Ancelotti's dramatic denial puts Hughes back in Chelsea frame·
Milan coach 'staying 150%' after day of intrigue
· Clubs dispute reports of meeting with Abramovich
David Hytner The...
Jude Bellingham 'is raging at Vinicius Jr's behaviour over a penalty' and 'is particularly upset' with his goal-scoring issues at Real Madrid
The reason behind Jude Bellingham's fury at being...
Rejea kichwa cha habari HAPO juuu
Iwapo ATL MADRID atashinda naomba songa inbox aka pm
Kupokea ten thousand
All d best
Masharti na vigezo kuzingatiwa
Cc
Mbappe
Cc
Vic jr
Cc
Cc
Cc
HAwa wapuuzi Simba sc wamezoea kuchezea mamlaka wakacheze na bibiyao mkubwa zamu yaooo sasa
Walikataliwa kufanya mazoezi wakaicheza na mamayao wakahairishiwa mechi
Sasa bibii yao kaamua...
Mwanasheria msomi,nguli katika kudadavua migogoro ya kisheria nchini tunaomba mrejesho wa kesi ya Yusuph Kagoma kwanza.
Maana ulituaminisha kwamba mchezaji huyo alisaini Yanga na mkataba upo...
Nimemsikiliza Ndg. Gerson Msigwa kwakweli nimesikitika sana kuona watumishi wa umma nyakati hizi badala kuwa watumishi wa umma wamegeuka kuwa watetezi wa viongozi wabovu. Sakata hili jinsi...
José Mourinho: "Nataka kusafisha mpira wa miguu wa Uturuki, nataka kuvunja utawala wa Galatasaray, lakini huu ni utawala wa mfumo. Na hii ndio inafanya kazi kuwa ngumu. Kwa hiyo, nafanya kazi kwa...
Inasemekana Klabu ya Simba ipo mbioni Kupendekeze uwanja wa Amahoro Stadium uliopo Kigali Nchini Rwanda
Hili Linakuja baada ya Uwanja wa Benjamin Mkapa kufungiwa na CAF baada ya kukosa vigezo...
Wakuu
Video zinaachiwa kuonesha hali ya sehemu ya kuchezea gozi la Ng'ombe (Pitch) ambayo imekua gumzo baada ya wenye mpira wao Afrika, CAF kuupiga spana kwa muda kwa kukosa vigezo na kutoa...
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia ameibuka mshindi wa kiti cha ujumbe wa kamati ya utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) katika uchaguzi mkuu wa...
Ahly wamegomea kuleta timu uwanjani kwakuwa FA ya Egypt walikataa ombi la Ahly ya kuleta waamzi kutoka Ulaya
Ahly waliwaomba FA ya Egypt ilete waamzi kutoka Ulaya kuchezesha Cairo Derby Kwakuwa...
Ikiwa TFF na Bodi ya Ligi wataamua Mechi ya Yanga ni Simba ichezwe tena, hilo litakuwa ni tukio kubwa la Match fixing kuwahi kutokea katika Soka la Afrika na duniani.
Na kwa kuwa inaonekana ni...
Mabingwa watetezi wa kombe la CRDB FEDERATION CUP, YOUNG AFRICANS SC watakuwa dimbani leo majira ya saa 10kamili jioni,wakimenyana vikali na Coastal Union ya Tanga.
Timu ipi kusonga hatua...
Watu wengi hawana upeo wa kuconnect dots kwa hiyo ngoja niwasanue jambo.
Kuna lile tukio lililotokea kule Mwanza lililomuhusisha Mkuu wa Mkoa wa Mwanza aliyejaribu kutumia mamlaka yake vibaya...
Ni dhahiri dalili ya mvua ni mawingu, kwa takwimu za Egyptian Talisman Mohamed salah namuona akienda kuibuka kidedea mshindi wa tuzo ya Ballon D'or mwaka huu 2025.
Bila shaka, naamini Liverpool...
Ni maajabu ya karne!
Tangu mwaka 2023 tulielezwa kwamba ukarabati mkubwa utafanyika katika uwanja wa Mkapa, Tukaelezwa kwamba zimeshatengwa zaidi ya bilioni 30 kwa ajili ya kazi hiyo na uwanja...
Baada ya Bodi ya Ligi kuu Tanzania TPLB Kutangaza kuahirishwa kwa mechi ya watani wa Jadi Yanga vs Simba waandishi wa habari na wachambuzi wa maswala ya Kabumbu wameendelea kuukosea adabu mpira wa...