𝗣𝗥𝗘𝗦𝗦
“Baada ya kuingia mkataba na NIC, uongozi wa Yanga uliunda kamati maalum ya kufanya Tathmini ya mechi zote za mwezi husika na kutupatia majina matatu ya wachezaji watakaowania tuzo ya...
Moja kwa moja..
Miaka kadhaa imepita (toka 2016) tuliposikia kuhusu ujenzi wa uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu Dodoma unatarajia kuchukua watazamaji 80,000 na miundombinu mingine. Ikiwa kama...
MANJI AUNGURUMA KUHUSU MKATABA WA AZAM TV LIGI KUU, ASEMA YANGA...
IMEWEKWA JULAI 29, 2013 SAA 7:33 MCHANA
YAH: URUSHWAJI KATIKA TELEVISHENI MICHEZO YA YANGA.
HIVI karibuni, Tanzania Football...
Mimi huwa napenda sana namba na hesabu
Kwani hazidanganyi, haziongopi wala hazipendelei
Jinsi Simba alivyojizolea point 35 katika msimamo wa vilabu bora Afrika
1) Msimu wa 2018/2019 aliishia...
[emoji471] #NBCPremierLeague
[emoji460]️ Ihefu SC Vs Young Africans SC
[emoji414] 04.10.2023
[emoji909] Highland Estates
[emoji797] 10:00 Jioni
Matokeo ya mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu...
Moja Kati Ya Interviews za ajabu ambazo amewahi kufanya ni hii ambapo amefikia hatua Kusema kuwa Yeye Hawezi tena Kuizungumzia Taifa Stars...!
Taifa Stars...! Nini tena atazungumzia?
Akaisemee...
Kesi dhidi ya bondia wa ngumi za kulipwa Nchini, Hassan Mwakinyo ambayo imefunguliwa na Kampuni ya PAF Promotion inatarajia kutajwa kwa mara ya kwanza Novemba 13, 2023 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu...
Hivi hawa wanataka kitokee nini ili watimue huyu kocha wao mbovu?
Zahera Mwinyi kishatimuliwa Coastal Union (wanadai kabadilishiwa majukumu), sasa hawa Azam shida yao iko wapi?
Tuongee ukweli sote tunajua Feisal ndo kiungo namba moja mzawa Kwa ubora nchi hii, na kiungo wa nje ya nchi Bora wako wengi.
Tupo kijiweni tunajaribu kuangalia nani mkali hasa kati safi ya kiungo...
Yao ni mchezaji aliyekamilika Kwa uzoefu wangu
YAO. = Ayubu+ kapombe + zimbwe +
kanoute+ kibu + Chama + na
mshambuliaji mmoja baleke
Ukitaka kutengenezewa magoli kutokea pembeni basi jibu...
Azam FC inakutana na Namungo FC katika Uwanja wa Azam Complex unaomfanya Azam FC kuwa nyumbani
Huu ni mchezo wa mzunguko wa 7 wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Na hapa chini ni baadhi ya taarifa za timu...
Salaam
Kama topic ilivyo hapo juu. Hawa uto wakiwa juu ya msimamo no matter what, huwa kelele zina potea kuilalamikia Simba sc, TFF na waamuzi. Kama sasa hivi kwa michezo saba na point zao hizo...
Mchezaji wa Klabu ya Yanga, Jonas Mkude amefungua kesi katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam akiidai Kampuni ya Mohamed Enterprises Tanzania Limited (METL) fidia ya Sh 1 bilioni kwa kutumia...
Imezuka tabia hapa jukwaani watu kufungua nyuzi zenye utopolo mwingi wakibeza mafanikio ya MOST SUCCESSFUL CLUB AND GIANT OF AFRICA. Huu ni uzamwamwa, uzuzu, utaahira na uzumbukuku wa mashabiki wa...
Wenye Kuujua mpira wa Tanzania na Fitna zake zote tumekuelewa hasa ukizingatia kuwa Kiasili Wewe ni mwana Yanga SC lia lia.
Nasikia leo kuna Goli kuanzia 3 hadi 5 na hata 6 kama Mipango ikienda...
Hili jambo nililiona siku nyingi za nyuma nikaamua kulikaushia ila ngoja tu leo niliseme. Ukipitia profile za wachezaji wote wa Simba katika website ya timu, Moses Phiri ndiye mchezaji ambaye ana...
Kitendo cha timu ya Azam Fc kugomea mechi ya kirafiki kabla ya kuisha kisa maamuzi mabovu ya mwamuzi kinaonesha mlivyo na utoto. Lengo kuu la friendly match ni kupima mbinu na utimamu wa mwili...