Ni muda sasa tuseme hapana hii sio fair, ni aibu sana ligi 5 kwa ubora Africa kuwa na Waamuzi wa ovyo namna hii.
Bodi ya ligi na chama cha waamuzi kaeni chini mujitafakari hao muowapa mamlaka ya...
Huyu Al Ahyl Hana maajabu yeyote ya maana
Na siku zote Ili uwe bora na lazima upambane na aliye bora Ili kupitia yeye na wewe upande chati.
Simba hazingumziwi sana kwenye haya mashindano kwakuwa...
Jana, Tanzania Prisons ilicheza na Somba katika mechi ya ligi (bahati nzuri huku nilipo umeme ulichukuliwa) na matokeo ilifungwa 3-1.
Leo katika kufuatilia toka kwa wachambuzi wetu(!!!) nimesikia...
Hii logo kusema na ukweli imekaa kizamani sana.kuna muda nikiangalia huwa najiuliza hivi yanga inamiliki mabondia wa ngumi na vilabu vya netball? Jibu ni hapana yanga inamiliki timu ya mpira ya...
Klabu ya CR Belouizdad ya Algeria Imetangaza Kumfuta Kazi Kocha wake Mkuu Sven Vandenbroeck raia wa Ubelgiji Kufuatia Mwenendo Mbaya wa Timu hiyo katika mechi za Ligi kuu ya Algeria (League 1)...
FEBRUARY 14,2018 kwenye mchezo kati ya Real Madrid na PSG lilitokea tukio ambalo lilileta utata sana na wengi wakibakia na mshangao mkubwa huku likihusisha nguvu za giza (Uchawi).
ILIKUWA ni...
Mashabiki wa Ayubu FC kuanzia jukwaa pendwa la Jamii forum waliandika nyuzi nyingi na kupiga kelele nyingi kuwa Bocco umezeeka hufai kuichezea Ayubu Fc.
Ikafikia hatua mashabiki wakaanza...
Habari wakuu….
Kama ilivyokuwa kwa Prison,
Singida habari ambazo hazijathibitishwa ni Tuziite Tetesi ili wasije wakafura tunatoa Siri zao,Kuwa wameapa Safari hii Mnyama hatiki kwa Singida Piga UA...
Huyu jamaa aliona mbali sana kama miezi 6 iliyopita aliposema target yao ni Makundi. Huku kwingine ni pagumu sana.
Na ukiangalia draw ilivyochezwa kwenye hayo makundi yalivyosimama kila kundi...
Tunajua Hoteli uliyofikia, Viongozi wa hiyo Klabu unaowasiliana nao na hao Makomandoo wako ulioambatana nao na ambao Wanawasaidia hao Wanafiki na Marafiki zenu mnaowasaidia kwa tukio la leo Jioni...
Ukiangalia kwenye market value Diara thamani yake Ni 400m (Dola 185000) za kibongo lakini ya Ayoub Ni billion tatu.(Dola m. 1.3).
Je ubora wa Ayoub Ni mkubwa mno Mara zaidi ya Saba ya Diara?
Ukiangalia ukurasa rasimi wa X wa CAF Champions League tangu kuingia kwa makundi utajionea kitu Cha kushangaza na kufurahisha pia
Tangu admin wa ukurasa ule alipoanza kutoa kadi za pongezi Kwa...
Hii ni ligi ya Tano kwa ubora Africa Kama inavyolipotiwa Lakini ukiangalia timu zinavyocheza unaweza kuzani ni "shaulin soccer.
Kuna muda ukiangalia mpira mpaka unashika moyo unaona kabisa Hawa...
Wakati mnafurahia Tanzania kuingiza timu mbili group stage klabu bingwa Kwa mara ya kwanza mwaka huu basi msisahau Tanzania ilipoingiza timu Kwenye group stage ya klabu bingwa ilikuwa 1998 Young...
https://www.netflix.com/us/title/81223488?s=a&trkid=13747225&trg=cp&vlang=en&clip=81728489
Jamaa nilimu idolize sana miaka ile hadi nikawa napiga cross kama zake mpirani
Hello wanamichezo wote Jf!?
I hope mko poa mkiendelea na majukumu yenu mbalimbali.... Najua wengine hawapo poa kutokana na magonjwa au matatizo mbalimbali ya dunia hii, usife moyo Bali mtangulize...
Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag anaweza kuchukua uamuzi huo kuelekea mchezo dhidi ya Brentford unaotarajiwa kupigwa leo Oktoba 7, 2023 sababu ikiwa ni kiwango cha mshambuliaji huyo...