timu ninayo ipenda kuliko timu yoyote ile duniani. Asanteni sana kwa kuwapiga Amakhosi goli moko leo.
Credit: Ukurasa wa instagram wa Likudd wa Jamii Forums.
Cc LIKUD
Kumbe...
Habari zenu wana boni. naomba mtaalamu wa mchezo wa drafti atufafanulie/atufundishe copy za mchezo wa drafti kwa mifano ya picha.(majina maarufu ya kopi hizo kwa mujibu wa wikipedia ni hizi)...
Jamii forums jukwaa la sport current limetawaliwa na watu unprofessional kwenye soka tofauti na zamani ambapo kulikuwa na critical thinking
Tujikumbushe members wenye tabiri za soka zenye gundu...
Kwenye mechi za UEFA hivi vilabu vimekuwa vikirushiwa dollars za bandia na dhahabu za bandia uwanjani kuashiria kuwa sio timu za mpira
Mashabiki wamekuwa wakizilenga hizi timu kwa kuzifanyia...
Kamati ilioteuliwa siku 7 kabla ya derby imeishia wapi
nahisi kwa wakati huu wa mapito mngeitumia ile kamati kuwasaidia mambo ya kiufundi
inavyoonekana simba mtalia mexhi zijazo kwa sababu pale...
Nimesikia taarifa kuwa wachezaji wawili Adebayor na Manzoki wamesajiliwa.
Nimeamini huyu mzee muhuni sana yeye na mwekezaji tapeli.
Unawezaje kusajili watu ambao hawachezi mpira kwa sasa?
Sent...
Kuna mengi nimekuwa naelezea humu ndani kwa muda mrefu ila nadhani nilikuwa sieleweki ila nadhani sasa mtanielewa. Yanga haiwezi kumfunga Simba goli 5 katika mazingira yoyote ya kawaida na pamoja...
Jamaa kweli Walituweza kila Kona kuanzia kwa Wachezaji Watano ( japo Wawili Kipa na Fowadi wamesamehewa na Wengine Watatu wakilindwa ili Kutuzuga Mashabiki na huenda leo Wasipangwe au Wapangwa...
Ila kwa wenye Akili Kubwa duniani (GENTAMYCINE na baadhi) tunajua kuwa Usimba ndani ya TFF (TPLB ikiwemo ndani yake) umechangia na kilichofanyika hapa ni Kuikoa Simba SC na Kipigo Kitakatifu...
" Mashabiki Simba walinipenda na nawapenda sana lakini lazima waambiwe ukweli kwamba Simba ina safari ndefu kwa sasa kwa aina ya usajili uliofanyika. Waliosajiliwa msimu huu ni Che Malone na...