Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Naam unachokiona hapo kwenye picha sio ndoto wala editing, ni hali halisi iliyotokea katika mechi ya leo ya ac milan ambapo katika dakika za salama kipa namba moja wa ac milan alilimwa kadi...
4 Reactions
2 Replies
925 Views
Hutaki unaacha , lakini huu ndio ukweli halisi , Nikiwa ka Mtanzania kwenye kundi hili Yanga havuki , hapo ndio Mwisho . Pichani : ni mtoto mdogo akiizomea Yanga ilipofungwa na Ihefu
36 Reactions
126 Replies
8K Views
Baada ya Kuwaudhi Mashabiki katika Mashamba ya Mpunga na kuachwa rasmi Alama ( Points ) Tatu ( 3 ) na Mabingwa wa NBC Premier League kwa Msimu wa 2023/2024 ili Kurejesha Imani yao Kwetu Kigamboni...
3 Reactions
40 Replies
2K Views
Haya Wazee wa Kukopi Taarifa zangu GENTAMYCINE hapa Jamvini JamiiForums akina Ricardo Momo na Edo Kumwembe bila kuusahau Mtandao wa WhatsApp wa hiyo Timu na Wengineo si huwa mnajifanya mna...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Leo nafuraha Tena kuliona dimba hili maana ni miaka mingi halitumiwi na limetelekezwa Hivi kwann lisiboreshwe liendelee kutumika hata kwa timu za jirani? NB: dimba kubwa baada ya mkapa stadium
2 Reactions
10 Replies
1K Views
CHEGE CUP NGAZI YA MKOA KUANZIA KUTIMUA VUMBI DESEMBA 2023 NDANI YA WILAYA YA RORYA MKOA WA MARA "Nimeamini tunaweza kutengeneza timu nzuri sana ya Wilaya ya Rorya na tukashindana kokote. Michezo...
1 Reactions
2 Replies
521 Views
Habarini wana simba sports chama kubwa kwa maneno kama kina dada wasusi wa mitaani,simba ni timu maarufu kwa kusindikiza na kuzisumbua timu zenye uwezo wa kisoka barani afrika,kiufupi tunaita timu...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Hakika wale kwenye upeo na wasio na wale wachache wanaweza nielewa kuwa mpira bongo ni kama mazingsombwe tu kwa sababu; 1. Uongozi wa juu ni mashibiki kindakindaki hasa kwa timu ya yanga na...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa jicho la tatu naona kabisa point muhimu zote tatu zibebwa na Yanga Leo Mwenye kubisha abishe ila ukweli ndo huo wakuu
0 Reactions
7 Replies
518 Views
Yanga wapo kundi D katika Ligi ya Mabingwa Afrika. Wamepangwa kundi moja na kigogo Al Ahly. Head to head wamekutana mara 6. Yanga akifanikiwa kuibuka mara moja tu na ushindi dhidi ya Al Ahly...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Kimesema..... Yanga SC Mtegoni na Simba SC ishindwe yenyewe CAFCL Yaani Yanga out Simba kupeta Oky? Kazi ipo na mnayo Kudadadeki zenu.
8 Reactions
62 Replies
5K Views
Ashukuriwe Mwinyi Zahera. Mnakumbuka zama analipa mishahara ya wachezaji wenu? Dokumentari nzima hayumo hata kwa sekunde tu.
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Ukitazama kwa jicho la kiufundi sio kimahaba makundi yote mawili ya Simba na yanga utagundua kuwa hakuna mwenye unahakika wa kutinga robo fainali. KUNDI LA SIMBA Ukimtoa WYDAD mwenye consistence...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Hawa aisee walinitoa machozi kidume ila hatimaye Ni muda wa kulipiza kisasi.... nilitamani Sana tungeaanza nao
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mchezo wa kesho dhidi ya Geita gold. "Nafahamu tutakuwa na mchezo mgumu kesho na sijui hali ya uwanja ikoje ila nahisi utakuwa kama ule wa mchezo...
15 Reactions
30 Replies
2K Views
Baada ya kuyatazama haya makundi zaidi ya mara 10, na kuzifanyia utafiti wa kina club zote kwenye makundi kujua strengths and weakness zao nimefikia hitimisho kuwa, msimamo wa mwisho wa makundi...
7 Reactions
11 Replies
993 Views
Bloo wangu siku hizi unazingua sana kwa vitendo vyako vya kujifanya kunyamazisha watu kisa umefunga tugoli, tena tugoli twenyewe twa offside na twingine beki kajifunga. Ukweli ni kuwa hakuna cha...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Baada ya tu kupangwa Kwa makundi ya CAF CL kuna kitu Cha kushangaza kulitokea katika matandao wa X Ukiingia katika ukurasa rasimi wa CAF wa mtandao wa X,katika makundi yote yaliyopostiwa,ni...
3 Reactions
8 Replies
685 Views
“Tumepangwa kwenye kundi lenye ushindani pamoja na mabingwa watetezi Al Ahly. Bila shaka ni kundi lenye msisimko wa aina yake. Ushindani hautufanyi tuogope, bali inatupa fursa ya kuonesha dunia...
7 Reactions
14 Replies
1K Views
Gamond katoa msimamo huu mara tu baada ya kutua na ndege usiku wa manane akiwa na kikosi chake kilichovurugwa na Ihefu FC kule Mbarari. "Tumefungwa na Ihefu kwa bahati mbaya" hii ndio kauli ya...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…