Match Day
Yanga SC vs Singida FG
NBC Premier League
Benjamin Mkapa Stadium [emoji2522]
Time: 1815hours
Updates...
Saa 12:04 Jioni
Hali ya Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa sasa ni Shwari kabisa...
Nimeona Wanasimba wengi wakiongozwa na yule mshereheshaji wao wa kule mtandao wa X wakijifariji kuwa wapo kiwango kimoja na Al Ahly.
MC wao wa Twitter Ndugu Micky Jr anawapamba kuwa mechi ya...
Mchezaji wa Kimataifa wa Congo DRC na Timu ya Soka ya Yanga Fiston Mayele ambaye anahusishwa na Vilabu Vingi barani Afrika wakitaka huduma yake na sasa ni Pyramid ya Misri ambao wajitokeza na...
Miaka ya hivi karibu timu zetu hizi mbili zimekuwa kwenye kiwango angalau kinachoridhisha kwenye michuano ya kimataifa.
Pamoja na mafanikio hayo tumejikuta Usimba na Uyanga unatupumbaza kiasi...
|| DATA ZA CAF KWA KIPINDI CHA MIAKA MITANO '5YEARSRANKING' ||
Katika Takwimu hizi inazingatiwa alama ambazo klabu imekusanya kwenye kipindi Cha miaka mitano.
Kwa klabu za Tanzania Simba...
Kuna mazwazwa na wasio na akili walichekelea mno walipoona mama kapandisha dau la milioni kumi kwa kila goli Kama motisha na wengine wakapiga hesabu et "Kama tukiwafunga waarabu goli 7 tunapata...
Kabla ya kuanza mashindano haya, wapo waliohoji vigezo vilivyotumika kuwapata washiriki. Pamoja na kusemwa kuwa washiriki walipatwa kwa kutazama mafanikio ya timu hizo kwa miaka mitano kwenye...
Simba ina historia ya kuchezΓ mara nyingi robo fainali za mashindano mbalimbali ya CAF.
Mwaka 1993 kuna mashindano ambayo Simba ilifika fainali, je yale yalikuwa ni mashindano gani?
Kwanini...
Tafadhali nawaomba Siku zingine msirudie tena au kama mnapenda awe anatumika katika Oparesheni zenu basi anzeni Kumlisha vyema ( Balance Diet ) ili Mwili wake uongezeke na mpeni Ratiba maalum ya...
TFF yazindua jezi mpya za Timu za Taifa za Tanzania kwaajili ya Afcon 2024. Jezi hizo zimetengenezwa na kampuni ya kitanzania ya Sandaland.
Home kit
Away Kit
Third Kit
Hvi karibuni maneno haya yamekuwa yakitumika sana na mashabiki pamoja na baadhi ya maafisa wa vilabu vya soka Nchini.
"Timu yetu KUBWA Africa. WAKUBWA Africa tumekutana. Sisi ni miongoni mwa timu...
Ukiona mpaka GENTAMYCINE (mwana Simba SC tukuka na lia lia ) navutiwa Kumtizama Mfalme wa Kipaji cha Mpira kutoka nchini Burkinafaso Stephane Aziz K ( pamoja na kwamba siipendi Yanga SC ) jua ya...
ππππ ππΏπππ ππΌππ πΌππΌππ πππππΌ πππ πππππ.
Yaan hiyo Ligi ya Rwanda akicheza MZIZE anachukua tuzo zote. Ukiona Umbo la Onana na Sarpong unaogopa ila kazi zao sasa alafu wote huwa wanatokea RAYON...
Binafsi kama GENTAMYCINE sitoiangalia kwakuwa tayari Matokeo yake ninayo, ambapo Wakuja watafungwa Goli 3 au 4 au 5 na hata 6 kama wakilegea kwa Spray ya vyumbani na kwa Muamala uliofanyika kwa...
Epl ndiyo ligi pendwa kwa ukanda wa Africa mashariki hivyo watu wengi wanaifuatilia.
JF fpl kwanza itangaza zaidi Forum lakini pia itakuwa burudani kwa members pia.
Anaweza tafutwa mdhamini kila...
Nitashukuru GENTAMYCINE nikijibiwa. Nazitakia kila la kheri leo Timu za Beka na Bakari ambazo zitakutana leo kuanzia Saa 12 na Robo Jioni.
Tutaheshimiana tu tarehe 5 Novemba, 2023 kwani tuna...
Ukiuangalia Uchezaji wa Simba SC yangu na wa Watani zangu Yanga SC utaona tofauti Kubwa mno na ndiyo maana GENTAMYCINE leo sioni Aibu wala Siogopi kusema kuwa kwa Yanga SC hii ya sasa na...
Wakati wengine wakibeza kitendo cha Simba cha miaka kama mitano ya hivi karibuni kuishia hatua ya robo fainal ya michuano mbalimbali ya Afrika maarufu kama 'mwakarobo' (CL x3, CC x1 na AFL x1)...
Wakuu, mnamo mwaka 1993 tajiri mmoja muuza mitumba pale mjini Lagos aitwaye Mashood Abiola baada ya kupata faida kidogo alianzisha Bonanza/Ndondo Cup iliyoitwa Abiola Cup au Kombe la Abiola...