Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Je, Yanga itaendeleza ubabe wake wa kutokufungwa? Ama Ihefu watavunja mwiko? Tuungane pamoja katika huu uzi... Kikosi cha wenyeji, Ihefu SC Kikosi cha wageni, Yanga. UPDATE: MANENO YA...
10 Reactions
542 Replies
28K Views
Nianze kwa kutoa pole kwa wanayanga wenzengu, tuyapokee matokeo ndivyo mpira wa miguu ulivyo. Mechi ya leo ya Ihefu vs Yanga inaingia kwenye list ya mechi zilizoniumiza kwenye mpira wa miguu...
8 Reactions
35 Replies
4K Views
Au labda alikuwa nacho (anacho) ila Yanga SC ikifanya vyema hakimpati lakini ikishinda kama ilivyoshinda leo huko Mbarali Highlands Estates kwa Kumfunga Ihefu FC ndiyo huwa kinampata na kusikika...
6 Reactions
3 Replies
526 Views
Azam walizulumiwa goli Lao la haki kabisa bila ya kipingamizi, goli lilifungwa lakini mshika kibendera alinyanyua juu kibendera kuashiria kuwa mfungaji kaotea Lakini katika marejeo ni goli halali...
0 Reactions
6 Replies
897 Views
LEO asubuhi ndio nimegundua kuwa ile Yanga ya Nasreddine Nabi ilikuwa hatari ndani ya Uwanja,Yanga ya Gamondi pia ni hatari lakini hii Yanga chini ya ENG HERSI SAID ni hatari zaidi ndani na nje ya...
11 Reactions
24 Replies
2K Views
Ngoja niwasimulie kidogo hii story ya kusikitisha na kughafirisha. Mwaka Jana kipindi yanga ni unbeaten sikuwahi kuwabetia Ila ilivyofika siku wanacheza na ihefu nikajisemea hii yanga unbeaten...
3 Reactions
1 Replies
924 Views
Ni mashindano yameanzishwa muda mrefu leo hii nazani ni kwa mara ya kwanza yamefanyika mkoa wa iringa Nimeona watu ni wengi ambao ni wafanyakazi zaidi ya watu 3000 wamesafirishwa kutoka nchi...
0 Reactions
5 Replies
789 Views
Naona ibaki hivi hivi: ๐†๐ซ๐จ๐ฎ๐ฉ ๐€: โ€ข Mamelodi Sundowns ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ โ€ข CR Belouizdad ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ โ€ข Al Hilal ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฉ โ€ข Medeama ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ญ ๐†๐ซ๐จ๐ฎ๐ฉ ๐: โ€ข Wydad AC ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ โ€ข Simba SC ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ โ€ข ASEC Mimosas ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ โ€ข Jwaneng Galaxy ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ผ ๐†๐ซ๐จ๐ฎ๐ฉ ๐‚: โ€ข Al...
6 Reactions
49 Replies
3K Views
Ni suala la mapito tu ila nyie ndio timu Bora zaidi ukanda huu.Takwimu hazidanganyi.
4 Reactions
13 Replies
787 Views
Habari ndugu zanguni Kuna yoyote aliye katika jogging club maneneo ya Hai, Sanya, Boma ngo'mbe au kikundi chochote cha mazoezi.
0 Reactions
2 Replies
509 Views
Mama wa msichana mweusi ambaye hakupewa medali katika sherehe ya michezo ya sarakasi nchini Ireland anasema msamaha aliopokea "hauna maana". Video iliibuka hivi karibuni ikionyesha madai ya...
9 Reactions
107 Replies
5K Views
Shirikisho la soka Barani Afrika โ€˜CAFโ€™ linasubiri Oktoba 06 ili kukamilisha mpango wa kupanga makundi ya Michuano ya ngazi ya vilabu iliyo chini ya shirikisho hilo kwa msimu huu 2023/24. CAF...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Mnamo siku ya Ijumaa droo ya makundi ya CAFCL na CAFCC itapangwa. Ningependa kujua, iwapo Yanga akivuka robo fainali peke yake ndo tayari atakuwa giant wa pira la bongo? Naomba tuseme mapema...
8 Reactions
52 Replies
2K Views
CEO wa klabu ya Simba SC, Imani Kajula ameiomba bodi ya ligi iwaondolee mchezo wa ligi kuu dhidi ya Singida fountain gate Liti ili wachezaji wapumzike wajiandae na mechi dhidi ya Al-Ahly 20...
9 Reactions
100 Replies
5K Views
Najiuliza maswali mengi juu ya wakaguzi wa viwanja vinavyatumika kwenye michezo ya LIGI kuu, sielewi uwa wanatumia vigezo Gani kuruhusu matumzi ya viwanja husika Mfano mdogo ni kuruhusiwa...
0 Reactions
1 Replies
390 Views
Nafikiri michezo yote itakuwa imekamilika, hivyo tupeane orodha ya timiu zilizofanikiwa kuingia hatua ya makundi na zaidi ni lini droo ya kupanga timu hizi kwenye makundi itafanyika. Karibuni.
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Wadau naomba kujua app ya kucheza dubu online nipige pesa
2 Reactions
1 Replies
360 Views
"Wana Yanga SC tumetinga Group Stage ya CAFCL na tunatumiana tu Clips za Magoli yetu hebu tuwaombe pia na Wenzetu nao watutumie Clips za Magoli yao yaliyowapeleka Kibahati Makundi CAFCL kama Sisi"...
18 Reactions
22 Replies
2K Views
Game On Dakika ya 23. Dodoma Jiji 0 - 0 Azam
3 Reactions
141 Replies
7K Views
Nimeacha shughuli zangu nimuangalie Hassan Dilunga, Said Ndemla, Edward Songo, Maka Edward dhidi ya Mashujaa yenye Zubery Dabi, Ismail Mhesa, Adam Adam, nashuhudia nyasi mbovu, uwanja mbovu hata...
4 Reactions
10 Replies
920 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ