Leo Rais wa FIFA aliyekuja kuiona timu yake ya Simba ikipambana na Al Ahly alikwenda katika kituo cha mafunzo cha TFF na Rais wa Yanga, Hersi Said akaona huyu bila kumfuata huko huko aliko naweza...
Baada ya kikosi cha Simba Sc, kuruhusu kichapo cha mabao 5-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya mtani wake Yanga Sc, Afisa Habari wa Singida Fountain Gate, Hussein Massanza ameibuka na...
Jana nimekaa kilingeni na kuuliza mizimu ya babu wangu mzee Makunganya pale Kisarawe kama matokeo ya jana yalikuwa ya kimchezo kweli au mpira wetu unaelekea shimoni.
Kiukweli aliyonieleza na hata...
1/ Aishi Manula hakupaswa kuanza/kucheza kabisa kwa sababu hakuwa na match fitness, japo kuwa benchi la ufundi lilikua na maono ya kumrudisha Aish Manula rasmi katika ligi kutokea Majeruhi lakini...
Kama Ahmedy Ally asipowaomba radhi mashabiki atakua amewakosea pakubwa sana Tena sana.
Fabrice Ngoma siyo mchezaji wa kujisifia kuwa kaibiwa airport, mchezaji ambaye kiuchezaji hamfikii hata Robo...
Habari ya asubuhi Wana JF poleni Kwa matokeo yaliotokea Na Wenye furaha hongereni. Ngoja Niende Kwenye Point Kuhusu Simba SC kufungwa Goal nyingi zidi ya mtani wake yanga. Huku Simba SC akiwa...
Utakuwa unafanya makosa yatakayokugharimu sana ukimwona Simba amenyeshewa mvua, ukadhani kuwa amegeuka na kuwa paka! Form is temporary but CLASS is permanent!! Mechi ya mzunguko wa pili tarehe...
Baada ya kipigo cha kizembe jana nakuja na maoni yafuatayo;
Tangu Babra aondoke Simba Uswahili umerudi kwa kasi sana kwenye uongozi wa Simba, kwa hiyo hata Simba akiletwa Kocha na kusajiliwa...
Pamoja na kupigwa mkono wa nyani bado nina imani na wachezaji na benchi la ufundi. Kufungwa ni moja ya matokeo ya mchezo ingawa inauma kupigwa mkono wa nyani na yanga.
Tuendelee kuwaamini...
Salamu ya mjini sasa ni HAMSA
Aisee katika watanzania 10 ninaokutana nao 8 wamevaa jezi,za msimu uliopita au msimu huu,katika watu 100 ninaokutana nao mtu mmoja tu kavaa jezi ya simba,na...
Na hakuna asiejua kwamba hizi timu mbili zote simba na yanga zina kamati maalum za wataalam wa mambo ya kiroho ila simba huwa inafanya wazi.
Tetesi zilizopo ni kwamba katika marekebisho ya...
Uwongozi wa Club ya Simba ni wakati sahihi sasa kujifunza jinsi ya kuendesha Club kisasa na siyo kisiasa.
Tukianzia Kwa upande wa watani zetu Yanga,tangu GSM apewe timu Club ya Yanga imebadilika...
[emoji288] African Football Power Rankings [emoji471][emoji460]
[emoji409] We've crunched the numbers and ranked the top 10 African football teams based on their outstanding performances from...
Nilichokiona baada ya kuangalia marudio
1. Yanga kafunga magoli halali mawili ambayo ni lile la kwanza na la tatu. Kwahiyo Yanga anastahili kupongezwa kwa ushindi.
2. Goli la pili la Yanga...
Wachambuzi wetu ni wadau muhimu kwenye mpira wetu, lakini Kuna wakati hawautendei haki mpira wenyewe kwasababu zisizojulikana au ushabiki wa timu.
Simba Day umati wa mashabiki ulifurika uwanja wa...
Simba imepata sare ya 2-2 na Al-Ahly kwa Mkapa na 1-1 Cairo kwenye AFL mwaka huu. Kwa muda mrefu Simba huwa inaishia Robo Fainali kwnye Mashindano ya CAF, na sasa wameishia hapohapo kwenye robo ya...
Habari za kushinda wana wa jf,
Bila kuwachosha niwaulize moja kwa mojaaa wengi katika masuala ya kubeti huwa mnampania kummpiga kanji hii haitegemei na kampuni.
Bali kila mtu mara muhindi kanila...
USAJILI Kiungo/Beki wa Yanga mkongomani Yannick Bangala Litombo amesema wazi wazi ana asilimia 20% tu za kubaki Yanga. Naishia hapa nakuachia wewe mdau unateseka ukiwa wapi na hizi taarifa za...
Amechambua @edokumwembe
Ngoja nilete uchambuzi wangu uchwara kuhusu pambano la Simba na Yanga, hasa mabao yote matano ya Yanga. Mabao yao yote yalitokana na kuwa juu kiutimamu wa kimwili na...