ASUBUHI ya Jana Simba imecheza mechi ya kirafiki dhidi ya Dar City kwenye uwanja wake wa Mo Simba Arena, Bunju - Dar es Salaam na kuibuka na ushindi wa mabao 5-1, huku kipa wake Aishi Manula...
Walipewa muda wa Udhuru wao na kutakiwa Kurejea Kambini Wao kwa Ujeuri ( Kipa Metacha Mnata na Kiungo Jonas Mkude ) wakarudi muda walioutaka Wao na Kocha Gamondi akawafukuza na kutowahitaji katika...
Kocha mkubwa km Pep kwenda kufundisha timu ndogo ya manchester city ilikuwa matumizi mabaya ya akili
Hii manchester city haiwezi kukua wala kuwa miongoni mwa giants kwasababu wanabeba makombe ya...
ZIKIWA zimesalia dakika 15 tu mchezo kumalizika, huku washabiki wa Arsenal wakiachia viti walivyokuwa wameketi juu yake na kuanza kutafuta ilipo milango ya kutoka nje ya Dimba la Stamford Bridge...
Sheikh Jassim ambaye ni mwekezaji kutoka Qatar alikuwa mmoja wa wawekezaji wawili waliosalia katika mpango wa kuinunua Manchester United amefuta mpango wake huo baada ya wamiliki wa klabu Familia...
Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa nchini TPBRC, imemfungia kwa muda wa mwaka mmoja bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Hassan Mwakinyo kufuatia kitendo chake kugomea kupanda ulingoni katika pambano...
Wakati Al Ahly yupo Austria akijiandaa na mtanange wa African Super League na Ligi ya Mambingwa Afrika, wawakilishi wetu hapa Tanzania katika michuano ya Kimataifa Simba na Yanga wapo bize...
Galam galam,
Katika thread hii tutapashana facts zilizo tokea katika viwanja mbalimbali vya michezo ama katika duru za michezo ulimwenguni.
Ruhsa kwa yeyote kuwasilisha takwimu ama habari ya...
Mwamba msimu uliopita alifunga magoli mengi sana katika michuano yote mpaka tukambatiza jina la utani “JINI”
Msimu huu imekuwa tofauti, Haaland ana struggle kiasi kikubwa sana. Huwezi amini...
Nimegundua watu wengi wana wivu mkubwa sana na Pep, hawataki kukubali. Wameshikilia msimamo wao kuwa anasajili wachezaji wazuri, hapohapo timu zao nao zinasajili wazuri lakini mafanikio hakuna...
Baada ya NewcastleUnited kufanikiwa kuondosha ManchesterCity katika Raundi ya Tatu ya CarabaoCup, timu hiyo imepangwa kucheza ugenini kwenye Uwanja wa Old Trafford dhidi ya ManchesterUnited katika...
WAKATI Simba ikiendelea kujiandaa na mechi ya ufunguzi wa michuano mipya ya African Football League (AFL) dhidi ya Al Alhy ya Misri, ghafla imejikuta ikianguka kwenye mtego kutoka Shirikisho la...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na kazi iendelee.
Damu nzito kuliko maji ndio msemo maarufu unaolezea uzito na ukaribu wa ndugu wa damu lakini msemo huo ni tofauti na...
Aise hii michezo ni hatari sana, sio kiuchumi tu zaid kiafya, hii kitu imenikuta jana.
Sasa Jana katika kujaribu zari nikawa nimebeti, nikazipa kama timu nane hivi nikatia stake yangu kiasi...
Timu ya Al Ahly ya Misri inawaalika Yanga ya Tanzania katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo kwenye mchezo wa kwanza uliofanyika Dar Es Salaam walitoka sare ya 1-1.
Yanga...
Mnapoleta porojo zenu, msisahau kusema pia ni jezi iliyowahi kuweka rekodi, yaani jezi ambayo imevaliwa mara 2 na ikaiingizia timu Billion 5 point, hapo Simba ana hasara gani?
Hapa Tanzania wachezaji wanapitia wakati mgumu ambao sio wageni na waeleza wale wachezaji wa ndani. Timu mbili ambazo zinaweza kukupa mashavu na madili makubwa ni Simba na Yanga, ila hizo hizo...
Wacha mfungaji bora ajitokeze tu by chance na sio kulazimisha lazima mfungaji bora atoke Yanga. Kufanya hivyo kutakuwa na athari kadhaa zikiwemo:
1. Kumchosha mchezaji mmoja huyohuyo ambae...