Amenukuliwa na gazeti la African magazine sports kwamba kwa sasa katika group lao timu wanayohiofia ni young africa sport, alihojiwa kuhusu CR Belouzdad na Medeama akasema vijana wa yanga Africa...
Yes Che mallone beki kutoka Cameroon aliyesajiliwa kwa mikwara mingi kutoka Cotton sports ya kwao Cameroon ulikua ni muda tu hujafika kuona panapovuja waswahili wanasema wacha inyeshe tuone...
Cheza slot za EgT Interactive uvune mkwanja zaidi ya million 30 SOKABET ni rahisi
1. ingia website ya sokabet
2.Bonyeza slots
3.Chagua EGT slots anza kuspin hadi kwa shillingi mia
Na hapo bado...
MANGUNGU AGOMA KUNG'ATUKA SIMBA
"Bodi imefikia uamuzi huo (kusitisha mkataba na kocha) sio mimi. Simba inaongozwa kwa mujibu wa utaratibu. Nijiuzulu kwa sababu gani, kwani timu inafanya vibaya ...
Wachezaji watano wa Simba Sc akiwemo Enock Inonga na Clatous Chota Chama wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi dhidi yao baada ya kufungwa na Yanga SC mabao 5-1 siku ya Jumapili.
Wachezaji hao...
Viongozi wa Simba na mwekezaji wake ni watu wa propaganda nyingi sana na wamekuwa wakiishi hivyo kwa mda mrefu walicheza na akili za wanachama wao!
Jambo hili limekuwepo kwa mda mrefu na ilikuwa...
Kumpa simba Matola na Cadema ata kwa siku 3 ni ujanja ujanja tu.
Kama mgunda akipewa timu mechi ya kwanza tu atafanya wonderful na na Mo atamuelewa hivyo viongozi kukosa upigaji mwingine ws...
Ifikie hatua ukweli ujulikane, Hivi kauli ipi kati ya hizi mbili iliyokuwa ikiashiria ukweli ndani yake?
Tuanze na Haji Sunday Manara, huyu akiwa afisa habari wa klabu ya Simba Kwa wakati huo...
Hali ni mbaya wakuu natamani kudanja, mkiona sipo hewani mjue either ni simu imezima au mimi nimezima kabisa tumekubali 5 kwelii kwa hawa wakulima wa nyanya.
Bugati Naomba nisikilizwe haraka,nna hoja!!
1. Robertinho kawa kocha bora wa ligi mwezi uliopita,tena katangazwa juzi tu.
2. Ameshinda mechi sita kati ya saba za ligi msimu huu, Sisi watu wa...
Kipigo cha bao 5 kutoka kwa Yanga, kina dalili zote za kuivuruga Simba kuanzia kwenye uongizi mpaka kwa wachezaji na bench zima la ufundi.
Hivyo; busara ikikosekana, kuna hatari ya hii club...
Kuna vijana ambao wameamua kujifanya kumsemea Robertinho kuwa hata Simba isipocheza mpira mzuri lakn inashinda, wengine wanasema hajafungwa hata mechi moja, wengine wanamuita kuwa kiboko ya Yanga...
Silaha kubwa ya TFF katika kupanga matokeo ni Ratiba ya ligi ambao kanuni za mpira zinaheshimika Ratiba ya ligi haibadiliki na inakua FAIR kwa timu zote shiriki.
Yanga wanawafuata coastal J5...
ππππ’ πππππ π¦ππ π π πππ’ππ’
Huko ukoloni kumechafuka [emoji1][emoji1] Mwenyekiti amepewa muda ajiuzulu mwenywe bila shuruti
Hii imeenda bado sasa wenye timu yao marafiki wa [emoji881] HAWAMTAKI...
Hapa una Murtaza Mangungu raisi wa Simba Sports club na pale una Engineer Hersi Saidi Raisi wa club ya Young African, yupi anafaa kuwa mwenyekiti bora kati ya wenyeviti hao wawili.
Tangia msimu wa ligi ya NBC ligi bora kabisa Tanzania imeanza Yanga ilianza kwa style ya kipekee kabisa kwa kichapo cha dozi tano tano sijui niza Benzly penicillin(X-pen) au Benzathine...
Awali ya yote niwape salamu mbiu Tabuleleeee (itikia Laaaaaa).
Hii ni baada ya matokeo ya jana tarehe 5-11-2023, 1-5. Mashabiki wenzangu wa Simba naomba tuwe wavumilivu katika kipindi hiki...
Najua Usiku huu au Kesho na haitofika Jumanne Simba SC itaachana rasmi na Kocha wake Mkuu Roberto Oliviera kupitia Tangazo ( Taarifa kwa Umma )
Timu itakuwa chini ya Makocha Wazawa Wawili ( wenye...