Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ameandika @georgeambangile IT IS WHAT IT IS ...! Yani hii mechi unaanzia wapi kuichambua ? [emoji1593]Denis Kitambi kwenye mahojiano na Gift Macha kamaliza kila kitu , amesema " kabla ya...
8 Reactions
20 Replies
2K Views
Timu 4 zitaongezeka kwenye Michuano ya Klabu Bingwa Ulaya kuanzia msimu wa 2024/25, ambapo timu 2 kati ya hizo zitatoka kwenye ligi mbili zilizofanya vizuri kwenye michuano hiyo msimu huu...
1 Reactions
3 Replies
746 Views
Mfanyabiashara kijana na mwenye mafanikio makubwa nchini, Mohammed Dewji amesema angependa kuwekeza Simba ili kubadili mfumo. Dewji maarufu kama “MO”, amewaambia waandishi wa habari katika...
13 Reactions
112 Replies
14K Views
Wana Simba wenzangu, muda umefika sasa wa kumshinikiza huyu anayejiita muwekezaji ndani ya timu yetu kuweka ile pesa yote aliyohaidi. Najua kuwa tatizo la mashabiki na wanachama ni kupumbazwa na...
11 Reactions
101 Replies
3K Views
Je ni nani huyo?? Ni bonge la mchezaji
0 Reactions
2 Replies
586 Views
KUTOKA KWENYE MAKTABA "Asanteni mashabiki wa Simba. Nawatakia kila la kheri. Ili Simba ikue, lazima watimue waongo na watu wasio na elimu kwenye bodi ya wakurugenzi." Kocha Patrick Aussems...
1 Reactions
8 Replies
470 Views
Tumeona misimu miwili Nguvu kubwa imetumika kwenda kuweka Kambi Uturuki kujiandaa na msimu mpya lakini wenzetu Yanga wakijichimbia hapo Kigamboni na maisha yanaenda vizuri tu. Ni muda sasa muda...
3 Reactions
16 Replies
863 Views
SSC niwasaidie kitu. Mpira wa sasa upo kisayansi zaidi kuliko propaganda. Data hazidanganya. Namba hazidanganyi. Mpira ni Sayansi. Somewhere somehow SSC ikae chini ijitafakari upya na sayansi...
2 Reactions
6 Replies
680 Views
Tanzania ndio unakuta mchambuzi anachambua mpira, anachambua mambo ya HR ya club, baada ya hapo anachambua mambo ya Sheria ndani ya Vilabu, akitoka hapo anachambua mambo ya Finance na hata mambo...
6 Reactions
14 Replies
1K Views
Tff hawa wachambuzi wanetokea wapi ni faida yao kwa mpira wetu? Binafsi naona wanaongeza mitafaruku kwenye ligi na mpira wetu. Wanawafanya waamuzi wa mchezo huu kutekeleza majukumu yao kwa woga...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Mi naelewa kwamba kama mtu unakampuni, tuseme mtaji wake ni 1,000,000 na wewe ni mmiliki asilimia 100. Ukimuuzia mtu asilimia 50 ya kampuni basi atakupa 500,000 na wewe utazitia mfukoni na kwenda...
9 Reactions
96 Replies
8K Views
Hakuna Tsh Bilioni 20 za Mwekezaji Mo Dewji alizoweka Simba SC na kama kuna mwana Simba SC anajua atuambie ameweka Benki ipi na Akaunti gani. Ninachojua ni kwamba Mo Dewji ( Mwekezaji ) wa Simba...
15 Reactions
73 Replies
6K Views
Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Rais wa Heshima wa Klabu ya Simba Mo Dewji ameandika "Nimetoa almost 3 billion kufanikisha huu usajili, istokee kwamba MTU aseme ‘Mo hajatoa hela’ tuepuke na...
8 Reactions
82 Replies
5K Views
Mzee kilomoni ulihoji, wakatengeneza zengwe, ila ulisimama kidete kutetea timu na masilahi yake. Wapo vijana wanajiita wasomi wa vyuo vikuu, hawataki kuhoji, kuuliza wala kufukiri... tunataka...
10 Reactions
62 Replies
3K Views
Wakuu poleni kwa kipigo, ni muda sasa Matola atupishe kwenye timu yetu, yeye ndio sumu. Kwanini makocha wakuu wote wanaondoka yeye anabaki? Viongozi mjitathimini. Haya Mo Dewj aliahidi kutoa zile...
3 Reactions
45 Replies
2K Views
1. Inonga 2. Chama 3. Kapombe Msiseme GENTAMYCINE sikuwashtua. Na hata Saido Ntibanzokinza na Leandre Onana nao hawako salama sana kwa Hasira Kali walizonazo Mashabiki wa Simba SC juu yao, ambao...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Licha ya kulalama. Mo aache kutuvuruga. Kwenye usajili wa msimu huu yeye kama yeye kasajili kipa tu ambaye ata hachezi. Aligoma kutoa pesa za usajili. Akina jaribu tena wakafumua zote kutoka...
1 Reactions
12 Replies
813 Views
Tangu uwanja wa Mkapa ulipoanza kutumika Simba imekuwa ikipata matokeo mabaya, Al Ahly waliokuwa hawatoki salama kwa Mkapa walitoa sare, Yanga imejipigia zake 5, Leo hii umetumika uwanja wa uhuru...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Naam leo ndo leo ndani ya Mkwakwani Tanga baada ya wananchi kutoka kumpiga mtani wao goli 5 leo wanakutana na Coastal union je, watoto wa Tanga watakubali kupigwa 5? Kikosi cha Yanga Mchezo...
13 Reactions
495 Replies
32K Views
Ninaona katika mitandao huyu mzee anajitokeza kutoa ushauri mbalimbali katika taharuki inayiendelea Simba. Ninavyojua huyu jamaa ni mmoja wa watu wasio na ushawishi kwa mashabiki hata kidogo...
0 Reactions
3 Replies
488 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…