Kitendo Ulichofanya Popat CEO wa Azam sio cha Kizalendo kabisa unawezaje kulazimisha Timu yako ya Azam ifanye Mazoezi Asubuhi Chamazi Stadium siku ya leo ya mechi ya CAF mbona siku nyingine...
Huwezi kuiacha Yanga ukaenda kutafuta maisha kwingine ukafanikiwa, ukiacha Simon Msuva ambaye akiwastukia hiyo kitu nakwenda kutakaswa Tanga maeneo ya Maweni, wengine wote huko wanakokwenda huwa...
Wiki iliyopita GENTAMYCINE nilikuomba Wewe Mrogaji wake ambaye ni Kiboko ya Kipa Diara kuwa mrudishie haraka Soksi yake uliyoiiba Bunju na kuipeleka kwa Mtaalam Mbeya na Kigoma hukutaka kunisikia...
Uchambuzi wangu
Baada ya kuona Mechi Kali ya singida na future fc ya misri na Baada ya kushuhudia pira papatu la makolo .....nimewaza sana kuwa pengine Ile future fc kama ingekuwa club bingwa na...
KALABA: KAMA JWANENG GALAXY [emoji1052] WALIWEZA, KWANINI ISIWE POWER DYNAMOS?
.
"Kwenye mechi ya Simba dhidi ya Power Dynamos [emoji1268] yeyote ana nafasi ya kufuzu kwenye mpira wa Miguu lolote...
Nazipongeza timu zetu 2 za yanga na simba kufuzu makundi, kwani imetuongezea heshima, ika hawa Singida big stars wanastahili lawama kabisa kwa jinsi walivyoitayarisha timu, wamepeleka timu bila...
. ukichukua kikosi chote cha power dynamoo kiwe chini ya robetino basi hiyo timu itakuwa Gian in africa kupita mamelod Sun down au esparence.Ni tabia ya kittoto sana wanayoonesha wapenzi wa simba...
Kocha wa klabu ya Al Merreikh, Osama Nabih amesema Yanga SC inacheza kama vilabu vikubwa vya Ulaya na kubainisha kuwa hatashangaa ikiwa Yanga itatwaa ubingwa wa Afrika.
“Tumekutana na vilabu...
Sad news for the regions and participants...
Organizers cancel the Dakar Rally
Story Highlights
-The Dakar Rally, due to start on Saturday, is called off
-The French Government had...
Leo nimeamini mpira sio kelele kama wanazopiga mashabiki wa Simba humu nimeamini mpira ni Sayansi na sio propaganda za kina Gentamycine na wenzake mashabiki wa Simba wasiofahamu sayansi ya mpira...
Asante kwa Jini letu Kumchanganya Beki ili aone kuwa anaokoa kumbe anajifunga Mwenyewe vinginevyo leo ilikuwa ni 'Kuchapana Bakora na Kutimuana Day' tu na hakika tungeumizana Mbagala.
Simba kwanini wanashindwa kumwamini Salum kama manula hayupo,huyu mwarabu ni mbovu,magoli tuliyofungwa Zambia yote mawili asilimia 70 ni kushindwa kudaka mashuti na asilimia nyingine 30 ni mabeki...
Kwakweli saa nyingine huna nashindwa kujua iwapo mashabiki wa mpila wa Tz Wana uwelewa gani wa mpila zaidi ya kufuata mikumbo na ushabiki.
Sasa hivi naona kwenye mitandao ya kijamii mashabiki wa...
Rejea mada tajwa hapo juu.
Mashabiki wa simba sc, wanalunyasi wamechoshwa na unbeaten 26 za robertinho.
Kwanini hawataki ushindi huu?
1. Jina la utani la Lunyasi tafsiri yake asilia ni timu...
Mabingwa watetezi wa Morocco, FAR Rabat wanaofundishwa na kocha wa zamani wa Yanga Nabi, wametupwa nje ya Klabu Bingwa Afrika kwa kuzabwa mabao 3-1 kwa matokeo ya jumla na Etoile du Sahel ya...
Hahaa nimeanza kwa kucheza hii ni baada ya jana kocha wa Jwaneng Galaxy kuwaambia Orlando Pirates walienda Spain kushangaa warembo na Maghorofa.
Limekuja baada ya kuwatupa nje Orlando Pirates na...
Naona aibu kubwa kila nikifikiria kuwa Simba sc itakwenda kuliwakilisha taifa kwa kucheza na timu Bora barani Africa Al ahly.
Pira Robertinho (papatu papatu) pira la kubahatisha ili mradi liende...
“Tunakwenda kushindana kwenye hatua ya makundi, kama kweli tunahitaji kumaliza vizuri tunahitaji nyongeza kidogo ya Wachezaji, sifahamu kama inawezekana kwa klabu kwasasa ila kupambana na timu...
CAFCL: Young Africans SC Vs Al-Merrikh SC | Azam Complex | 30/09/2023
Time 1900Hrs EST
Second preliminary round · Leg 2 of 2
Aggregate: 2 - 0
Ni mchezo wa Round ya Pili kuwania nafasi ya...