Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Yani tangia 2011/12 bayern ndio wanabeba tu kombe hadi leo huku hawa dortmund kazi yao ni kuuza vipaji kwa gharama mno bila ya kuinvest vizuri katika team yao. Kwa hio wao sasa wamekuwa soko la...
1 Reactions
2 Replies
468 Views
Najua baada ya Sare ya Leo piga ua kuelekea Mechi yao ya Kumaliza mzunguko wa Kwanza GSM watahonga kadri wawezavyo ili Yanga SC amfunge Mtibwa Sugar FC Wiki ijayo ili apunguze Presha kwa Mashabiki...
5 Reactions
52 Replies
5K Views
wadau kama kuna mtu anajua historia ya huyu nyanda,atuwekee hapa.natanguliza shukrani
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni wakati wa kumaliza tofauti zenu baada ya kufungwa na mtani wenu kwa idadi ya mabao mengi {1-5} Maisha lazima yaendelee, haikuwepo sababu ya msingi kumtimua kocha Robertinho mzee wa Objective...
3 Reactions
8 Replies
627 Views
Safari ya Tukuyu Stars na Isuzu Lao -Kikosi cha Tukuyu Stars, timu iliyopanda daraja mwaka 1985, katika kituo cha Shinyanga na kuja kucheza Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara wakati huo na...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Kuna mpasuko mkubwa sana ndani ya klabu ya watani zangu, ila kwa bahati mbaya wengi hawafahamu kwa sababu mpasuko huo umewekwa siri kwa manufaa ya klabu. Chanzo kimeanzia kwa Barbra Gonzalenz...
15 Reactions
130 Replies
8K Views
Yaani katika maisha yangu naweza kupata hela nyingi tu na nikaona kawaida yaani. Ila Mashabiki wa Simba na Man wakiishi kwa stress napata faraja sana na naona nina kila kitu katika maisha. Hasa...
17 Reactions
53 Replies
2K Views
GENTAMYCINE ni Kit Manager wa Timu ya Ukwamani FC, ila Kiuhalisia na Kiukweli Mimi ni Shabiki Tukuka wa Timu yangu pendwa ya Kawe Rangers FC. Nawaonea mno Huruma Mashabiki wa Ukwamani FC kwa...
9 Reactions
59 Replies
3K Views
Kufanikiwa kuifunga Simba goli 5 imefanya yanga kuwa overated. Jana Coastal union waliliona hilo wakakomaa na uto kuponea chupu chupu!!
1 Reactions
37 Replies
4K Views
1.. Francis NYAMBULA Kahata a.k.a mguu kijiko.. huyu jamaa bado anauwezo wa kuchukua ufadha pale unyamani maana bado anao mwingi sana mguuni 2.. Erasto EDWARD Nyoni jamaa bado anasukuma sana gozi...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwa wanaoujua mpira wakiweka kando ushabiki Basi wataungana na Mimi na kusema kuwa Joash Onyango Alikuwa anafuta sana makosa ya beki mpenda sifa Enonga. Mzee wa kucheza na jukwaa aliwateka...
5 Reactions
23 Replies
1K Views
MASHABIKI WA SIMBA MNAMKOSEA MANGUNGU. Kati ya dhambi ambayo wanasimba lazima itawatafuna ni hii ya kumnanga huyu mzee baada ya matokeo mabovu ya simba,tuwe wakweli tu mangungu Kazi yake ni nini...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Huu ni ushauri tu kwa vyombo husika vinajifahamu siwezi kuvitaja hapa. Ila kwa kifupi kuna haja ya kuchunguza zile kambi za nje za Simba wanaenda kwa minajili gani, tunaelewa humu kwenye football...
9 Reactions
22 Replies
1K Views
Zile "Khamsa" kiukweli zimenichanganya kiasi kwamba hata salamu kwa wanasimba wenzangu imekuwa ngumu! Mimi kama mwanachama hai wa Simba Sc mwenye namba ya uanachama No_678,nachukua nafasi hii...
12 Reactions
33 Replies
2K Views
Tafadhali Sana costal union, sisi ni ndugu zenu kuanzia rangi mpaka kushea kocha hivyo basi Leo mnapoenda kupambana na hawa wanaogawa Tano (5). Naombeni mtulipizie kisasi maana wametudhalilisha...
1 Reactions
10 Replies
562 Views
Hakika hiki kipigo cha vyuma vitano kutoka kubwa la maadui Yanga kimewachanganya sana Simba wamekua kama wajenzi wa mnara wa Babeli hawaelewani kabisa kila mtu anakuja na lake humu jamii forum big...
4 Reactions
7 Replies
604 Views
MTAZAMO WANGU: SIMBA TUSIMAME HARAKA Habari wadau. Poleni sana kwa mwenendo usioridhisha kwenye michezo miwili ya ligi kuu ya NBC. Tumeumia, tumehuzunika sana, lakini nashauri kwamba iwe...
2 Reactions
10 Replies
541 Views
Viongozi wa simba waamini kwenye rangi nyeupe kurubuni washabiki na kwenye upigaji. kocha katoka azam na mazoezi ya video. Licha ya kuwa na sifa ya mazoezi ya kisasa. Hutoa mazoezi mengi sana...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Labda nianze kwa kuuliza waliofika Bunju siku za karibuni vipi ule uwanja wa Simba umefika hatua gani ? nimependa kuuliza kwani ni uwanja ambao mashabiki walichangishwa fedha zao hivyo wana haki...
4 Reactions
5 Replies
770 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…