Najua hamtapenda GENTAMYCINE kuja na hii Taarifa au mtashangaa nilijuaje ila nyie jueni tu kuwa The King of News / Info ninajua.
Wachezaji wetu Waandamizi Saba ( 7 ) Wawili ni Wageni na Mmoja...
Hii ni kwa wachambuzi wote na wanaojiita wadau wa mpira na wanaopigania mpira wetu huu/ ligi yetu ipande thamani.
Wachambuzi wa clouds FM, EFM, WASAFI na media zingine mnaotanua midomo na kutoa...
(1) makosa ya kibinadamu kutoka kwa marefa/waamuzi wa mchezo watakaochezesha huo mchezo.
(2)kadi za njano nyingi sana zitatolewa kwa Tanzania prisons mpaka kadi nyekundu kabisa.
(3) Penalty/Tuta...
Haya!!
Baada ya mjadala mzito wa Makundi,
Turudi kwenye ligi yetu pendwa, inayojizolea mashabiki wengi kila kukicha.
Game Day. 06.10.2023
FT: Tabora FC 2 - 1 Dodoma Jiji.
Next Match, ni mechi ya...
PORT 1
Al Ahly
Wydad AC
ESPERANCE
MAMELOD
PORT 2
SIMBA SC
CR BELOUIZDAD
PYRAMID
PETRO DE LUANDA
PORT 3
YOUNG AFRICA
TP MAZEMBE
AL HILAL
ASEC MIMOSA
PORT 4
ETOILE DU SAHIL
JWANENG GALAXY...
Baada ya matokeo ya Yanga ya goli 5-0 kwa mechi mbili mashabiki wengi wa yanga hata wa Simba pia waliamini kuwa msimu huu Yanga anaweza kumaliza ligi bila kufungwa.
Lakini mapema tu wamedondosha...
Msifungwe nyie nani? Wapuuzi wakubwa. Inafungwa Simba SC inayowazudi Kimafanikio kwa Kimataifa, inafungwa Real Madrid FC na hata PSG FC sembuse nyie Washamba ( Wagaigai ) tukuka wa Jangwani na...
Lenyewe vs Medeama Dar Sare au Litafungwa kabisa na ya marejeano kwao Ghana atafungwa Goli 5 kwa 0
Lenyewe vs CR Belzoud Dar anafungwa 4 kwa 0 na marejeano kwao Algeria atafungwa 6 kwa 0
Lenyewe...
''Ni kipimo kizuri kwetu [Yanga] kupata nafasi ya kucheza na Al Ahly, bingwa mtetezi.
Ni kipimo kizuri pia kwetu kuona jinsi gani tumekuwa kama klabu ya mpira, naona ni moja katika makundi...
Uchambuzi ulioshiba kuhusu kilichotokea leo kule Mbarali. Hapa Maestro, pale Jef Leah, pembeni kuna Mzee wa Jambia bila kumsahau Mwana wa Kazumari.
Damu itamwagika kesho…
Kwa heshima kubwa na kwa lengo la kuleta mafanikio kwa soka la Tanzania, ni wakati wa kuangalia mbali zaidi ya migawanyiko ya kiushabiki baina ya klabu na kuanzisha ushirikiano imara baina ya timu...
Juzi kati kwa maana ya jumapili timu zetu mbili za Simba na Singida BS zilituwakilisha kwenye mashindano ya CAF.
Simba ikafuzu kwa goli la kanuni ila Singida BS ikatolewa kwa kufungwa 4.
Sasa...
Baada ya miamba hawa wa Tanzania wote kwa pamoja kuingia hatua ya makundi, kuna uwezekano mkubwa wakawa kundi moja.
Tumeshuhudia timu kadhaa katka nchi moja kuwa kundi moja, mfano ni jirani zetu...
Kuna mahali, Ihefu imeizidi Yanga hasa wanapocheza nao pale Highland estate.
Mechi ya jana ni kama marudio ya mechi ya msimu uliopita.
Tuliamini Nabi ni kocha bora, kocha mzuri sana aliyeifanya...
Mnaomba mkutane na akina Medeama, Jwaneng Galaxy na ile Timu yenye Jina la Shetani Mweusi.
Kudadadeki zenu leo mnapangiwa na Wababe wa Afrika Wafuatao na mtakoma na kuwakoma...
Al Ahly ( Egypt )...
Ngoja na Mimi Mzururaji GENTAMYCINE nihame Mji sasa kutoka Kuzurula bila ya Mafanikio Mjini Mbarali Mkoani Mbeya juzi na sasa nikazurule zangu Kwingineko Mkoani Mwanza labda Safari hii Mwenyezi...