Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hawa ndio wazee tunaowategemea kuchukua uningwa na kuishinda yanga, Angalia pale mzee Ntibazonkza, Mzee Chama,Mzee Bocco Mzee Mzamiru, Mzee kapombe maaana kapombe mm nna miaka 31 kipindi nasoma...
3 Reactions
8 Replies
705 Views
Kila aliyepinga usajili wa Ayoub Linkel alishugulikiwa. Timu iliyoshindwa kulipa wachezaji bonasi za zaidi milion 500 msimu huu na uliopita. Iliumiza sana wachezaji kuona inapata billion 3...
2 Reactions
13 Replies
940 Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amesema kama Klabu ya Simba inaamini kupoteza kwa magoli 5-1 dhidi ya Yanga kumechangiwa na...
4 Reactions
24 Replies
5K Views
Baada ya kichapo cha goli tano alichochapwa Simba SC na mtani wake yaliibuka maneno/tetesi nyingi kuhusu wachezaji wa Simba SC kusimamishwa baada ya kusemekana wamekula mlungula (Rushwa). Hizi...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Hawa wote ni makipa bora sana nchini mwetu ila kuna vigezo vya kuwa bora zaidi ya mwingine. Natumai wote humu ni wana michezo kwa tofauti hii mnisaidie nani golikipa bora kati ya manula na...
4 Reactions
9 Replies
521 Views
Nawatahadhirisha simba waachane na Nabi na Kishingo. Hawa makocha hawana jipya la kuiokoa simba kucheza relegation playoff.
1 Reactions
7 Replies
791 Views
MAP - Max, Aziz Ki na Pacome Huu ni utatu /Ramani ya hatari sana na kwa wale wenye macho ya ndani tunaona kabisa kwamba utatu huu utaendelea kufanya mambo makubwa mno pengine kuwahi kutokea...
4 Reactions
9 Replies
721 Views
Baada ya kumtimua kocha wao wa viwango kutoka Brazil na kumrejesha kocha bab kubwa kutoka Simba b bwana matola hatimaye Leo mrungula umepenyezwa Tena kwa wachezaji na viongozi na kupelekea kushona...
7 Reactions
18 Replies
1K Views
FT Simba(mwenyeji) 1 Namungo(Mgeni) 1 Narudia kusema tena na ntazidi kusema Ingekuwa ni Simba timu pendwa ya Baba/TFF wangekutana na ratiba ile ya yanga wangedondosha pointi zote washukuru TFF...
11 Reactions
14 Replies
823 Views
Mara baada ya mchezo wa leo kuisha kwa sare ya bao 1 1, nimekaa chumbani kwa dakika 30 nikimfanyia assessment kocha Robertinho kwa kile nilichokiona leo pale uwanjani Misri. Kuna baadhi ya...
16 Reactions
30 Replies
2K Views
Mechi Kati ya Simba na Namungo imemalizika Kwa Sare ya 1-1. Kwangu kilichonifurahisha ni jinsi Mwamuzi wa Kati na Mwamuzi wa 4 walivyojitahidi kutunza Muda wa mchezo. Kumbe marefa mnaweza...
3 Reactions
0 Replies
409 Views
Mchezaji mwenye magoli mengi tangu kuanza kwa Ligi Kuu Tanzania, mchezaji mwenye hamasa na utulivu, mchezaji mwenye kipaji cha uongozi Papa's John Bocco ndiye anayeweza kuwatoa Simba kwa wakati...
1 Reactions
8 Replies
484 Views
Baada ya kocha Robertinho kusimamishwa kazi, Kuna tetesi zipo kuwa Kuna wachezaji waandamizi watano nao watafukuzwa. Mzee wa Propaganda NALIA NGWENA najua huo ni uzushi na ni mbinu pekee kwa...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Hakukuwa na ulazima wa Simba kumfukuza kocha peke yake kwa kosa la kufungwa magoli 5 na Yanga. Kufungwa kwa Simba kulisababishwa na sababu na wadau wengi wakiwemo viongozi na wachezaji wenyewe...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Nyota wa Simba SC, Clatous Chota Chama ameomba kuungana katika nyakati hizi ambazo kumekuwa na minong’ono ya hapa na pale tangu kumalizika kwa Derby Ya Kariakoo Novemba 5, 2023. Kupitia ukurasa...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Tunamkumbuka Stephen King kwa maneno yake yenye busara hasa pale aliposema: "Talent is cheaper than table salt. What separates the talented individual from the successful one is a lot of hard...
19 Reactions
32 Replies
3K Views
Washabiki wengi wanaoshabikia Timu ya Simba wamekaa kiugomvi ugomvi Tofauti na timu zingine Kama Yanga , Azam, n.k tatizo linakuwa nini? Maana wao wakifungwa wanafanya fujo ushabiki wao ni wa...
1 Reactions
2 Replies
492 Views
Baada ya Mnyama Simba Sc kupokea kipigo cha goli 1-5 dhidi ya Wananchi Yanga Sc, kwenye mchezo wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara uliopigwa wikiendi iliyopita Wazee wa Klabu ya Simba maarufu kama...
1 Reactions
5 Replies
823 Views
Tangu mchezo umeanza mwamuzi alionekana kupanic na kujaribu kuwatisha wachezaji wa Coastal. Binafsi niliwaeleza wadau kuwa hii mechi ingemsababishia mwamuzi kuadhibiwa na yeye alionekana kuwa...
4 Reactions
31 Replies
4K Views
Ukiwa unafuatilia Kwa makini uchezeshaji wa Waamuzi wa soka Tanzania, Mechi atakayochezesha Mwandembwa itakupa mengi ya kuandika. Si Mechi ya Jana pekee (Coastal Union Vs Yanga) ila ni karibu Kila...
4 Reactions
2 Replies
592 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…