Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Sisi mashabiki hatujui ukubwa wa tatizo lilisababisha Kapteni wa Yanga, Mwamnyeto kushindwa kwenda Rwanda kwenye mechi muhimu saaaaana kwa timu ya Yanga dhidi ya Al-Merreikh. Kama mchezaji...
4 Reactions
75 Replies
6K Views
Nashauri uchunguzi ufanyike kuhusu hii mechi kwani staki kuamini kuwa iliocheza ndio Yanga hii ya sasa. Timu kubwa kufungwa na timu ndogo, sio jambo la ajabu kwani mpira ni mchezo wa makosa na...
-1 Reactions
16 Replies
2K Views
Rejea kichwa Cha habari hapo juu ,
3 Reactions
9 Replies
566 Views
Kila mtu ameona kilichotokea pale mbalali mbeya. Maamuzi ya kijinga yameikosti Yanga na hamna hatua zitakazichukiliwa. Wananchi jiandaeni kisaikolojia.. kama mshindi wa Ngao ya jamii...
11 Reactions
107 Replies
7K Views
Unaambiwa tokea Jumatatu waliamua Kukesha kuulinda Uwanja Wao wa Highland Estates Mbarali na Kuwakatalia Waliowafunga wasiingie Uwanjani Kuroga na Kufukia Mauchawi yao. Jana Jumanne Makomandoo wa...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Sasa na wale Waandishi wa Habari na Mashabiki wenu mliokuwa mmewaandaa (kwa Kuwalipa kama kawaida yenu) mkiamini kuwa Jana mngevunja mwiko pale Highland Estates Mbarali mmewapa au mtawapa majibu...
3 Reactions
6 Replies
605 Views
Tukio hili kubwaa katika ulimwengu wa soka litasherekea miaka 100 kwa shindano hilo mwaka 2030 kufanyika katika mabara matatu ya Amerika Kusini, Ulaya, na Afrika. Uamuzi huo unaweza kuwa mwanya...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Halafu GENTAMYCINE nawaomba mkiwa mnagombana huko Viwanjani na katika Magrupu yenu ya Wasapu hadi kutoa hizi Siri zenu za Kambi muwe mnajua nami huwa nakuwepo na hamna Uwezo wa kunijua hata...
0 Reactions
1 Replies
552 Views
Yaani Klabu ya Yanga ikifanya vyema katika Mechi zake zozote zile huwa mnatangaza tena kwa Bashasha zote. Ila Yanga SC hiyo hiyo ikifungwa (kama ilivyofungwa jana na Ihefu FC huko Highland...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Najua kuwa kwa sasa kama Simba SC Kesho haitotuangusha Mashabiki wake huko Mkoani Mbeya na Kushinda basi rasmi Pengo ( Gap ) litakuwa ni la Alama ( Points ) Tatu. Huku wakiwa Wanaiogopa Simba SC...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimezunguka humu hakuna thread ya kutaniana hii itatufaa haurusiwi kutukana humu ni matani tu ndo yanafaa na sio matusi
4 Reactions
55 Replies
2K Views
Diarra Yupo YANGA alafu Onana Yupo Manchester United..Life is not fair.!![emoji17] Nadhani ni wakat wa diarra kwenda kuokoa jahazi pale mwantesa united
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Tarehe 13/08/2023 timu za mpira wa miguu za Tanzania Bara za Simba na Yanga zilipambana kwenye fainali ya kugombea Ngao ya Hisani. Mechi hiyo ambayo timu ya Yanga ilifungwa goli tatu na kujifanya...
12 Reactions
54 Replies
4K Views
Nimemuona jana kwenye press akisema haogopi timu yoyote anaamini wachezaji wake wanaweza cheza hata na Barcelona au real Madrid. Kuna mwandishi alitaka kumtisha na majina makubwa ya timu za...
7 Reactions
29 Replies
2K Views
"Ligi Kuu ni Marathon hivyo bado Michezo iko mingi na huu wa leo ndiyo Kwanza wa Nne hivyo msiwe na wasiwasi" amesema Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe akiongea na Waandishi wa Habari baada ya Kichapo...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Ile bahati ya kukutana na timu dhaifu na kuzifunga magoli mengi basi mkaanza kuota viburi. Sasa ligi ndio imeanza rasmi. Na huko hatua ya makundi hakuna timu kama Zalan. Yaani maji mtaita “mma”...
5 Reactions
13 Replies
928 Views
Sasa nami GENTAMYCINE nawaambieni hapa hapa (tena leo hii) kuwa Simba SC Kesho hatufungwi na Prisons FC hivyo tutawaacha kwa Alama (Points) Tatu (3) na najua Jumamosi mtawahonga Geita Gold FC ili...
1 Reactions
2 Replies
778 Views
Ni masaa machache tu toka nifahamu kuwa Ihefu imenichania mkeka kinyama na kiroho mbaya ila nashangaa sisikitiki Nina furaha isiyoelezeka na pia najiona Sina haja na Hela,je ni zile za sitaki...
0 Reactions
1 Replies
233 Views
Kuanzia saa 1 jioni, hawa wanapambana.
2 Reactions
69 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…