Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Yamebaki masaa machache Simba kwenda kulitia taifa aibu.
3 Reactions
42 Replies
2K Views
Kongole kwa Simba kwa kufanya vyema miaka sita huko nyuma Kwa kuingia makundi na kuishia robo, Kongole pia kwa kutinga nusu fainali CL mwaka miaka ya 1970 huko Sasa tuje leo,wote tupo...
6 Reactions
34 Replies
2K Views
Baada ya pira papatu papatu na Simba sc kufuzu hatua ya makudi. Kituo kimoja Cha redio kilifanya mahojiano na msemaji wa CAF (Ahmedy Ally) Kama anavyojiita. Maandishi : "mashabiki wanasema kuwa...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
"Ooh nimeshindwa kumpiga knockout sababu bukta yangu ilikuwa imenibama" "Ooh viatu vyangu vilipotea airport" Na mengine mengi mnayoyajua. Jamaa hata ongea yake na media ni mtu wa lawama sana...
0 Reactions
13 Replies
947 Views
LEO NI MECHI MUHIMU KWETU UGENINI KTK VIWANJA VYA KAMBARAGE LIGI KUU NBC PREMIER JKT TANZANIA FC VS MASHUJAA FC TUNACHUKUA POINTI TATU…. Leo tunacheza mechi Ugenini Ktk Viwanja vya Kambarage...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Pongezi kwenu JWTZ kuwa na maeneo mengi makubwa hapa Tanzania. Maeneo mengi yapo strategically kama mtayatumia kama fursa ya kukuza uchumi wa Jeshi letu la wananchi. Pale Nyegezi kona katikati...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Hatuwezi kujisifu kuwa ligi yetu ni Bora wakati Kuna marefa wasiojua Nini wanachokifanya. Marefa wa ligi yetu hii huwa wanachezesha vizuri Simba na Yanga tu lakini kwa timu nyingine hakuna...
1 Reactions
5 Replies
950 Views
Jedwali linajieleza, sihitaji kupotezea watu muda kwa maneno mengi:
11 Reactions
75 Replies
4K Views
Nimeoma mara kadhaa baadhi ya wachezaji na viongozi wa Azam wakiikejeli Simba kwa namna ambayo tunaona mashabiki wa Yanga wakifanya. Azam wamejitahidi sana kuikamia Simba katika miaka hii miwili...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Hapo alipofikia inatosha, tumeishi maisha ya tabu sana hizi siku za huyu kocha, ni muda sasa Simba irudi kwenye biriani na sambusa, papatu papatu sasa imetosha, wachezaji wetu wanavyocheza hawana...
13 Reactions
72 Replies
5K Views
Wachezaji hawana morali kabisa. Hii Ni kutokana na timu kutumia fadha nyingi Sana kukamilisha sajili za kimadili dili. Wakati Caf wakitoa billion 5 za usajili Simba. Viongozi walitumia pesa hizo...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Jamani wenye uelewa tujulishane, kama watu wame droo 3-3 hii kanuni ikoje
6 Reactions
30 Replies
2K Views
Nimeona wasemaji wa club moja wanahamu ya kubetuliwa na mwamba kwa mara nyingine kiasi kwamba wameandika wazi wamemis sana my wao.
0 Reactions
2 Replies
355 Views
Naishauri serikali ijenge viwanja hivi haraka iwezekanavyo, kwa ajili ya kugombania michezo ya AFCON 2027. Kenya wanajenga viwanja vyao vizuri sana na kuna uwezekano michezo mingi ikachezwa kule...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Gadiel Michael na Beno Kakolanya walikua ni wachezaji tegemezi ndani ya kikosi Cha Yanga SC. Kakolanya alirubuniwa akatimkia Simba sc na kiwango chake kikashuka baada ya kukutana Aishi Manura...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
1998 Yanga group stage CafCl 2003 Simba group stage CafCl 2016 Yanga group stage CafCC 2018 Yanga group stage CafCC Misimu ya korona 2019 Simba group stage CafCl 2021 Simba group stage CafCl...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Ni Timu moja mbaya na nisiyoipenda si tu Tanzania bali hata duniani ila kwa sasa nimeisahau Jina.
7 Reactions
38 Replies
3K Views
Kwa mambo mnayotufanyia wenzetu wenye kumiliki uwanja ni dhahiri kabisa hamna nia njema na Simba, inaonyesha ni kwa namna gani mlivyo na mapenzi na wale waliocheza jana, inshaallah Leo tutashinda...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Kapten Fantastic John Raphael Boko! Leo amezidi kuwa prove wrong haters wake. Pamoja na dharau nyingi dhidi ya Ake bado Boko anaweza kucheza Champions League. Hakana Kocha mwenye akili Timamu...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…