I’m an addict, yes leo nimekubali kuwa mimi ni addict wa michezo ya kamari. Sikuwa tayari ku accept hili swala na kila siku nilikua najipa moyo nita acha au huenda I will make through gambling and...
Kamisheni ya ngumi za kulipwa Tanzania (TPBRC) imemfungia Bondia Hassan Mwakinyo kujihusisha na mchezo wa ngumi nje na ndani ya Tanzania kwa muda wa mwaka mmoja na faini ya shilingi milioni 1...
GENERAL IMPORTANCES OF SPORTS:
A sport is an activity involving physical exertion and skill in which an individual or team competes against another or others for entertainment. There are so many...
BERNARD KAMUNGO, Mwanasoka ambaye alilelewa kwenye kambi ya Wakimbizi huko Kigoma, Tanzania! Aliyekuwa na uwezo wa kucheza timu ya taifa ya Tanzania, sasa ameitwa rasmi timu ya taifa ya Marekani...
Ni Mwendawazimu ( Mentally Retarded ) na Mpumbavu ( dame Fool ) ndiyo ataamini na atathubutu kusema na kujipa Moyo kuwa Tanzania iliyoko Kundi F huko AFCON 2024 nchini Ivory Coast itaweza kufanya...
Hiki ninachokiandika ndio ukweli wenyewe mimi si mshabiki wala mpenzi wa simba mimi ni mwanachama wa coastal union "Mangushi" "wana coastal wali ng'ombe" ya tanga,msije mkasema coastal ni ndugu wa...
Beki Chemalone
Yuko vizuri ila Kiufundi GENTAMYCINE nimemtizama na nimegundua amebarikiwa Akili nyingi na Nguvu, ila hana Kasi (pace) na inaweza Kutugharimu tukikutana na Timu zenye Mafowadi...
Beki wa kati wa Manchester United, Harry Maguire ametoa kauli ya kuwa kama ataendelea kupata nafasi ndogo ya kucheza chini ya Kocha Erik ten Hag basi atafikiria kuondoka Januari 2024.
Maguire...
Teknolojia imeleta maendeleo makubwa katika utendaji kazi; kazi za uzalishaji mali miaka ya 1923 ni tofauti na mwaka 2023, hii ni miaka mia moja ambayo tumepata kushuhudia matumizi makubwa ya...
Nimefatilia viingilio katika mechi ya ufunguzi wa African football league ambapo kiingilio cha chini ni 7000 kwa kweli nimefurahishwa japo mimi ni shabiki kamili wa Yanga ila kwa hili Simba...
Kwema wadau....
Nimeiona habari ya mtanzania Benard Kamungo anayecheza ligi kuu ya marekani "Major league soccer" yaani MLS Kule alipo mtaalamu wa kucheza soka duniani Leonel Messi kuitwa kwenye...
Shirikisho la mpira wa miguu nchini (TFF) limesema bado linaendelea na harakati za kuhakikisha Benard Kamungo anaitumikia Tanzania kwenye michuano mbalimbali
Mkurugenzi wa ufundi wa TFF amesema...
Kuna member ameuliza swali la nani kati ya Simba na Yanga ana mashabiki wengi. Uchunguzi wangu ulijikita katika takwimu za mitandaoni (online) ambazo ni rahisi kuzipata. Next time nitajitahidi...
GENTAMYCINE sikutaka kumdharau huyu Kocha Mkuu wa Taifa Stars Adel Amrouche, ila kwa jibu alilolitoa baada ya kuulizwa kwanini anapenda kukificha Kikosi chake cha Taifa Stars kutokukitaja kwa...
Hizi taarifa za kuwa Al Ahly wamegomea wachezaji wao muhimu kujiunga na timu zao za taifa zinanipa ukakasi kidogo, nimemwona ALIOU DIENG Kiungo wao tegemezi ameenda kwenye timu ya taifa nchini...
Eden Hazard, raia wa Ubelgiji ametangaza uamuzi huo akiwa na umri wa miaka 32, akikumbukwa na wengi kwa umaarufu mkubwa alioupata akiwa Chelsea, amesema huu ni muda sahihi wa kukaa pembeni baada...
Simba imekuwa timu yanye wazee wenye waijukuu wengi, simba imekuwa timu moja wapo inayopotosha soka la tanzania kwa kujinadi kuwa ndiyo timu bora ukanda haswa wa africa ya mashariku lakini ndivyo...
HAKUNA kundi jepesi wala gumu kwa Simba na Yanga baada ya Ijumaa jioni kushuhudia wakipangwa na timu mbalimbali katika makundi yao ya Ligi ya Mabingwa. Waswahili tumeanza kupiga ramli. Inachekesha...
Pot 1:
Al Ahly
Wydad AC
Espérance de Tunis
Mamelodi Sundowns
Pot 2:
CR Belouizdad
Pyramids
Simba
Petro de Luanda
Pot 3:
TP Mazembe
Al Hilal
Young Africans
ASEC Mimosas
Pot 4:
Étoile...